Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,813
Wengi wapo hivyo sema wana kaukorofi fulani hivi ukiwa nice guy umeisha.Bwana weeh sijui ilikuwaje nikasahau, hivi Hawa mbwa kumbe wako wazi chini 😹😹🤣
Wengi wapo hivyo sema wana kaukorofi fulani hivi ukiwa nice guy umeisha.Bwana weeh sijui ilikuwaje nikasahau, hivi Hawa mbwa kumbe wako wazi chini 😹😹🤣
Mogomu konabhii nyang'ombeMbuya gibaso mono gucha bwirege mono kana uwe nowahe
Naunga mkono hojaLakini nikiacha utani wanawake wa kikurya wapo wazuri na ukikuta ana mzigo ana mzigo kweri kweri.. kiukweli mwanamke wa kikurya ukikuta kaumbika basi kaumbika haswa...
Kingine wana heshima na wana upendo..
Basi mie najua wataturu na wanyaturu wapo mkoa wa Singida tu.No, Esther Bulaya ni Mdatoga au Mtaturu wa Mara.
Naishi na mtu wa namna hii, dah mkorofi sijawahi ona.Wahanga wa malezi ya unyanyasaji utotoni
Vumilia ni muathirika wa malezi ya unyanyasaji utotoni kupitia vipigo, matusi, kashfa unakuja kuathirika wewe usiyeshiriki malezi yake huku mzazi mlezi aliyepanda mbegu hio chafu yupo zake kijijini anakula mahindiNaishi na mtu wa namna hii, dah mkorofi sijawahi ona.
Najiona nikidivorce tena
Najuta sanaVumilia ni muathirika wa malezi ya unyanyasaji utotoni kupitia vipigo, matusi, kashfa unakuja kuathirika wewe usiyeshiriki malezi yake huku mzazi mlezi aliyepanda mbegu hio chafu yupo zake kijijini anakula mahindi
Badili staili ya kuishi nae kwa afya ya akili yako tumia njia ya kukeep distance ndoa za mbalimbali kukutana wakati wa likizo au mara moja moja.Najuta sana
Unatembea kwenye maisha yangu kama unanijua vile, hivi karibuni nilihamishiwa mkoa wa mbali nikapiga shangwe moyoni, ila hawa watu anaweza kukukosesha amani hata kwa simu.Badili staili ya kuishi nae kwa afya ya akili yako tumia njia ya kukeep distance ndoa za mbalimbali kukutana wakati wa likizo au mara moja moja.
Angalau itakuponya.
Huwezi kumbadilisha mtu aliyekosa malezi ya upendo utotoni.
Mimi mazingira yamenikeep distance na amani na Nuru tele cha kufia nini sumu alipewa na mama nifie nini Mimi sitaki kabisa watoto wangu au Jamii yangu ije itumbukie huko.Unatembea kwenye maisha yangu kama unanijua vile, hivi karibuni nilihamishiwa mkoa wa mbali nikapiga shangwe moyoni, ila hawa watu anaweza kukukosesha amani hata kwa simu.
Akianza vimeseji vya chokochoko loh!
Angalau umenitia moyoMimi mazingira yamenikeep distance na amani na Nuru tele cha kufia nini sumu alipewa na mama nifie nini Mimi sitaki kabisa watoto wangu au Jamii yangu ije itumbukie huko.
Wamekuzwa kibangi bangi ni hatari sana kwa afya ya akili,wao kukutukana mbele za watu hata kwenye daladala hawaoni tabu wapo tayari kulianzisha hata mbele za watu.
Wanabeba maroho mengi sana ya uchungu bila kushaurika uponyaji sasa kwann uwe muathirika wa malezi mabovu ya mama yake
Pima moyo wako afya yako ni muhimu but kuishi na mtu anaekutawala ni ngumu sana.Angalau umenitia moyo
Unatembea kwenye maisha yangu kabisa, unajua sometimes kwa kauli na ubabe unajikuta huuoni uanaume wako kitu ambacho ni kibaya sana.Pima moyo wako afya yako ni muhimu but kuishi na mtu anaekutawala ni ngumu sana.
Verbal abuse kinywa kibaya kilichobeba moto na laana badala ya baraka na faraja unatakiwa uwe na PhD ya emotional intelligence kama Jesus Christ.
Hivi hivi unakufa
Hao ukishafunga nao ndoa ukazaa nae watoto anageuka kuwa mwanaume mwenzako, sometimes tunaishi nao tu kwa sababu ya watoto yaani hawajitambui kabisa hawajui nini maana ya familia,kama una akili za panzi ni rahisi kwenda jela kwa upumbavu wao.Unatembea kwenye maisha yangu kabisa, unajua sometimes kwa kauli na ubabe unajikuta huuoni uanaume wako kitu ambacho ni kibaya sana.
Hawa watu hawaelezeki wala sio watiifu, utaongea na kuongea anachotaka yeye ni hivyo tu huwa napata hasira sana
Aisee🤔🤔nimejichanganya sana mimiHao ukishafunga nao ndoa ukazaa nae watoto anageuka kuwa mwanaume mwenzako, sometimes tunaishi nao tu kwa sababu ya watoto yaani hawajitambui kabisa hawajui nini maana ya familia,kama una akili za panzi ni rahisi kwenda jela kwa upumbavu wao.
Huwa hawarudi nyuma sisi tuliwaoa tumeamua kukaa pembeni,na kesi study zaidi ya watu nane kilio ni hicho hicho.
Acha upumbavu kulialia hovyo,be a manUnatembea kwenye maisha yangu kabisa, unajua sometimes kwa kauli na ubabe unajikuta huuoni uanaume wako kitu ambacho ni kibaya sana.
Hawa watu hawaelezeki wala sio watiifu, utaongea na kuongea anachotaka yeye ni hivyo tu huwa napata hasira sana
Nimecheka kwa sauti....Hao ukikosana nao usilale ndani kwa usalama wako😁😁