Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,952
- 10,593
Tamotebhyi mona weitoPunguza uongo mosaghane nyamohene.

Ndyo mm ni mkurya na nawapenda wanawake wa kikurya maana ndo kabila lililotulia, hawaui wanaume, hawaendi mdundiko, hakuna cha kangamoko, wavumilivu, hawafungi ndoa jumamosi, halafu jumatatu ikavunjika, ni watu wa kusimama na familia..Unaonyesha ni mkurya
Hapana, huwa wanakula nyama mbichi...Wahdazbe 😎
Omanye oyo no mchaga bhala bhaguita bhasacha bhabho!Punguza uongo mosaghane nyamohene.
Oooh kumbe no mchagaOmanye oyo no mchaga bhala bhaguita bhasacha bhabho!
Kwani akikeketwa panaziba?Wanakeketwa ndo tatizo linaanzia hapo..!! 😥😹
Soma coment taratibu ueleweWe ulisikia wapi Mara kuna kabila mbili
MmmhWewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
◇ Wanaviburi vya asili sana
◇ ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
◇ Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
◇ Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
◇ Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.
NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
Ulikua na uspesho gani hadi wakuandame wewe tu?So kinekuuma kisa ukweli huna imani imani ndio inakuonyeshA watu wasio wema kwao nyie niwauaji walitaka waniue .
Wakaniwekea sumu kwenye chakula wakanitupia uchawi kwenye mguu,wakanitumia majambazi
Naenda Ukryani wiki hii sasa mbona unanitisha mkuu. So nikae mbali nao sio?Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
◇ Wanaviburi vya asili sana
◇ ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
◇ Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
◇ Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
◇ Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.
NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
Nionyeshe msukuma asiye na chale ""kuchanjwa chale"Makabila mengi yachachambuliwa sana,yote hayafai,mara hawa malaya,wengine wachawi, wengine kwenye ngoma akisikia tu hakai nyumbani,wengine wanaua waume zao,wengine madharau na majigambo.
Conclusion inakuja wanawake wanaofaa kuolewa ni wasukuma.
Dawa yake ndogo sana,,,,unanunua manati,akianzisha vanga unakaa mbali alafu unamtandika ya kichwa,,,Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
◇ Wanaviburi vya asili sana
◇ ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
◇ Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
◇ Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
◇ Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.
NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
Wanaume tusimame hapa maana tusipo kaza wengi wetu ndipo wanapotawaliwa sana.◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana