Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 2,130
- 6,047
Bila shaka, 😆😆😆 itakuwa hajaona ule uzi wao sijui nimtag 🤣🤣Huyu jamaa ngosha si umeona alivyowapamba mademu wa kwao..!! 😹😹😹
Wanawake wa kuoa wanajulikana Tanzania 🤣
Bila shaka, 😆😆😆 itakuwa hajaona ule uzi wao sijui nimtag 🤣🤣Huyu jamaa ngosha si umeona alivyowapamba mademu wa kwao..!! 😹😹😹
Wanawake wa kuoa wanajulikana Tanzania 🤣
Danganya wengine bana wakurya tumeishi nao sana zaidi ya sana wakurya kwa kupenda kuroga nakataa, wala ujeuri wa kushika panga wala kupigana na mumewe hiyo ni mwikoWakurya kabisa og hapo tarime
Ni wachawi nimefanya kazi nao serengeti mgumu ni wauaji ni wachonganyishi mnoWakurya sio Wachawi.
Pia ni wakarimu.
Mkielewana na mwanamke wa kikurya anayejitambua hapo Hadi mauti iwatenganishe
Mi huwa najiulizaga hivi hawa ni watu au? Maana kukupiga panga hawajishauri kwa kweli awe mwanaume au mwanamke wanakuua tu😂😂😂😂 ukimpeleka ukweni mkimzingua mtajua hamjui
Mwanamke anakula ugali kilo 2 peke yake, guu km la giant, akitoa sauti kali km radi Hadi cheche..!! 😹😹😹Bila shaka, 😆😆😆 itakuwa hajaona ule uzi wao sijui nimtag 🤣🤣
Makabila mengi tu Tz hii ukitoa hao wasukumaMbali na wasukuma makabila mengine mi lazima nimpeleke kanisani aokoke kwanza
Mimi ninaushaidi bro kaoa kule na marafiki zangu wote wakurya ndo wamenishauri hivyo wakurya hapana kwkweliDanganya wengine bana wakurya tumeishi nao sana zaidi ya sana wakurya kwa kupenda kuroga nakataa, wala ujeuri wa kushika panga wala kupigana na mumewe hiyo ni mwiko
Jay dee ni mkurya kweli sio mwikizu kina wasiraKupitia uzi huu nimegundua kwa haraka haraka mkurya nayemjua ni Lady Jaydee pekee
Kabila la wakurya ni wachache ama?
Unanifanya nicheke kama chizi 😆😆😆😆🙌Mwanamke anakula ugali kilo 2 peke yake, guu km la giant, akitoa sauti kali km radi Hadi cheche..!! 😹😹😹
Em mpeleke kwenye uzi wao 🤣
Wanawake wa kisukuma ukimkuta anapima maji ya kupika ugali utafikiri anachemsha maji ya kuoga..Makabila mengi yachachambuliwa sana,yote hayafai,mara hawa malaya,wengine wachawi, wengine kwenye ngoma akisikia tu hakai nyumbani,wengine wanaua waume zao,wengine madharau na majigambo.
Conclusion inakuja wanawake wanaofaa kuolewa ni wasukuma.
Jichanganye umzingue ndio utawajua vizuri hawanaga ujirani baada ya hapo, wale sio watu we waone hivyo tuMbona kuna jirani apa Mke wake Mkuria mpole hana shida.
Ila Anawapaga sana kisago watoto wake wakizingua kuna siku alikuwa anampiga mwanae na kipande cha mbao cha 2x2 dogo akazimia
Wasukuma wa wapi?Mbali na wasukuma makabila mengine mi lazima nimpeleke kanisani aokoke kwanza
Mkurya ungesema wametoa memory card sawa, ila hayo mengine rudieni kufanya research tafazaliMimi ninaushaidi bro kaoa kule na marafiki zangu wote wakurya ndo wamenishauri hivyo wakurya hapana kwkweli
😹😹😹😹😹😹😹🤣🤣🤣🤣Wanawake wa kisukuma ukimkuta anapima maji ya kupika ugali utafikiri anachemsha maji ya kuoga..
Ndo inatakiwa hivyo nyumba inachangamka, hakuna kukaa kizembe.Hao ukikosana nao usilale ndani kwa usalama wako😁😁
Mjioe tu wakurya kwa wakurya makabila mengine sio wagomvi sisiUmekutana na mjita, mkurya hapendi urogi wala kuongea sana hasa kwa mumewe ni mnyenyekevu na msikivu mno. Kwa vile wote wanatoka mkoa wa Mara hata wajita nao hujiita wakurya kuficha identify yao sababu ya sifa zao kuu za kupenda sana madawa na kutokukaa kwenye ndoa. KERATO MOMBAA muelimishe huyo
Loh! Wala sijui hayo makabila mwikizu? Wasira nae ni wakumgoogle manake simjui 😄Jay dee ni mkurya kweli sio mwikizu kina wasira