Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,208
- 40,183
Old trafford dakika 90 😀😀😀Mwili wa binaadamu upo tofauti kwa kila mtu hata kama mmezaliwa baba mmoja na mama mmoja.
Kuna wanawake jino moja na wengine mpaka mkongo na pia kuna wanaume TACKLE tatu wngine OLD Trafford Dakika 90 ,Kuna wanaume Mandingo na wengine AliKIBA ,Kuna wanawake Suez Canal wengine AMBONI ,kwahiyo tutafute tunaoendana nao.