Wanawake wa kikurya ni nomaa

Wanawake wa kikurya ni nomaa

Ni kweli wanakiburi na wanapenda kulipa kisasi na hawana utii kwa mwanamme ila ni wapambanaji wavumilivu hawana tamaa .... akikupenda utafurahi ila akikubadilikia ni mgumu sana kumrudisha katika upendo wa awali ... kuhusu umalaya sio ki vile sana .ila hana mahaba yale ya pwani ... *et akuite ( sijui baby ,my love ) ilo sahau
 
Makabila mengi yachachambuliwa sana,yote hayafai,mara hawa malaya,wengine wachawi, wengine kwenye ngoma akisikia tu hakai nyumbani,wengine wanaua waume zao,wengine madharau na majigambo.

Conclusion inakuja wanawake wanaofaa kuolewa ni wasukuma.
 
Utalishwa limbata uwe zuzu
Emmm kwanza tulia, hao wanawake umekutana kwao tarime au serengeti ama mkurya wa kehancha au ni wale wa kufika mjini hata awe mjita anakwambia mi mkurya ili tu muwaogope eti ni watu wa mapanga ilihali mwanamke wa kikurya hana jeuri ya kumshikia mwanaume panga, wala mambo ya urogi? Hao umepatana nao ni wajita, wakabwa, wakiroba huko wazanaki na jamii zingine zingine za ziwani hukoo
 
Makabila mengi yachachambuliwa sana,yote hayafai,mara hawa malaya,wengine wachawi, wengine kwenye ngoma akisikia tu hakai nyumbani,wengine wanaua waume zao,wengine madharau na majigambo.

Conclusion inakuja wanawake wanaofaa kuolewa ni wasukuma.
Lamomy umesikia 😆😆😆 sisi kabila la Watanzania hatufai pia
 
Emmm kwanza tulia, hao wanawake umekutana kwao tarime au serengeti ama mkurya wa kehancha au ni wale wa kufika mjini hata awe mjita anakwambia mi mkurya ili tu muwaogope eti ni watu wa mapanga ilihali mwanamke wa kikurya hana jeuri ya kumshikia mwanaume panga, wala mambo ya urogi? Hao umepatana nao ni wajita, wakabwa, wakiroba huko wazanaki na jamii zingine zingine za ziwani hukoo
Wakurya kabisa og hapo tarime
 
Wahanga wa malezi ya unyanyasaji utotoni
Na athari zao sio kupata ujeuri nikwambie vizuri, wanakuwa watii na wavumilivu no marr waat wazungu wanasema! Mwanamke wa kikurya anapigwa anatolewa bandama anakwenda anajiuguza akipona tu huyoo kwa mumewe, anapigwa tena wanang'oa meno ameakaa, wanavunja yupo tu kwake! Hii ni kwasababu bibi ameyaishi hayo maisha akiona, mama akayaishi hayo maisha yeye anaona, mtoto anahisi ndivyo anatakiwa kuishi no marr waaa! Kumbe ni unyanyasaji wa kijinsia na kukosa elimu na haki ya kujitetea maana hata atesekeje hatakiwi kurudi kwao hasa na kaka zake wakiwepo anasema ndoa imemshinda! Ni mwiko kwao kutoka kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom