Wanawake tumewakosea nini wanaumeeee!! Kisa mnakata umeme!??

Wanawake tumewakosea nini wanaumeeee!! Kisa mnakata umeme!??

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,489
Reaction score
1,466
Mwanamke ndio kiumbe pekee ambaye kitu anachokitaka leo hakitaki kesho

Kitu anachokipenda leo hakipendi kesho na mbaya zaidi anaweza kurudi kwenye vitu vile vile ambavyo alisema havipendi

Mwanamke ndio kiumbe pekee ambaye akifanya kosa anajua kuwa kakosea ila kukubali na kuomba msamaha anahitaji semina na ushauri wa kila mtu

Mwanamke ndio kiumbe pekee ambaye ukimpenda sana anaanza kuona umekosa pa kwenda ndio maana una mganda

Ndio maana kwa wanaume wale wanaojitambua na wenye hadhi kubwa wao suala la kumjali mwanamke sio kipaumbele chao

Wanajitahidi sana kuwapa muda mchache wanawake sababu kadri mwanamke anavyokuwa hakupati kirahisi ndivyo anavyojiona anakuhitaji zaidi

Ila kama akituma tu message ushajibu, akipiga tu ushapokea hawezi hata kukumiss basi jua kuna hatari ya kumpoteza
 
Back
Top Bottom