afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,779
hii no pingamizii ni kweli kabisa pia inaumiza baadae ikishatokea kama haya...wanaume huwa ukisita kuoa kuna kitu ushaona mbali unajua sie kuishi na mtuu ni umeamua kwelikweli
kwa hiyo wwww unaamini hiyo stori., humu ndani. kuna. wanawake wamejikatia tamaa kazi yao kuwachuuza wenzao, kuwa makini usichangie usichokijua
Umeamini wanaume hamna akili, utu, na mna roho mbaya sana??
Naomba Jibu la Swali langu la JanaKumpa mwanaume pesa tena ya mahari maana yake ni kuwa hakupendi
Kama anakupenda atakopa hata kwa marafiki ili akalipe mahari
Ni bora umnunulie boxer kuliko kumpatia pesa akanunue boxer
Ila mdada alee watoto wake kwani Mungu ni wa ajabu sana hawezi elewa kwa sasa lakini muda ukifika atasema ni bora aliondoka
Umeamini wanaume hamna akili, utu, na mna roho mbaya sana??
Amen, na Mungu amesikia maombi yetu. Atuepushie mbali kabisa kujioaIla ni akili gani jamaniii hizi mbona inasikitisha....
Mungu niepushe hata nikijapata ukame wa proposal nisifike hatua hiiii...
Eeh Mungu tusaidie sisi wadada tutumie akili kufikiri sio kuongozwa na mihemko
Naomba Jibu la Swali langu la Jana
Aaah ukute uchumi ulimbana na hakuwa na uhakika wa kutoka leo wala kesho. So akaona ajilipue tu kwa mdadasasa km alikua hamtak aliruhusu vipi wafunge harusi??alikua haoni wakat mwenzake anakopa hela? km angekua kwel mwanaume na anataka kulelewa ange'buy' time mambo yakae sawa ndo amwache kulkua hakuna ulazima wa kufunga nae harusi...
huyu obviously ni mwanaume mvulana,,,hana maturity decision making!! akikua lazima atajutia hiko kitendo!! adhabu ya dhambi ni hapa hapa duniani
tena jamaa alipata mwanamke mwema sana. Kitendo cha mwanamke kuchomoa pesa yake kwaajili ya mwanaume huyo ni wakumheshim. Ningekuwa mm hata kama sikumpenda ningeilazimisha nafsi ingempenda tu....
Maana wanawake wa siku hizi kubabake duuh!
Mda wote wanawaza kukupiga mizinga tu yaan ni majambaz sugu yasiyotumia bunduki wala jambia ila yanatumia tabasam feki na love fake..
Huyo jamaa kuna chamoto kipo mbele yake lakn yeye hajakishtukia tu.
Waambie pia waache kutubambikia mimba ili tuwaoe!!
Serious!! Kuna mwanamke wa hivyo kweli au ni kufurahisha baraza. Hata si amini