Wanawake wa kikurya ni nomaa

Wanawake wa kikurya ni nomaa

😂😂😂 ila wakurya wamekomaa sana mwili mzima misuli wengi wana shape za simba😁
😹😹😹😹🤣🤣🤣🤣🤣

Vyakula wanavyokula, wewe mtu akale ugali wa ulezi na kinyesi cha ng’ombe utegemee awe sawa?? 😹
Halafu wakipata mwanaume tofauti na kabila Lao ving’ang’a kweli km mayatima wa mapenzi..!! 😹
 
😹😹😹😹🤣🤣🤣🤣🤣

Vyakula wanavyokula, wewe mtu akale ugali wa ulezi na kinyesi cha ng’ombe utegemee awe sawa?? 😹
Halafu wakipata mwanaume tofauti na kabila Lao ving’ang’a kweli km mayatima wa mapenzi..!! 😹
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mjioe tu wakurya kwa wakurya makabila mengine sio wagomvi sisi
Acha ku generalize vitu ambavyo huna uhakika kumbe ni kusimliwa na kumuona huyo msaghane mmoja shemeji yako! Kwa mkoa wa Mara mwanamke wa kikurya ndiye wa kuoa maana kwanza hata ni aibu eti mgombane na mume umsababishie kovu la kupigana weeeiiii watakushangaa mpaka unaingia kaburini au eti mumeo amekupiga umpeleke polisi akah akah unapata wapi hiyo jeuri
 
Acha ku generalize vitu ambavyo huna uhakika kumbe ni kusimliwa na kumuona huyo msaghane mmoja shemeji yako! Kwa mkoa wa Mara mwanamke wa kikurya ndiye wa kuoa maana kwanza hata ni aibu eti mgombane na mume umsababishie kovu la kupigana weeeiiii watakushangaa mpaka unaingia kaburini au eti mumeo amekupiga umpeleke polisi akah akah unapata wapi hiyo jeuri
Afu wanasema mwanamke wakikurya usipompiga maana ake humpendi wanapenda shalishali tu kila wakati
 
😂😂😂😆😆 yaan leo ni mwendo wa makabila tu ukienda huku wasukuma, ukirudi hapa wakurya ukitoka nje wahaya. nashukuru mimi kabila langu la Mtanzania bado sijafikwa 😁😁😁
Wacha tumwage ugali ili me akija kulialia hapa asiseme hajaambiwa
 
😹😹😹😹😹😹😹🤣🤣🤣🤣
Hao watu wanakula jamani km mipaka shume 🤣
zablon_lukiko_1731559725_3500899179048304442_38528896030.jpg
 
Naona mnajichanganya sana na kabila la kikurya orgii, hakuna mwanamke mkurya anaongea saana kwa mumewe au kujifanya mbabe au kupenda urogi, mara ina vikabila vingi vyenye tabia hizo ambazo pia huwezi mkuta mwanaume wa kikurya ameoa!
Labda we ni mgeni, Mara kabila ni mbili inabidi uwe na breki kali ukishuka mlima kitonga.
Wakurya na wajita labda upate mtoto wa baba mama wote ni wachungaji.
Hawataki mwanaume muungwana mstarabu
 
Afu wanasema mwanamke wakikurya usipompiga maana ake humpendi wanapenda shalishali tu kila wakati
Wewe kumbe unatembea na story za kusimliwa kichwani! Hakuna mwanamke anayependa kupigwa, wala mwanamke wa kikurya hawezi anzisha vurugu yoyote kwa mume, ila ni ile imejengeka tu kwenye jamii ya unyanyasaji na ukandamizaji wa jinsia ya kike kwamba kukupiga ni sehemu ya maisha yako ikitokea akakupiga basi sio kosa, hata akukate panga ukienda kutibiwa utasema tu nlikuwa nakata kuni nikajikata ni mwiko kusema amepigwa na mume, hata amng'oe meno atasema amepata ajali sio kupigwa! Uhalali wa kupigwa unakuja kwamba toka amezaliwa amekuta wanawake wengi kwenye ndoa wanapigwa including mama yake sasa yeye ataonaje ni vibaya apaze sauti ya kusaidiwa?
 
1.Kama kitu hukijui uliza kwanza..
Mwanamke wa kikurya huwa hapendi kubishana na mme wake maana si tabia yao na hawana michambo.
2. Kati ya wanawake ambao wakiolewa huwa ni nadra kurudi rudi kwao ni wa kikurya.
3. Ukuryani uchawi haupo hayo tunayasikia kwa wengne kama wajita, wajluo, wazaramo na mauchafu uchafu mengne huko.
4. Ni kosa mwanamke wa kikurya kupigana maana kwanza akipgana na mme wake maanake kawaharibia cv mabinti wa familia na ukoo huo. Sisi ukuryani mwanamke kutokuolewa ni cv mbaya si kama kwa wazaramo ambapo kuolewa jumamosi na kuachika jumatatu ndyo utambulisho wao.
5. Hayo mapanga unayoyasema si kweli kwa wanawake sijayaona.
6. Neno limbwata ni geni sana ukuryani maana waweza onekana wa ajabu..

NB. SI KILA MWANAMKE ANATOKA MARA NI MKURYA WENGNE NI WAJALUO, WAJITA NA JAMII YAO.
 
Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
◇ Wanaviburi vya asili sana
◇ ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
◇ Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
◇ Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
◇ Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.

NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
Inatakiwa kabla hujaanza kuponda Wakurya, utaje wewe ni kabila gani ili tujue kama kuna AFADHALI
 
Back
Top Bottom