Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,824
bado haujazaa?poleni,kama kuna jambo naliogopa maishani ni kuzaa lol
bado haujazaa?poleni,kama kuna jambo naliogopa maishani ni kuzaa lol
hahahaShabiki maandazi, nikikatazwa ndio nafanya nilichokatazwa
Sasa hiyo trela,,,kuna kubwa mbili ndo nikikumbuka naliaga tuu
Ntakusimulia moja.
Unajua uzazi wa kwanza unakua hujui vitu ,,sasa ikafika muda nimeshikwa haja ndogo lakini haitoki,( naskia mtoto anaweza gandamiza pale kwenye kibofu)kila nikienda haja haitoki,,nikaanza kuhisi maumivu makali sana,,nikaita nesi,,akaja kwa ukali,, nini?? Nikamwambia nesi tangia Jana usiku sijakojoa mkojo hautoki ( tangia SAA mbili usiku mpaka saa mbili asbh) akanambia pumbavu wewe kwa hiyo Mimi Nije kukukojolesha Nina kazi zangu usiniite ,,akaondoka. Kufika saa NNE nikaona kama sasa nakufa,, kama nataka kupasuka,,nikaita kwa yowe kubwa kwa uchungu sana,,,nilikua na mwenzangu mmoja( tuliweka chumba chetu Tulikua na pressure) akaita nesi njoo naye akawa anaogopa akajua nakufa,nesi akaja nikamwambia tena akafyonza akaondoka, ,Bahati muda ule kuna kijana wa field akapita ( Mungu ambariki aliko) nikamwambia akasema nipe hela nikanunulie mpira nje,,akaja akaniwekea ,,yani pale pale kifuko kikajaaa,,akasema Dada ulikua unapasuka kibofu,,SITASAHAU ,,,
Pole sana darling kwa machungu uliyopitia, aisee hawa ndugu zetu sijui wana roho za aina gani, hakika umewasemea wanawake millions wanaotaabika huko mahospitalini....Hakuna,, havihusiani.kuna Dada niliyekua naye,,alikua na tumbo limekaa km Chungu afu liko juu halijashuka na siku zimefika,,waliitana wanacheka njooni muone tumbo gani hili,,,tumbo kibuyu,,aisee nilijionea maajabu ya dunia,,,
Kwa kweli hizi storia sikia kwa wengine,pole kwa hiyo expetienceSasa hiyo trela,,,kuna kubwa mbili ndo nikikumbuka naliaga tuu
Ntakusimulia moja.
Unajua uzazi wa kwanza unakua hujui vitu ,,sasa ikafika muda nimeshikwa haja ndogo lakini haitoki,( naskia mtoto anaweza gandamiza pale kwenye kibofu)kila nikienda haja haitoki,,nikaanza kuhisi maumivu makali sana,,nikaita nesi,,akaja kwa ukali,, nini?? Nikamwambia nesi tangia Jana usiku sijakojoa mkojo hautoki ( tangia SAA mbili usiku mpaka saa mbili asbh) akanambia pumbavu wewe kwa hiyo Mimi Nije kukukojolesha Nina kazi zangu usiniite ,,akaondoka. Kufika saa NNE nikaona kama sasa nakufa,, kama nataka kupasuka,,nikaita kwa yowe kubwa kwa uchungu sana,,,nilikua na mwenzangu mmoja( tuliweka chumba chetu Tulikua na pressure) akaita nesi njoo naye akawa anaogopa akajua nakufa,nesi akaja nikamwambia tena akafyonza akaondoka, ,Bahati muda ule kuna kijana wa field akapita ( Mungu ambariki aliko) nikamwambia akasema nipe hela nikanunulie mpira nje,,akaja akaniwekea ,,yani pale pale kifuko kikajaaa,,akasema Dada ulikua unapasuka kibofu,,SITASAHAU ,,,
Kama ni kweli hao hawakuwa manesi ni vimeoHakuna,, havihusiani.kuna Dada niliyekua naye,,alikua na tumbo limekaa km Chungu afu liko juu halijashuka na siku zimefika,,waliitana wanacheka njooni muone tumbo gani hili,,,tumbo kibuyu,,aisee nilijionea maajabu ya dunia,,,
Sisi wengi wanaosomea nursing ni waliofeli,,sio kupenda,,,,ndo mana . private wanalazimika kuwa wastaarabu kwa sababu ya kulinda kaziPole sana darling kwa machungu uliyopitia, aisee hawa ndugu zetu sijui wana roho za aina gani, hakika umewasemea wanawake millions wanaotaabika huko mahospitalini....
Wenzetu wapo mbele kwa kila kitu, hata kujali na kuliwaza wametupita.
Sijawahi kuona mama anauchungu halafu anapewa maneno ya karaha na kupigwa juu.
Badae nilikuja kuanza kuhisi labda ni mawakala wa mashetani, ,sio kawaida,, ingawa Morogoro Hosp hayo mambo ni kawaida sanaKama ni kweli hao hawakuwa manesi ni vimeo
Kwa waliojifungulia private wataona kama haya hayapo,ila kama wamo humu wajirekebishe,ukomtenda vibaua mjamzito wakati wa uchungu na bahati mbaya mwanaye akafariki hata utumie lugha gani hatakuelewa,somethong need to be doneBadae nilikuja kuanza kuhisi labda ni mawakala wa mashetani, ,sio kawaida,, ingawa Morogoro Hosp hayo mambo ni kawaida sana
Labour kuna ukatili sana ,Iliwahi tokea mke wangu kapigwa picha kaambiwa ana mapacha but mwisho wa siku akapewa mtoto mmoja mfu tena kwa ukatili wa hali ya juu.Hadi leo nikiangaliaga ile kadi na mimba ilivyokuwa kubwa na kumtesa hadi namuogesha nakumbuka mengi.Manesi wengine siyo kabisa.Duuuh.
Pole Sana, mimi pia ni mchanga wa hospitali zetu za serikali. Ila hakikisha kama mkeo ni mjamzito uwe unamweka kwenye maombi Sana. Pia kumbuka kuombea hao watakaomuhudumia mkeo. Ni jambo dogo lakini limetusaidia Sana. Mungu anasikia na atajibu. Usiku mwema.Iliwahi tokea mke wangu kapigwa picha kaambiwa ana mapacha but mwisho wa siku akapewa mtoto mmoja mfu tena kwa ukatili wa hali ya juu.Hadi leo nikiangaliaga ile kadi na mimba ilivyokuwa kubwa na kumtesa hadi namuogesha nakumbuka mengi.Manesi wengine siyo kabisa.Duuuh.
Najua picha haidanganyi sasa bora wangenipa wote nikawazike maana wife aliishiwa nguvu hata hakujielewa but am sure hawakunipa mtoto mmoja though wanadai alikuwa mmoja ila taarifa za picha walizoandika ktk kadi ziliendelea kuwaumbua.Labour kuna ukatili sana ,
Pole sanaIliwahi tokea mke wangu kapigwa picha kaambiwa ana mapacha but mwisho wa siku akapewa mtoto mmoja mfu tena kwa ukatili wa hali ya juu.Hadi leo nikiangaliaga ile kadi na mimba ilivyokuwa kubwa na kumtesa hadi namuogesha nakumbuka mengi.Manesi wengine siyo kabisa.Duuuh.
Kuna watu wananunuaga watoto,,,, poleni,,Inauma sanaNajua picha haidanganyi sasa bora wangenipa wote nikawazike maana wife aliishiwa nguvu hata hakujielewa but am sure hawakunipa mtoto mmoja though wanadai alikuwa mmoja ila taarifa za picha walizoandika ktk kadi ziliendelea kuwaumbua.
Ipo siku Mungu ataonekana.
Nilishawahi sikia kitu hicho tena kwa pesa ya adabu.Kuna watu wananunuaga watoto,,,, poleni,,Inauma sana
Duh! Pole sana lakulini mateso haya yatapungua endapo tutayaweka wazi nao wataogipaMorogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell
Pole sana mkuuMorogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell
Dah pole sana mamii....stori yako imenihuzunisha..Mungu atusimamie wanawake wote tunapitia makubwaMorogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell

Duh! Pole sana mpendwaSasa hiyo trela,,,kuna kubwa mbili ndo nikikumbuka naliaga tuu