Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

[emoji46][emoji46][emoji46]
 
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
[emoji23][emoji28][emoji23] sorry nimecheka mana wenzio woote zimenitoa machozi....wewe umenichekesha na hayo majibu ya manesii [emoji125][emoji125][emoji125]
 
wanawake wa siku hizi shida tupu...... hii nini sasa.

nani asiyejua kuwa mnazaa kwa uchungu, hata kwenye biblia imeandikwa, sasa kuja kusimuliana humu ni kujikosea heshima wenyewe, wala haina maana, mnawadhalilisha wanawake wenzenu
Shit hole go you tube uwaambie
 
poleni wanawake ila mliambiwa mtazaa kwa uchungu mlidhani Mungu anatania, hata sisi huku tunavyotafuta tunatafuta kwa jasho kweli kweli mle, mpendeze mfurahi na kuzaa pia.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Dunia imebadilika chief, tupo karne ya 21 tunakimbilia ya 22
 
Wanawake wa kuwaheshimu kwa kwel. Nilimpeleka dada angu jumapili akaja kujifungua ijumaa. Mie ndio nlikua nashinda nae hospital nlikua namwambia mama na baba wawe wanakuja muda wa chakula tu na mumewe alikua anakuja jion. Kwa kwel alipata tabu sana mpaka alikonda. Alivyojifungua wa kwanza kumpigia simu nlikua mie mdogo wake akaniambia asante kaka angu kiukwel machoz yalinitoka manake nlidhan ningemkosa dada angu
 
[emoji46][emoji46][emoji46]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…