Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
- Thread starter
- #161
It's not like that my dear. Just tunabadilishana tu mawazo according to kile kila mtu anachokiona
Pamoja.
It's not like that my dear. Just tunabadilishana tu mawazo according to kile kila mtu anachokiona
Sintokusamehe Katu na KamweTu usije kumkimbia..maana hamkawii kujipimia shibe yenu na kuondoka bila kugeuka nyuma.
atoto, blame games sio kitu kizuri. We are both prone to err. Ulimbukeni wa pesa ni kwa jinsia zote, very few would escape that. Wadada kibao wanaacha waume zao na kukimbilia wenye nazo, tuwaiteje nao....
Ati akafanyaje? ila na sie wanaume dhambi nyingine ni za kujitakia tu. Hata kama mtu haumpendi , kwa juhudi yote hiyo aliyoonyesha mama wa watu hauwezi kujifunza kumpenda? Laana zingine zinaepukika!
Mbona mguno
Ahsanteni sana, shukrani ya mapunda ni matekeMapenzi Utakavyo Yaingia ndivyo Yatakavyokupeleka.. Uliona Wapi mwanamke Akajioa kwa Pesa Yake Eti kisa Kukimbilia ndoa?
Anastahili hili kwa kuwa Amelitaka mwenyewe
Sasa tufanye nini sisi masikini?!! Its not a crime to be broke
Lakini hujajibu swali langu. Wapo wanawake wengi tu wanafanyiwa kila kitu lakini kwa vile mumewe hana pesa, wanakimbia kwa wenye nazo. Nao huitwaje? Kwa mwanamke iwe fursa, kwa mwanaume iwe nini....japo swala la kulipa mahari ni total desperation ya wadada walio wengi, they could do anything just to have a ring.Tunaona bora tuwakimbilie hao angalau tupate kimojawapo, kuliko nikuvumilie pesa huna na mapembe umeyainua. Hao tunawaita watumia fursa ex darling. Alafu mwanaume unakosaje pesa? (Uwiii kama nayaona majibu)
Hii ilitakiwa iwe crime na dhambi kwa wanaume kwakweli, si unaona sasa mpaka tunawaoa!!!
Mapenzi Utakavyo Yaingia ndivyo Yatakavyokupeleka.. Uliona Wapi mwanamke Akajioa kwa Pesa Yake Eti kisa Kukimbilia ndoa?
Anastahili hili kwa kuwa Amelitaka mwenyewe
@ heaven sent, labda hujanilewa. Hii haikuwa mada, ni kitu kilinijia tu akilini kuwa most people's marriages have failed terribly. Lakini they are really good at encouraging others to revive their marriages. Ndio nikaandika.Mmh waone kwanza, mfute kabisa hayo maneno hamjui mnaumba kitu kwenye ulimwengu wa roho. Afu nimewaza the same thing today but I kept it in a right perspective
Me naamini hakuna mtu aliyekamilika as atoto said., Kila mtu kuna watu anaowategemea kwa kitu fulani. Hadi mtu anamshauri mwingine sio lazima awe yeye anafanya/ amefanya exactly as anavyoshauri. Experience tunazipata huko wasap, sijui fb kwa makungwi, ndoa za wazazi, ndugu, jamaa na marafiki au hata sisi tulishauriwa hivyo na watu wetu wa karibu. Mwisho wa siku ndo maana unaambiwa "za kuambiwa changanya na zako. Tunatofautiana mno kwenye uwezo wa kutatua matatizo yetu. Na me naweza nikamshauri mtu fanya hivi, but kumbe mimi mwenyewe yalishanikuta kama hayo hayo but nilishindwa kufanya as navyoshauri now.
Ndo maana mwisho wa siku tunamuomba Mungu atusaidie kuyaishi tunayoyaongea .Kwa sababu haina maana ya kuwa councillors wa wengine while wewe mwenyewe yako yameshakushinda. Councillors na wao kama binadamu mwingine yeyote hawajakamilika. wana sehemu/ watu wa kuwakimbilia once wakikwama. And nafikiri kama mtu ana kitu cha kumshauri/ kumshirikisha mwenzake it's better akakisema tu, you never know kama ushauri wako unaweza kumuinua mtu mwingine au la
Sasa huoni kuwa Unasababisha Mvurugano Akili Mwangu
Lakini hujajibu swali langu. Wapo wanawake wengi tu wanafanyiwa kila kitu lakini kwa vile mumewe hana pesa, wanakimbia kwa wenye nazo. Nao huitwaje? Kwa mwanamke iwe fursa, kwa mwanaume iwe nini....japo swala la kulipa mahari ni total desperation ya wadada walio wengi, they could do anything just to have a ring.
Lakini maandiko yalishasema, huu ni utimilifu wa unabii tu. Wanawake watawafuata wanaume na kuwapigia magoti, huku wakiomba waitwe kwa majina ya hao wanaume. Tunayaona haya kwa sana tu miaka hii, in different versions.
Wacha mtendwe tu maana hamna namna!!!!
Tunaona bora tuwakimbilie hao angalau tupate kimojawapo, kuliko nikuvumilie pesa huna na mapembe umeyainua. Hao tunawaita watumia fursa ex darling. Alafu mwanaume unakosaje pesa? (Uwiii kama nayaona majibu)
Pamoja.
Tunaona bora tuwakimbilie hao angalau tupate kimojawapo, kuliko nikuvumilie pesa huna na mapembe umeyainua. Hao tunawaita watumia fursa ex darling. Alafu mwanaume unakosaje pesa? (Uwiii kama nayaona majibu)
No usiseme hivyo..hata kama alijioa bado hakustahili hayo,kabisa.
Aah basi brod darlin, mawazo yangu yote yalikuwa kwenye ile thread ya dada ambaye ni "marriage councillor". My bad@ heaven sent, labda hujanilewa. Hii haikuwa mada, ni kitu kilinijia tu akilini kuwa most people's marriages have failed terribly. Lakini they are really good at encouraging others to revive their marriages. Ndio nikaandika.
Lakini pia kumbuka, wa Tanzania ni watamu kusikiliza, tumepewa hicho kipaji.
...dah we mwanamke unapenda blame games!! Lakini msilipe mahari jamani, wala msifosi kuolewa...kwani lazima kuolewa, unaweza kuishi kiseja tu na maisha yakawa matamu mbona!!Sasa mbona maswali yanazidi kuwa mengi ex darling? Uliniuliza wanawake wanaitwaje nimekujibu hiyo ya wanaume mnajua kabisa mnaitwaje.
Ukiona hivyo ujue hujamfanyia vyote, ungemfanyia asingeitumia hiyo fursa ya kwenda kwa huyo mwenye pesa