Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

Hahaa..hili swali limenichekesha sana. Wapo wengi tu Pacha,sana kabisa. Na huwa wana 'kismati' cha kupendwa vibaya mno sijui kwa nini.

Yaani we acha tu, Mungu sio Kingunge hakunyimi vyote pacha wangu, japo pesa hawanyimwi ni uzembe tu wa kuzisaka(teh teh teh)
 
Mbona mguno

Maisha kusaidiana et. Ukifanikiwa kuwa nacho msaidie mwenz wako.
Ndo maana tunasema rizki hupitia popote.inaweza pitia kwa mwanamke. So kusaidiana ni muhim. Na ikitokea ukatendwa ni matokeo tu na labda haikuwa rizki
 
...dah we mwanamke unapenda blame games!! Lakini msilipe mahari jamani, wala msifosi kuolewa...kwani lazima kuolewa, unaweza kuishi kiseja tu na maisha yakawa matamu mbona!!

Teh teh teh!! Alitufundisha Adamu, bingwa wa blame game.

Ex darling buku tu kuitoa nitaumwa nilazwe na isijulikane naumwa nini, hiyo mahari si nitakufa kabisa, teh teh teh ila ingekuwa wewe ningekutolea tu kwani nini(am kidding)
 
Ujumbe umefika...ingawa una ukakasi kibao kwa walengwa.
 
Maisha kusaidiana et. Ukifanikiwa kuwa nacho msaidie mwenz wako.
Ndo maana tunasema rizki hupitia popote.inaweza pitia kwa mwanamke. So kusaidiana ni muhim. Na ikitokea ukatendwa ni matokeo tu na labda haikuwa rizki
Sijakataa, upo sahihi kabisa. But riziki ya mume inaweza kupitia kwa mke. Tusioongelee u boyfriend na girlfriend. Kwenye ndoa lazima mume wangu ntamsaidia tena awe anasaidika
 
Hahahhaa leo mkesh hamna. Fainali tu za bongo star search
Aaah, mie sina interest na BSS hata sijui kinachoendelea huko. Basi nakuja na bisi we ukiangalia mi natafuna na kunywa juice na...mmh..mmh... leo atoto hana chake japo alitaka miadi na mimi..
 
Last edited by a moderator:
Aaah, mie sina interest na BSS hata sijui kinachoendelea huko. Basi nakuja na bisi we ukiangalia mi natafuna na kunywa juice na...mmh..mmh... leo atoto hana chake japo alitaka miadi na mimi..
Aah naangalia na paulo. BSS utajuaje hata inavyoendelea wewe ikifika tu Saa 2 ushaanza kusikiliza BBC teh
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh!! Alitufundisha Adamu, bingwa wa blame game.

Ex darling buku tu kuitoa nitaumwa nilazwe na isijulikane naumwa nini, hiyo mahari si nitakufa kabisa, teh teh teh ila ingekuwa wewe ningekutolea tu kwani nini(am kidding)
Ni kweli, huu ni muendelezo tu. Haya yote tu ayojadili hapa ni muendelezo tu. Alianza bibi yetu Hawa, akimlaumu nyoka, Adam nae akaona isiwe tabu akamlaumu Hawa...kweli sasa naelewa where all this b.s comes from..
 
Huyo jamaa kama alijua siyo chaguo lake kwa nini akubali kuolewa na huyo mwanamke. Dhambi sana. Kitu kama hukitaki si unachaana nacho mapema.
 
Tena mimi mwenyewe nimemuonea sana huruma huyo dada wa watu ila asijiue aombe mungu sana atamsaidia lakini ukweli ni kwamba huyo mumewe atapata shida sana chini ya jua kwa laana ya mkewe na sisi wanaume jamani wakati mwingine tu muogope mungu wazee
 
Tatzo ya haya yote ni kutokuwa na iman. Hofu ya mungu imepotea mazima. Anawaza kutoa mimba!!, katelekeza familia!!!. Tunahitaji kumrudia mungu. Hii dunia bhna inatupotosha
 
Back
Top Bottom