I don't agree with you. Kwani hapo Nani katumia lugha mbovu. It's just an experience. Hebu Wanawake tuache kujinyanyapaa. Tujivunie mbele za dunia shida tunazopitia katika kuleta viumbe duniani. Proud of my scarsMwanamke uliyefundwa huwezi kusema haya mambo hadharani
Ni eidha ulizaa ukiwa mwanafunzi/mwanachuo au umekuwa mama kabla ya wakati wako.
Vinavyofanyika/kutokea leba ni siri, kuvimwaga hadharani hapa ni kujivua nguo. Ndio maana hata manesi/wakunga hawavitoi nje.
SwadaktaSidhani kama kuna kitu kigeni chochote duniani, uchungu na leba ni mambo ya kawaida kabisa uliza wanaosomea udaktari, kwa dunia ya leo iliyoendelea watu watakushangaa kusema jambo kama hilo, ukiingia YouTube kunazo hadi video ya kuzaa.... Sasa sielewi unazungumzia siri katika muktaza gani
Kwa mlivyo nadhani hayo ndo maumivu makali sana ambayo huyapitia nyie kina mama
Sasa bila uchungu unazaaje?Ni dawa ya ganzi inayoondoa uchungu wote wa kujifungua. Inawekwa mgongoni kwa IV (dripu) wakati wote wa leba.
Kwani unapodungwa sindano ya ganzi ili kung'oa jino inakuwaje husikii uchungu?Sasa bila uchungu unazaaje?
Kwa nini wasema hivyo hutaki kujulikana kama una mtoto/umezaa?Huku ni kujidhalilisha sisi wanawake
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Kwa nini wasema hivyo hutaki kujulikana kama una mtoto/umezaa?
Morogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell
sijawahpole sana mkuu....
sorryMorogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell
Itakubidi tu love.... thou naskia huwa kuna kauchungu fulani hivi but najua utakashinda.....poleni,kama kuna jambo naliogopa maishani ni kuzaa lol