Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
hamna dhambi kubwa kama kutunza mwanaume, mwanaune yoyote ukimtunza lazima akugeuke chunguza vyema
Umeamini wanaume hamna akili, utu, na mna roho mbaya sana??
du, kwel ndoa zimekuwa dili..wanawake fanyeni maamuzi sahihi,mahala sahihi,na kwa wakati sahihi.
Heaven Sent mie msimamo wangu kuhusu pesa yangu uko pale pale, na hautokaa ubadilike.
Mwanaume lazima awe mwanaume tu, hivyo viherehere vinipite mbaliii.
Love is blind only if you let it blinds you, maisha ni darasa lisiloisha twajifunza mapya kila siku, japo pia kuna wanawake bit.ches ambao hufanya kama hayo hayo pia.
So tufumbue macho tu na tumtumaini sana Mungu atupe watu sahihi na kamwe tusiache kumtumainia yeye.
Hii dunia sasa ni tafrani, bila rehema na neema za Mungu sijui kwakweli tunakoelekea, hata kama ndio umempata mtu sahihi muache asimame kwa miguu yake kama mwanaume, let him play his part n you just play yo part of being a woman.
Pole yake masikini weeee.....
Hivi unaanzaje kumpa mwanaume pesa.......
Kuna raha mwanaume kustruggle kupata pesa ya kukulipia mahari hata kama ni kidogo........
Mwanaume pekee unayeweza mpa pesa ninmuneo tu... (tena kama sio gumegume)
Sasa Pata picha kidume na mzuzu wake kinasmile tu kupokea hela kutoka kwa mwanamke hehhehee
Eeeh wewe usifanye utani na kina mario. Mshipa wa aibu hawajawekewa teh. Kuna mwingine jamani unakuta tena ana kazi nzuri kuliko yako. Ila kila siku anajilalamisha hana hela. Tena anaweza akapoteza na uchangamfu mwezi mzima. Kila ukiongea naye anaact kinyonge kisa hana hela. Ukiwa na huruma unamuhonga wallahi (NIKOME)Huwa najiuliza sana namna mwanaume anavyoanza kupiga mzinga kwa manzi..na jinsi anavyoipokea hiyo pesa.
Eeeh wewe usifanye utani na kina mario. Mshipa wa aibu hawajawekewa teh. Kuna mwingine jamani unakuta tena ana kazi nzuri kuliko yako. Ila kila siku anajilalamisha hana hela. Tena anaweza akapoteza na uchangamfu mwezi mzima. Kila ukiongea naye anaact kinyonge kisa hana hela. Ukiwa na huruma unamuhonga wallahi (NIKOME)
Sasa subiri wewe siku useme huna hela, tena sio kwamba unamuomba ni ile mtu umesema tu. Utamsikia si umuombe mzee au mkope rafiki yako fulani puuuuuuuu. Yeye alivyokuwa analialia mbona hakujishauri akakope. Usicheze na mwanaume mbinafsi ooh
Boss nadhani kwa hapo tumeweka nukta. Mabinti tunajifanyaga kujipofua na mapenzi afu mwisho wa siku yanatutokea puani. Ndo maana mtu ukiachwa unatamani kufwaaaa. Maana una sababu kibao za kulia. Kumuhonga mtu mzima na ndevu zake, kwenye ndoa lazima awe mzigo tu maana kashazoea ganda la ndizi, agangamale mwenyewe, jasho limtoke ili ajue maisha ya mwanaume ni kupambana. Ndo hivyo binti umemfuga mario unaolewa leo, wenzio wapo busy kutoa sadaka za shukrani wewe upo busy kutoa sadaka za ukombozi, maana mwanaume hajitambui kabisa hana cha kujiongeza yeye yupo busy tu kushika remote hahahhahaha. Mungu atuhurumie na awasaidie hawa wanaume kujitambua na kujua wajibu wao. Sifugi paka kwenye debe la unga.
Afu huu ujinga sijui tunautoa wapi, wenyewe kila siku tunawasikia wanaume "me sihongi mwanamke, ntamuhonga mke wangu tuu", wabinafsi hao na vijicent vyao ptuuuuuui. Sasa me najitahidi niwe independent nisikutegemee afu wewe ndo uanze kulia kulia nikupe hela kiruuuuu, nikome hata kuwaza huo udwanza
Ni kweli kabisa lazima unapokuwa unafanya maamuzi ya kuoa au kuolewa lazima umpime vya kutosha anaetaka kukuoa,
Kufanya maamuzi kwa ajili ya presha za umri au mashinikizo mwisho wake ni mbaya mnoo...
Lakini kosa la huyo dada sio kujioa, ila anajioa na mtu wa aina gani....hapo ndipo tatizo lilipo...
Mungu atubariki wanaume tusipende saana wadada wanaojioa..
hamna dhambi kubwa kama kutunza mwanaume, mwanaune yoyote ukimtunza lazima akugeuke chunguza vyema
c.c atoto,
mito Ulisema kweli kaka angu, mwanaume atakuheshimu tu akiwa hana hela. Akishapata vijicent basi ndo utamjua tabia yake vizuri. "Pata pesa tujue tabia yako ".
Nimekuja kujifunza kitu kimoja (thanks to Irene mbowe). Mwanaume mspoil kadri utakavyoweza dinner, sijui vizawadi vidogo sawa kabisa, but never kumuhudumia. Wanaume wengi atakuwa anakutumia kukwambia hakutaki hawezi as wewe ndo Kisima chake cha fedha, ila mkewe wa moyo yupo mahali pengine. Mwanaume ameambiwa "atakula kwa jasho". Muache azoee kutokwa jasho, ukimlemaza sasa hivi tegemea kucheka kitalebani kwa sababu huyo atakuwa tu irresponsible man kwenye ndoa na hivyo unatengeneza bomu litakalokuja kukulipukia. Au laah akikuacha sasa hivi utakuwa na sababu million za kulia. Kwanza umeachwa, umetumika kimwili na hela zako zimekwenda mwee
Yote tisa, kumpa mwanaume hela eti akakutolee mahari koma ukomazike. Ndo haya kila siku utaambiwa "me nilikutolea mahari? tobaa. Muache atafute yeye mwenyewe hiyo hela ya mahari. Nyie mpangieni tu mahari kidogo but as long ametokwa jasho kuitafuta atakuheshimu maana kahenyeka kukutoa kwa wazazi wako
Huyo dada hana haja ya kumkufuru Mungu, wala huu si muda wa kuanza kujilaumu, yameshatokea. I hope familia yake itakuwa karibu naye sana kwa wakati huu, wamsaidie kwa Vyovyote watakavyoweza. Msaada wa maneno ya faraja (hakawii kunywa sumu) hata wa kifedha ili apunguze mkopo wake. Alee tu mimba yake, Mungu atamfungulia njia hadi yeye mwenyewe hatoamini. Karma is a bitch and fate is a hoe Tutaona mwisho wa huyo mume.
Unaweza ukampima mtu miaka hata miwili..people act very well. Huwezi kumuhisi kwamba ana matatizo ila ukikaa nae ndio unajua..naamin hili unalifahamu.
Lakini tena,katika kupima huko ukijiridhisha kwamba anafaa unajikuta huna hiyo mahari muda unaenda,unaogopa kuporwa tonge mdomoni,Dada mtu anakwambia mimi nitakupa upeleke,unafanyeje?
Muhimu ni kumwomba Mungu tu,naweza nikaolewa na mtu kwa shinikizo la umri na akanifaa..na naweza nikaolewa na mtu nikiwa nimemchunguza sana nikaridhika lakini mwisho wa siku akaja kuona mimi sie aliyenihitaji. People change,haya mambo yapo na yanatokea.