Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,290
- 26,766
Kioo cha jamii huyu , "madeu za watu "mambo yao ni private.Yaani umeleta uchambuzi wa mademu za watu
Sasa hata kama ni kioo ndio uje na uzi wa Mademu zake wote?Kioo cha jamii huyu , "madeu za watu "mambo yao ni private.
Mtuombee wanawake tunapitia magumu/Haya nayo ni ubatili tu!
Anzisha Uzi wa "demu wake mmoja"Sasa hata kama ni kioo ndio uje na uzi wa Mademu zake wote?
Nipo nje kikazi. WaWatu wa Darslums kwenye ubora wao
Ni kweli lakini hao ma "house boy" hawawezi kuwakuta tena hawa wadada.Huyo aliyemuoa yeye kwani kamkuta bikra si alishaguswa
Kila mtu ashinde mechi zake
Nilimwambia Tundu Lissu watu anaowapigania ndio hawa. Apime kama bado ana haja ya kuendelea kuwapiganiaYaani umeleta uchambuzi wa mademu za watu
wakati mwingine nyie ndio mnatuchanganya...Mtuombee wanawake tunapitia magumu/
wakati mwingine nyie ndio mnatuchanganya...Mtuombee wanawake tunapitia magumu/