Wanawake wa kikurya ni nomaa

Wanawake wa kikurya ni nomaa

Mmm wakurya wachawi wewe huwajui wa kurya yani kabisa Mkurya umegombana nae aende kukuroga? Au umemdhulumu pesa aende kwa mganga? Kwanza huyu Mganga kwao Tarime hakuna,kama wanaenda kuwafata waganga nje ya mkoa na Mwanamke wakikurya hawezi kufunga safari akaenda mkoa mwingine akafata mganga amfanyie dawa ya mapenzi. Kule Mkoani mara kuna makabila Mengi karibia yana fika 20 kwa hiyo usikalili siyo kila mtu akisema anatokea mkoa wa Mara basi ni Mkurya, Nyerere, Butiku, Wasira, Jaji mkuu wa sasa Prof Muhongo, Simon sillo siyo wakurya na wanatokea Mkoa Wa Mara, Wakurya Original kwao Wilaya ya Tarime ila Wilaya zingine hizo Serengeti, Bunda, Musoma, Butiama uko Wakurya siyo kwao.
Michawi, black black, white white..!!
Pole kiongozi km imekugusa 😹
 
Huyo hajui na hajatembea wasukuma wanavyopenda waganga kule kila Nyumba ina mganga wake na utakuta kiongozi wa Dini kabla ya kwenda kwenye ibada anaenda kwanza kwa Mganga na Wanawake wote wa Kisukuma wamechanjwa chale mgongoni na kifuani.
Anatetea kabila lake 😹
Wasukuma ni makontawa kwenye uchawi, hao wana chale mpk kwenye vibumbu..!! 🤣
 
Ni wachawi nimefanya kazi nao serengeti mgumu ni wauaji ni wachonganyishi mno
Mugumu gani hyo kuna wachawi? Au serengeti gani hyo? Eneo lipi?
Sema wewe ulikuwa unafuatiliwa na mizimu ya kwenu au uchawi ulikuwa unatoka huko kwenu
Wakurya hawana hzo pigo..
Ukimzingua tu anakuja moja kwa moja kwako au kama umemkasirisha sana atakutumia mtu uache huo ujinga..pigo za kichawi nimezisikia humu mitandaoni..
 
Malezi yao utotoni sio mazuri mama zao hawajui malezi thus upelekea watoto wao ngumu sana kuishi na jamii ingine.
Upelekea mabinti zao kuwa na tabia za kuja juu bila kurudi nyuma
Kweli kabisa sipingi
 
Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
◇ Wanaviburi vya asili sana
◇ ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
◇ Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
◇ Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
◇ Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.

NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
Mwanamke wa kikurya anatakiwa aoelewe na mwanaume wa kizanzibari.

Wanapenyezewa maneno flani hv wanalainika kama mlenda
 
Mugumu gani hyo kuna wachawi? Au serengeti gani hyo? Eneo lipi?
Sema wewe ulikuwa unafuatiliwa na mizimu ya kwenu au uchawi ulikuwa unatoka huko kwenu
Wakurya hawana hzo pigo..
Ukimzingua tu anakuja moja kwa moja kwako au kama umemkasirisha sana atakutumia mtu uache huo ujinga..pigo za kichawi nimezisikia humu mitandaoni..
Sawa ila mizimu ni ya kwenu sio yetu walinitupia ugonjwa wa mguu nilioukanyaga geiti la hoteli wakati ninapita walitaka kuniua wakaniwekea sumu kwenye chakula.
WAkaona sijakila wskaniwekea majambazi ile siku ni mungu tu
 
Back
Top Bottom