Wanawake tuwekane sawa kuhusu 'kukojozwa'

Wanawake tuwekane sawa kuhusu 'kukojozwa'

I a medical doctor for over 10 years now,medicine,physiology,anatomy,and psychology are what i deal with daily.

Labda kama hukwenda shule,na hata kama ulikwenda basi biolojia ilikupita kushoto.
Kua Daktari hakukufanyi uwe na evidence ya utamu anaopata mwanamke unless nawe unakojozwa. Waachie mambo yao hawaeleweki.
 
... hivi hisia tunazopata wanaume tunapotoa manii huwa hazilingani na hisia za wanawake wanapopokea manii yetu? Mi nilikuwa nafikiri mshindo wa mwanaume unatosha kumpa mshindo mwanamke na kwamba kukojoa kwao ni raha tu ya nyongeza!
😯 😅
 
... acha tu niulize, ... hivi 'nozzle' yangu inaporusha manii mengi kwa spidi kali huwa husikii msisimko unaoshinda hata huko kukojozwa!? KUWA MUWAZI BASI NIJIREKEBISHE IKIWEZEKANA HONEY!
Unanipa vitu vigeni, sijawahi kusikia hicho kitu!
 
Kukojoa kwa mwanaume ni must sio kwa mwanamke(sio kila mwanamke anaweza kukojoa ktk kila tendo) sababu anaathiriwa sana na state of mind,kwahiyo acheni kulaumu hamkojozwi,wakati mkaka wa watu anasimamia kucha mpaka unakauka lakini wapi.
Wengine tumezoea kufunga mabao kwa mashuti ya mbali goli mpaka goli linapigwa shuti kutokea katikati ya uwanja Roberto Carlos kitu waya
 
Wenzetu 90% ya akili zao wanawaza maendeleo ya AI, wabongo sisi na chupi 24/7, toothpics zimetushinda na mapori yote tulionayo. Ndo kuvunjika viuno kwenyewe huko.
Anza wewe mkuu au nenda kwenye jukwaa la kujadili biashara
 
Back
Top Bottom