Wanawake wa kikurya ni nomaa

Wanawake wa kikurya ni nomaa

Mademu wakikurya hawawafikii wajita kwa uzuri.. wajita wazuri balaa
Wakurya na uzuri wapi na wapi wao mtu kazi.
Faida yao hawakimbii ndoa utakimbia wewe moto na ukirudi unakuta familia ipo strong tu.
Wajita hawaoleki,pia uwatanguliza waume zao mapema thus Wana idadi kubwa ya masingle mama
 
Umesahau umalaya 😹😹
Hadi mjomba ake anampea kitumbua akilenge..!! 🤣
IMG-20250703-WA0102.jpg
 
Una maanisha kila mkurya yupo hivi au ni huyo wako tu?

Msichafue watu wote kwa sababu tu mtu mmoja yupo na tabia zisizo faa. Hii inaonyesha una uwezo mdogo sana wa kupambanua mambo. Wapo wakurya, wasukuma hata wazaramo wenye tabia nzuri, wenye heshima na wanamcha Mungu.

Sio wote ni vurugu mechi kama unavyotaka kuiamisha jamii.
 
Kwenye swala la visu au panga wengi kule siowanaume Wala wanawake wanatembea navo viunoni
Kuna bint alikua amezaa na mkurya yule mtoto alikua na mwaka mmoja na miez kadhaa lakin alikua anapenda kushika visu kutishia watu had mama yake alikua anamtishia wanasema ni Mila anatakiwa afanyiwe yule mtoto na ni WA kiume
 
Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
◇ Wanaviburi vya asili sana
◇ ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
◇ Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
◇ Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
◇ Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.

NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
Sidhani kama umefanya utafiti vizuri...yote hayo uloyasema kwa sasa yapo kwa makabila mengine. Kuna mshikaji alioa msukuma mgomvi balaa ubabe kuzidi hata hao wakurya; waliachana akapata demu wa kiHa, kafupi kagomvi balaa😂😂😂

Sasa kaoa mkurya ndo ana amani ...

NOTE: UBABE na ukatili ni hulka ya mtu. Zamani tuliambiwa kwamba wanaume wa mkoa wa Mara wanapiga wanawake...siku hizi simulizi anatoka kila upande wa Tanzania
 
Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
◇ Wanaviburi vya asili sana
◇ ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
◇ Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
◇ Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
◇ Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.

NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
wewe ni mwanaume dar
 
Back
Top Bottom