SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Wanaroho mbaya kama ya pakaMi huwa najiulizaga hivi hawa ni watu au? Maana kukupiga panga hawajishauri kwa kweli awe mwanaume au mwanamke wanakuua tu
Wanaroho mbaya kama ya pakaMi huwa najiulizaga hivi hawa ni watu au? Maana kukupiga panga hawajishauri kwa kweli awe mwanaume au mwanamke wanakuua tu
Aisee ile jamii na wanyamwezi wana tatoo za viwembe hadi keroHuyo hajui na hajatembea wasukuma wanavyopenda waganga kule kila Nyumba ina mganga wake na utakuta kiongozi wa Dini kabla ya kwenda kwenye ibada anaenda kwanza kwa Mganga na Wanawake wote wa Kisukuma wamechanjwa chale mgongoni na kifuani.
Lady Jaydee siyo Mkurya mamii, ni Msizaki kabila lake.Kupitia uzi huu nimegundua kwa haraka haraka mkurya nayemjua ni Lady Jaydee pekee
Kabila la wakurya ni wachache ama?
Suala la kula vyakula vingi nafikiri pia na upatikanaji wa chakula unachangia, jamii ambazo njaa sio shida zao hawajui habari ya kununua mahindi wala mchele vyakula viko stoo mwaka hadi mwaka hawajui kujibana kabisa sawa na waliozoea kupima kilo ya unga wale watu 8 ndani, jamii zenye upatikanaji wa vyakula unakuta wanasaga mahidi debe 2,3, mchele kwao ni kukoboa tu msimu hadi msimu hawajui hata bei ya kilo ya mchele possibly matumbo yao yamezoea toka utotoni kula chakula cha kutosha wazaramo wakiona hivyo wanasema chakula kingi maana utakuta ana ugali wa kutosha, nyama, maziwa, kuna samaki wa kukaanga au dagaa, vyote vinaliwa pamoja nyie mnasema chakula kingi😄😄😄😄 Bantu Lady
Yes hiko kikabila ndo nlikuwa nakitafutaLady Jaydee siyo Mkurya mamii, ni Msizaki kabila lake.
Tabia hizi ukiziona kwa mwanamke juwa mwanaume una shida. Mawimbi huwa madogo pale upepo sio mkali... Mwanamke ukisha mpenda mkapendana na ukaweza kumgusa kwa upako my friend utafurahia maisha na kuongeza mke kama dini yetu.Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
◇ Wanaviburi vya asili sana
◇ ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
◇ Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
◇ Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
◇ Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.
NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
Nimeshangaa sana sifa wanatoa za waswahili sijui wa wapi afu wanawataja wakurya aisee1.Kama kitu hukijui uliza kwanza..
Mwanamke wa kikurya huwa hapendi kubishana na mme wake maana si tabia yao na hawana michambo.
2. Kati ya wanawake ambao wakiolewa huwa ni nadra kurudi rudi kwao ni wa kikurya.
3. Ukuryani uchawi haupo hayo tunayasikia kwa wengne kama wajita, wajluo, wazaramo na mauchafu uchafu mengne huko.
4. Ni kosa mwanamke wa kikurya kupigana maana kwanza akipgana na mme wake maanake kawaharibia cv mabinti wa familia na ukoo huo. Sisi ukuryani mwanamke kutokuolewa ni cv mbaya si kama kwa wazaramo ambapo kuolewa jumamosi na kuachika jumatatu ndyo utambulisho wao.
5. Hayo mapanga unayoyasema si kweli kwa wanawake sijayaona.
6. Neno limbwata ni geni sana ukuryani maana waweza onekana wa ajabu..
NB. SI KILA MWANAMKE ANATOKA MARA NI MKURYA WENGNE NI WAJALUO, WAJITA NA JAMII YAO.
Sio kwamba kie chakula wanalima sana... maana wanga ukila bila kufanya kazi lazima kitambi..Suala la kula vyakula vingi nafikiri pia na upatikanaji wa chakula unachangia, jamii ambazo njaa sio shida zao hawajui habari ya kununua mahindi wala mchele vyakula viko stoo mwaka hadi mwaka hawajui kujibana kabisa sawa na waliozoea kupima kilo ya unga wale watu 8 ndani, jamii zenye upatikanaji wa vyakula unakuta wanasaga mahidi debe 2,3, mchele kwao ni kukoboa tu msimu hadi msimu hawajui hata bei ya kilo ya mchele possibly matumbo yao yamezoea toka utotoni kula chakula cha kutosha wazaramo wakiona hivyo wanasema chakula kingi maana utakuta ana ugali wa kutosha, nyama, maziwa, kuna samaki wa kukaanga au dagaa, vyote vinaliwa pamoja nyie mnasema chakula kingi😄😄😄😄 Bantu Lady
Nenkorochee keono orereye mpaka ghonkoro!Nimeshangaa sana sifa wanatoa za waswahili sijui wa wapi afu wanawataja wakurya aisee
Tatigha mura weito weeiiiNenkorochee keono orereye mpaka ghonkoro!
Hayo bhenee taghoteraa.Lady Jaydee siyo Mkurya mamii, ni Msizaki kabila lake.
Ningw'i mokoha ubhubunge khana?Tatigha mura weito weeiii
Uni ntamanyire mura weito maana sasaigho upepo bado hauerewekiNingw'i mokoha ubhubunge khana?
Uni sasaigo mogomu ko nabhii ndenghe!
Takaribhu weito nyakwabhoo mona omama!Uni ntamanyire mura weito maana sasaigho upepo bado hauereweki
Siyo ulezi ni mtama😹😹😹😹🤣🤣🤣🤣🤣
Vyakula wanavyokula, wewe mtu akale ugali wa ulezi na kinyesi cha ng’ombe utegemee awe sawa?? 😹
Halafu wakipata mwanaume tofauti na kabila Lao ving’ang’a kweli km mayatima wa mapenzi..!! 😹
Ndacha niche mura weito.....urareTakaribhu weito nyakwabhoo mona omama!
Msizaki kabisa 😅Hayo bhenee taghoteraa.
Msizaki au mzanaki?
Haya oweitoNdacha niche mura weito.....urare
KERATO MOMBAA tacho omahe keno omusaghane ono akoghamba😹😹😹😹🤣🤣🤣🤣🤣
Vyakula wanavyokula, wewe mtu akale ugali wa ulezi na kinyesi cha ng’ombe utegemee awe sawa?? 😹
Halafu wakipata mwanaume tofauti na kabila Lao ving’ang’a kweli km mayatima wa mapenzi..!! 😹