Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

Hawa wanaume wasio na hela ukijiingiza kwao umejiingiza kwenye matatizo. Yani wana vijitabia fake vingi sana. Dini wanazijua wao, wema, utu upendo wanaujua wao, sasa ngoja mambo yanyooke unaweza usiamini kama ni yule yule alokuwa mnyenyekevu.

Hana pesa, hivyo defence yake ni hiyo kujifanya wanapenda sana,wapole,wacha Mungu, ila ukimkuta mwenye pesa mwenye tabia hizo basi ujue ni kweli thats realy him.
 
Hizo ni tabia za baadhi ya binadamu, sio wanaume kama mnavyosema. Ulimbukeni wa pesa tuneumbiwa jinsia zote, generalization sio kitu kizuri. Mara ngapi tunaona wanawake wakiwakimbia waume zao na kwenda kwa wanaume wenye pesa....hasty generalization hizo!!
 
Unatoaje ushauri kwa mambo ambayo you're not qualified? That's my question. Yani wewe sio business consultant na wala huna utashi wa biashara, zilikushinda na ukaacha lakini wewe ndio wa kwanza kushauri wenzako jinsi ya kufanikiwa....aaaah, I don't buy it!! Labda unieleweshe zaidi ex darling.

Ngoja jioni tukionana nitakuelewesha maana wewe hivihivi hata hunielewagi.
 
Mpe Pole sana huyo dada sasa ajipange kuendesha maisha yake na asimame kama yeye,hiyo habari ya ndoa asahau maana yeye ndo alilazimisha
 
Hana pesa, hivyo defence yake ni hiyo kujifanya wanapenda sana,wapole,wacha Mungu, ila ukimkuta mwenye pesa mwenye tabia hizo basi ujue ni kweli thats realy him.
atoto, blame games sio kitu kizuri. We are both prone to err. Ulimbukeni wa pesa ni kwa jinsia zote, very few would escape that. Wadada kibao wanaacha waume zao na kukimbilia wenye nazo, tuwaiteje nao....
 
Last edited by a moderator:
Hi habari imenipunguzia siku ya kuishi leo kwa kweli.
 
Hizo ni tabia za baadhi ya binadamu, sio wanaume kama mnavyosema. Ulimbukeni wa pesa tuneumbiwa jinsia zote, generalization sio kitu kizuri. Mara ngapi tunaona wanawake wakiwakimbia waume zao na kwenda kwa wanaume wenye pesa....hasty generalization hizo!!

bora useme wewe maana sisi wengine tushaanzwa kuchunguzwa umri, mi nafikiri hii mada imekuwa kubwa kwa kuwa tu imehusisha mtonyo
 
labda unambie kinagaubaga lipi lililokukwaza. ktk comments. zangu, nikueleweshe, BTW kuwa na umri mkubwa sio akili maana wanaolalamika humu wote wakubwa,

Hahahaha!!! Wakubwa wapi????

Mi hujanikwaza kwa kua sijui kukwazika, na kwa umri wako huwez kunikwaza zaidi nakuangalia tu.

Pia mchango wako hauendani na wew, jambo kubwa hoja.
 
Hana pesa, hivyo defence yake ni hiyo kujifanya wanapenda sana,wapole,wacha Mungu, ila ukimkuta mwenye pesa mwenye tabia hizo basi ujue ni kweli thats realy him.

Uko sawa kabisa atoto wanaume wa aina hii wameumiza wengi
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya sana, most people who've failed in marriages are great counsellors. Sijui kwa nini...!

Duh hili huwa linanijiakichwani kila nisomapo mada za aina hii. Sijui kwwanini...!
Mmh waone kwanza, mfute kabisa hayo maneno hamjui mnaumba kitu kwenye ulimwengu wa roho. Afu nimewaza the same thing today but I kept it in a right perspective

Me naamini hakuna mtu aliyekamilika as atoto said., Kila mtu kuna watu anaowategemea kwa kitu fulani. Hadi mtu anamshauri mwingine sio lazima awe yeye anafanya/ amefanya exactly as anavyoshauri. Experience tunazipata huko wasap, sijui fb kwa makungwi, ndoa za wazazi, ndugu, jamaa na marafiki au hata sisi tulishauriwa hivyo na watu wetu wa karibu. Mwisho wa siku ndo maana unaambiwa "za kuambiwa changanya na zako. Tunatofautiana mno kwenye uwezo wa kutatua matatizo yetu. Na me naweza nikamshauri mtu fanya hivi, but kumbe mimi mwenyewe yalishanikuta kama hayo hayo but nilishindwa kufanya as navyoshauri now.

Ndo maana mwisho wa siku tunamuomba Mungu atusaidie kuyaishi tunayoyaongea .Kwa sababu haina maana ya kuwa councillors wa wengine while wewe mwenyewe yako yameshakushinda. Councillors na wao kama binadamu mwingine yeyote hawajakamilika. wana sehemu/ watu wa kuwakimbilia once wakikwama. And nafikiri kama mtu ana kitu cha kumshauri/ kumshirikisha mwenzake it's better akakisema tu, you never know kama ushauri wako unaweza kumuinua mtu mwingine au la
 
Last edited by a moderator:
Hizo ni tabia za baadhi ya binadamu, sio wanaume kama mnavyosema. Ulimbukeni wa pesa tuneumbiwa jinsia zote, generalization sio kitu kizuri. Mara ngapi tunaona wanawake wakiwakimbia waume zao na kwenda kwa wanaume wenye pesa....hasty generalization hizo!!

Rejea kwenye uzi tunaoujadili hapa kisha angalia kwenye jamii inayokuzunguka wangapi yamewakuta haya?
Watu wote wanaweza kuwa malimbukeni sijakataa ila 95% ya wanaume choka mbaya hujifanya wana mahaba hata adui hawezi kuwajaribu ila akishapata kazi sasa au biashara ikianza kumchanganyia ndo utajua hasa tabia zake. Atabadilika mpaka unaweza unadhani sio yeye.
 
Hahahaha!!! Wakubwa wapi????

Mi hujanikwaza kwa kua sijui kukwazika, na kwa umri wako huwez kunikwaza zaidi nakuangalia tu.

Pia mchango wako hauendani na wew, jambo kubwa hoja.

kwa hiyo huyu unayemuongelea hapa ni mdogo, au yule. aliyelalamika. mumewe karuka na mdogo wake naye ni mdogo, pia ulisema nakwaza wadada nikakuuliza kwa upande wako. wewe,
 
Muda huu nishapoteza kumbukumbu si unajua mahesabu jioni, nitarudi tutaweka sawa.
 
Mmh waone kwanza, mfute kabisa hayo maneno hamjui mnaumba kitu kwenye ulimwengu wa roho. Afu nimewaza the same thing today but I kept it in a right perspective

Me naamini hakuna mtu aliyekamilika as atoto said., Kila mtu kuna watu anaowategemea kwa kitu fulani. Hadi mtu anamshauri mwingine sio lazima awe yeye anafanya/ amefanya exactly as anavyoshauri. Experience tunazipata huko wasap, sijui fb kwa makungwi, ndoa za wazazi, ndugu, jamaa na marafiki au hata sisi tulishauriwa hivyo na watu wetu wa karibu. Mwisho wa siku ndo maana unaambiwa "za kuambiwa changanya na zako. Tunatofautiana mno kwenye uwezo wa kutatua matatizo yetu. Na me naweza nikamshauri mtu fanya hivi, but kumbe mimi mwenyewe yalishanikuta kama hayo hayo but nilishindwa kufanya as navyoshauri now.

Ndo maana mwisho wa siku tunamuomba Mungu atusaidie kuyaishi tunayoyaongea .Kwa sababu haina maana ya kuwa councillors wa wengine while wewe mwenyewe yako yameshakushinda. Councillors na wao kama binadamu mwingine yeyote hawajakamilika. wana sehemu/ watu wa kuwakimbilia once wakikwama. And nafikiri kama mtu ana kitu cha kumshauri/ kumshirikisha mwenzake it's better akakisema tu, you never know kama ushauri wako unaweza kumuinua mtu mwingine au la

Mambo yasikuumize kichwa, hapa tupo watu wenye utashi, tabia na umri tofauti, kwakuzingatia hayo, unadharau tu mambo mengine.
 
Last edited by a moderator:
Hana pesa, hivyo defence yake ni hiyo kujifanya wanapenda sana,wapole,wacha Mungu, ila ukimkuta mwenye pesa mwenye tabia hizo basi ujue ni kweli thats realy him.

Sasa tufanye nini sisi masikini?!! Its not a crime to be broke
 
Dah!pole ya bidada.Mapenz muda mwingine ukiyaendekeza lazima yakufanye hamna
 
Mambo yasikuumize kichwa, hapa tupo watu wenye utashi, tabia na umri tofauti, kwakuzingatia hayo, unadharau tu mambo mengine.

It's not like that my dear. Just tunabadilishana tu mawazo according to kile kila mtu anachokiona
 
Boss nadhani kwa hapo tumeweka nukta. Mabinti tunajifanyaga kujipofua na mapenzi afu mwisho wa siku yanatutokea puani. Ndo maana mtu ukiachwa unatamani kufwaaaa. Maana una sababu kibao za kulia. Kumuhonga mtu mzima na ndevu zake, kwenye ndoa lazima awe mzigo tu maana kashazoea ganda la ndizi, agangamale mwenyewe, jasho limtoke ili ajue maisha ya mwanaume ni kupambana. Ndo hivyo binti umemfuga mario unaolewa leo, wenzio wapo busy kutoa sadaka za shukrani wewe upo busy kutoa sadaka za ukombozi, maana mwanaume hajitambui kabisa hana cha kujiongeza yeye yupo busy tu kushika remote hahahhahaha. Mungu atuhurumie na awasaidie hawa wanaume kujitambua na kujua wajibu wao. Sifugi paka kwenye debe la unga.

Afu huu ujinga sijui tunautoa wapi, wenyewe kila siku tunawasikia wanaume "me sihongi mwanamke, ntamuhonga mke wangu tuu", wabinafsi hao na vijicent vyao ptuuuuuui. Sasa me najitahidi niwe independent nisikutegemee afu wewe ndo uanze kulia kulia nikupe hela kiruuuuu, nikome hata kuwaza huo udwanza

Mmmmmh.
 
Back
Top Bottom