Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.
2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.
3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.
5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.
6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.
7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.
8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.
9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.
10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.
habari ndio hiyo........