Yaani hata mie nawashangaaga na nawaona weengi tu... walazimisha maji kupanda mlima. Aisee mi cjui nikoje mbona huo mshipa sinaa au ni pesa ndio sio rfk kwangu siku zikinitembelea ntafanya hayo? Na siku nikijifanyia ntakuwa nimelogwa na huyo aisee maana hivi hivi mmm mmm hapana kbsaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.