Wanawake wa kikurya ni nomaa

Wanawake wa kikurya ni nomaa

Sawa ila mizimu ni ya kwenu sio yetu walinitupia ugonjwa wa mguu nilioukanyaga geiti la hoteli wakati ninapita walitaka kuniua wakaniwekea sumu kwenye chakula.
WAkaona sijakila wskaniwekea majambazi ile siku ni mungu tu
Uongo hao siyo wakurya mkuli kabisa atake kukua atumie njia ndefu namna hiyo wangekusubili njiani wange malizana na wewe, Yani Mkurya kabisa umemchokoza na amekasilika na amekuweka moyoni halafu akuendee kwa mganga? Kwanza huo muda wa kwenda uko ataupata wapi asili zimempanda, Jamii inayotumia waganga ni jamii ambazo hazina Asila na jazba za haraka haraka mfano Jamii za watu wa pwani, Tanga, Zanzibar, Mtwara, Lindi, Na nyanda za juu kusini uko. Nakama walitakq kukuua itakua ulianza kuwachokoza mfano Wamasai mpaka watake kuku dhuru ujue umewachokoza.
 
Mara Haikuitwa kanda Maalumu kwa bahati mbaya..Wakurya,Wajita ndio Top rated Tribe kwenye Millitary System za TZ, Kifupi ndio wanaoongeza Mifumo yoote ya Ulinzi Nchi hii..kuanzia JWTZ, Tanpol, Magereza, FFU n.k 60% ya Askari ni Chacha, Warioba, Mwita, Wambura, Magori, Mbusiro n.k


Ukiwa depo na Jina lako ni lakikurya basi unanafasi kubwa sana ya kupata ajira Jeshini..Wakurya Sio wanaume sio wanawake ni Jamii flani ambayo ishazoea Purukusheni..Jamii ya Kuwinda kuua ni dakika 0 hawachukui Maelezo mara mbili.


Kwahiyo Tahadhali kwa wanaume wa Dar/Tanga kama unataka kuchezea kipigo kila siku nenda kaoe kule kanda Maalumu
 
Najua hayo makabila nilikuwa natoa mishara mimi
Unaonekana ulikua unawakata pesa zao bila sababu labda kwa kuwabambikia makosa ya Uongo, na Una bahati hukukutana na Wakurya wenyewe na una bahati ulikua uko Serengeti ila ujinga wako ungeufanyia kule Tarime Nyamongo ndugu zako wangeufata Mwili wako Moshwari hauna Kichwa. Maana Nyinyi walipa mishahara mmeshazoe kuchukua pesa za wafanyakazi mnawakata sana pesa zao.
 
Unaonekana ulikua unawakata pesa zao bila sababu labda kwa kuwabambikia makosa ya Uongo, na Una bahati hukukutana na Wakurya wenyewe na una bahati ulikua uko Serengeti ila ujinga wako ungeufanyia kule Tarime Nyamongo ndugu zako wangeufata Mwili wako Moshwari hauna Kichwa. Maana Nyinyi walipa mishahara mmeshazoe kuchukua pesa za wafanyakazi mnawakata sana pesa zao.
Wewe ni kichaa eti , hunijui unanibambikizia ujinga tu.
Hunijui kazi upuuzi.
Eti mwochwari labda wewe kwa hiki kiburi utafuatwa wako mochwari . Sipangii mtu mshaara nimekuta mishara midogo nikaomba waongezewe mie sitoi hivi bila ya manager kuwepo na huyo mama
 
Waulizevmaana sijui ila nikazi kubwa niliku wa nayo just imagine umekuja huko ulikotoka halafu unakuja kutawala watu
Kumbe ulienda kuwatawala eeeh na ujaenda kuwa kiongozi ndiyo maana ulikiona cha moto kuna makabila hayajawahi kutawaliwa toka enzi na enzi za Ukoloni wao hawajawahi kuuzwa, Sasa unatoka uko kwenu unakuja na Tamaduni zenu uko za kufokea watu au kutukana na kuakalipia watu na wakutetemekee kisa umekuja kuwatawala. Kila sehemu wana utamaduni wao na Mira zao sasa wewe ukienda unatakiwa uwasome ili uendane nao na hii ni ata Sehemu ya kazi ukipelekwa ili ukawe kiongozi lazima uwasome kwanza na uwajue ili uwezi kutimiza majukumu yako kwa urahisi, siyo wewe umeenda sehemu umekabidhiwa ofisi tu na kuanza kupelekesha watu na kuingiza mifumo yako kwa ghafla lazima utaona kazi chungu na utona unarogwa na una chukiwa,kumbe ukujua tu kuishi na watu.
 
Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
◇ Wanaviburi vya asili sana
◇ ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
◇ Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
◇ Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
◇ Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.

NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
HAO NI WAKIRYA WA MTNDAONI
 
Wakurya ni kabila la watu wajinga ambao hawana EI Emotional Intelligence wamekuwa na kukuzwa katika Violence Mindset .

Ukimtoa John Heche Ila the rest hawapo vizuri including mentally.

Kitu Pekee nachowakubali Wakurya ni kuwa wanajiamini Sana wapo tayari kwa lolote.
Sasa huyo Heche mmemuona ndiyo ana akili ndiyo maana viongozi wa CCM wana tamba na kula maisha kwasababu kama wananchi wanashindwa kuwatambua viongozi wao, na kuona kila Kiongozi wao wa ngazi za juu yupo vizuri kuzidi wengine na hawataki kuambiwa ukweli.
 
Back
Top Bottom