Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,165
Shida ilikuwa nini au walikuibia mtotoWao wenyewe wakaanza kujifanya kushangaa na kumtupia lawama mtu wa picha lakin akawaambia ana uhakika na majibu yake.Ukweli niliishia kuumia hadi leo sikuchukua hatua yoyote ukizingatia hata pesa nilikuwa sina for that time.
Hiyo hospital inaitwa Igogwe.
