Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

hahaha acha kujisifia ww ukute kila unaemsimamisha anakutoa baruuu halafu ukifika jf unaanza kujisifia.
Siyo kwa hawa wa dada wa karne hii. Wale wa enzi zetu wangukupa shida kidogo. Hawa wa sasa ukiwaomba namba za simu wakakupa ujue wameshakubali kulala kwenye sita kwa sita wakiwa na nguo zao za kuzaliwa.

Believe me you!
 
Wanawake wengi wanapenda kujaliwa, kufurahishwa mara kwa mara na stability ya kimaisha (sio lazima uwe na nyumba Mbezi Beach lakini)...hayo mengine ni mazungumzo baada ya habari..!
 
haha,first date yangu moja...so,we met at around 6.30pm..jamani huyo kaka aliongea yeye tu hadi 9pm,he even came with his own wedding date,kuwa keshapanga yeye...oh,and he was even talking bad things about his young sisters and ex gf..i never turned back....
 
Preta umegonga ikulu, kesho nina kakideti ka kwanza kabisa. Nimezisoma point zote nitaziapply na zaidi ya yote mkanda na viatu vitakuwa tofauti ili ajua sijawahi kuwa na she kami miaka mitano iliyopita. Tehe
 
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....

1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.

2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.

3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.

4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.

5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.

6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.

8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.

9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.

10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.

habari ndio hiyo........

.....dahhhh, nimefeli namba nane [8] na kumi [10].
mila na desturi za kwetu haziruhusu.
 
Hayo mambo ya wallet sitaki hata kusikia. Niliwahi kuchaniwa suruali nikaibiwa 90000, kitambulisho cha kazi, nhif card, atm na kila kitu kilichokuwemo. Toka siku hiyo nimesahau kutembea nazo.
 
Siyo kwa hawa wa dada wa karne hii. Wale wa enzi zetu wangukupa shida kidogo. Hawa wa sasa ukiwaomba namba za simu wakakupa ujue wameshakubali kulala kwenye sita kwa sita wakiwa na nguo zao za kuzaliwa.

Believe me you!
mmmmmmmmmh?????????????????????????
 
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....

4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.

Hii ya kuweka ela kwenye waleti utanionea. Waleti ina kitambulisho cha kazi, kadi tatu za banks, kitambulisho cha bima ya afya, leseni ya udereva, kadi ya mpiga kura, kadi ya CDM, picha za paspot (for emergence), na business cards mbili tatu... Nikiwekaga hata elfu 40 haifungi tena. Na inatakiwa isitune sana ili ifiti mfuko wa nyuma, nikikaa nikae comfortably. ...in average mfukoni natembea na laki 3, zitaenea?
 
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....

1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.

2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.

3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.

4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.

5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.

6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.

8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.

9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.

10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.

habari ndio hiyo........
Mdada akifuata vigezo hivyo, atakuwa pia kwenye hatari ya kunasa kwa masharobaro, masharobaro wanayatambua hayo na zaidi, kabla hata mdada hajawahi kuyafikiria.
 
hapo namba nne kwenye nyekundu,vp mimi ninaye natembea na mabulungutu na kwenye wallet hayatoshi inakua ndogo!??

mara nyingi ukiwa na mazoea ya kutembea na hela nyingi huwa hazi fit kwenye walet, na hauziweki kwenye walet. Kwenye walet kunakuwa na vitambuisho, business card, n.k.
 
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....

1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.

2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.

3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.

4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.

5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.

6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.

8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.

9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.

10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.

habari ndio hiyo........
Dada yangu, wachangiaji wanakustahi kwa sababu umo JF kwa muda mrefu na wamekuzoea. Angekuwa ni mtu mpya JF ndio katuma huu uzi, angeshaufunga na kwenda kulala kwa comment za kashfa ambazo angedondoshewa na wana JF.
Vigezo ulivyoviweka hapo hutumiwa na msichana teenager ambae hajajua maisha halisi yakoje. Samahani lakini sijui una umri gani.
 
Mi nafikiri title ya hii thread yako Preta ingekua 'Ninachoangalia..', ujiongelee wewe kama wewe manake kila mwanamke ana mambo yake yanayomvutia kwa mwanaume.

Mimi nimekulia bush and i can tell you most of these things dont exist kabisa huko. Kidate cha kwanza unakutana na mtoto chini ya mti wakati yeye katoka au anaenda mtoni, mtoto wa kiume hapo umetoka shamba au kuchunga mbuzi- mfukoni huna hata senti tano, shati limepaukaa na kwapa linatema mbaya! Mtoto wa kike anachumachuma tujani na kututafuna huku akiangalia chini!! Na ukitongoza hujibiwi hapohapo, lazima akupe siku ya kukujibu tena. Sio siku hizi date ya kwanza tu unaenda kulamba mzigo. Enzi hizo ndo kulikua na mapenzi ya kweli, unampenda mtu kama alivyo bila kujali unene wa wallet yake au ananukiaje. Hizi tamthilia zimeharibu sana mambo siku hizi..
 
Dada yangu, wachangiaji wanakustahi kwa sababu umo JF kwa muda mrefu na wamekuzoea. Angekuwa ni mtu mpya JF ndio katuma huu uzi, angeshaufunga na kwenda kulala kwa comment za kashfa ambazo angedondoshewa na wana JF.
Vigezo ulivyoviweka hapo hutumiwa na msichana teenager ambae hajajua maisha halisi yakoje. Samahani lakini sijui una umri gani.

mi ningeomba tu nikushauri.......Ingia jf KWA MALENGO MAALUM......usiwe serious sana.....sawa eeeh......
 
Back
Top Bottom