Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

Bahati mbaya sana, most people who've failed in marriages are great counsellors. Sijui kwa nini...!

Mganga hajigangi ex darling, huoni mwenzio aweza patwa na tatizo ukamshauri vizuri na akafanikiwa kulitatua ila wewe ukipatwa na the same problem hauwezi kuutumia huo ushauri kutatua tatizo husika?

Hapo ndipo ninapogundua kuwa tuliumbwa ili kusaidiana.
 
Bahati mbaya sana, most people who've failed in marriages are great counsellors. Sijui kwa nini...!

Duh hili huwa linanijiakichwani kila nisomapo mada za aina hii. Sijui kwwanini...!
 
Mganga hajigangi ex darling, huoni mwenzio aweza patwa na tatizo ukamshauri vizuri na akafanikiwa kulitatua ila wewe ukipatwa na the same problem hauwezi kuutumia huo ushauri kutatua tatizo husika?

Hapo ndipo ninapogundua kuwa tuliumbwa ili kusaidiana.
Kweli aisee, bora nisiwe mshauri mzuri lakini niweze kuimudu ndoa yangu. Sasa kuna manufaa gani kuwapa watu ushauri, tena mzuri wakati ndoa yangu mwenyewe ni mtihani...
 
I alwayz say the same. hivi kama unakutana na mwanaume/mwanamke aliyeacha mke/mme wake anakuambia muoane, you have to think twice and in details before committing to this kind of Relationship.

Umenikumbusha kitu nimecheka kama mazuri,

kuna mtu alishindwana huko akikotoka mkewe akamfukuza alikuwa tegemez kupindukia, ajabu akawa awaparamia wanawake kama kachanganyikiwa, yaani ikikujua kwako asubuh, jion anakuja na begi la nguo, dodoki, taulo khaa!!! Bila aibu, kumbe ndio maisha yake, hana uwoga kuhamia kwa wanawake.
 
Hapo kuna baba yako,kaka yako ,mjomba yako etc....Kweli unatumia hii stori moja kuhitimisha wanaume wote hawana akili?!!

Nimetengua kauli nisamehewe bure, hasa kwakua sio hao tu, ninao marafiki wengi wanajitambua sana na nawaheshimu kwa hilo.

Nawazungumzua wale wasiojitambua. samahan
 
Maybe to the sister it's all worth it, and she'll probably do it again and again. I feel for her, tho.

Going through the comments from a psychological POV, most people have a lotta pain in their lives. Don't give up yet, you can still find happiness.
 
Umenikumbusha kitu nimecheka kama mazuri,

kuna mtu alishindwana huko akikotoka mkewe akamfukuza alikuwa tegemez kupindukia, ajabu akawa awaparamia wanawake kama kachanganyikiwa, yaani ikikujua kwako asubuh, jion anakuja na begi la nguo, dodoki, taulo khaa!!! Bila aibu, kumbe ndio maisha yake, hana uwoga kuhamia kwa wanawake.

watu kama hawa wanatakiwa kufukuzwa na maliboro mchana kweupu.

Sera yangu ni: Love does not exit nowdays so you have to love yourself as priority.
NO NEED TO STRESS YOURSELF.
 
kwa hiyo wwww unaamini hiyo stori., humu ndani. kuna. wanawake wamejikatia tamaa kazi yao kuwachuuza wenzao, kuwa makini usichangie usichokijua

Wew kweli utashi wako umekomea hapo??? Ucnichekeshe mie, pekua pekua vizur ujue presha wanayokuwa nayo wanawake juu ya kuolewa manapofikia umri umri wa 28 na kuendelea.

Tena kaa kimya kabisa.
 
Kweli aisee, bora nisiwe mshauri mzuri lakini niweze kuimudu ndoa yangu. Sasa kuna manufaa gani kuwapa watu ushauri, tena mzuri wakati ndoa yangu mwenyewe ni mtihani...

Kutoa ushauri ni jambo moja, kuufuata ushauri ni jambo lingine, huoni daktari wa tb anakufa kwa uvutaji wa sigara.
 
watu kama hawa wanatakiwa kufukuzwa na maliboro mchana kweupu.

Sera yangu ni: Love does not exit nowdays so you have to love yourself as priority.
NO NEED TO STRESS YOURSELF.
Dah!!! Nimekupenda bure!! Uache kuihangaikia pesa ukaishi vizur unaanza kuupa moyo kazi yakumuweka mtu. Arghaaa!!!
 
Mh! Aiseee sijawah kubahatka kujionea live iyo kitu ya kujichangia mahali.
 
Wew kweli utashi wako umekomea hapo??? Ucnichekeshe mie, pekua pekua vizur ujue presha wanayokuwa nayo wanawake juu ya kuolewa manapofikia umri umri wa 28 na kuendelea.

Tena kaa kimya kabisa.

wewe kama nani hadi unyamazishe watu. dada, tumia ustaarabu
 
Huyu dada mwenye mtoto mmoja na mimba ya miezi 6, dada huyu kabla hawajafunga ndoa mmewe alikuwa hayupo vizuri kipesa, kutokana na hilo suala la ndoa lilikuwa linapigwa danadana siku hadi siku, kwakua bidada alikuwa anafanya kazi akaamua kuchukua mkop kazini kwake, akampa kiasi bwana yule akamlipie mahari, na nyingine yakuanzishia vikao, kweli mambo ya yakaenda bidada akajigharamia kila kitu hadi pete alinunua yeye.

Baada ya ndoa bidada akabeba mimba ya kwanza akazaa, na mwaka huo ndio mbwembwe zilianza, bidada akikosea kidogo tu, mwanaume anamwambia "kwanza wewe ulinilazimisha kukuoa ndio maana ulijitolea mahari" mwanaume harudi nyumbani hata siku tatu, bidada anavumilia tu, akashika mimba nyingine ina miezi 6 sasa, mwezi uliopita bidada kagundua mwanaume amejenga mbezi mwisho baada yakupekua msg za mmewe, hapo wao wamepanga, akamuuliza mwanaume akamwambia "kweli nimemjengea yule ndio chaguo langu. bwana ndani ya wiki kabeba nguo zake kahamia huko makao mapya.

Mwanamke kaachwa na na mtoto na mimba na deni juu la mkopo, analia anatamani kujiua, anahangaika basi atoe mimba ili abaki na mtoto mmoja.

  • Wadada usikimbilie kuolewa tu kwasababu mtaani watu wanaolewa, olewa kwasababu umepata mtu sahihi wakuishi nae, ambaye anafurahi uwepo wako moyoni mwake.

Huyo jama mungu hata muacha hivi aendelee kudunda kwa masikitiko na majozi ya huyo mwanamke na watoto wake. Lazima atadharirika tu, wewe fatilia utakuja kuleta taarifa hii hapa hapa.
 
Tatizo jamii inasababisha wanawake wajioe, tumejijengea fikra mwanamke mwenye ndoa ndio anaheshimika katika jamii lakini wakati anataabika na hiyo ndoa ndani ni wakati wa jamii kutopush watu wajiingize kwenye ndoa haraka au kwa force tuache kunyoosha vidole eti miaka 30 nk
Pole kwa huyo dada sasa aangalie wapi ameangukia asitazame nyuma aangalie watoto wake na watakuwa tu

Kabisa kabisa
 
Back
Top Bottom