Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
- Thread starter
- #121
Huyo jama mungu hata muacha hivi aendelee kudunda kwa masikitiko na majozi ya huyo mwanamke na watoto wake. Lazima atadharirika tu, wewe fatilia utakuja kuleta taarifa hii hapa hapa.
Unajua ujinga wa sisi wa wanawake sijui tumeumbwaje, leo nimeongea nae eti amewapigia ndugu wa mwanaume ili waweke kikao wamembembeleze arudi. khaa!!! Mi naona hajakoma tu.