Wanawake this is the harsh reality

Wanawake this is the harsh reality

Wanawake wana maajabu jaman. I have a friend ambaye mwanamke anaeish nae amemkataza jamaa asije hata kwangu sababu mimi namwambia jamaa ukweli, huyu mwanamke anamtesa jamaa na kamfanya jamaa zombie familia ya jamaa yote wanajua na hawana la kufanya. Ukimuuliza jamaa anasema yeye ana exercise haki sawa. Mfano, most of the times jamaa akiwa hayupo job au kwake he is hanging with me, he is my best friend sasa basi atapigiwa video call ataulizwa upo wapi, upo na nani ? nimwone huyo mtu , na vitu kama hivyo mshikaji anakuwa forced kudanganya sana ili aaminike, anateseka sana. Mmeenda sehemu mmeagiza nyama na bia moja moja itapigwa simu(video call), uko wapi , nataka baada ya dakika tano uwe hapa, jamaa atatoka nduki kama kafungwa engine ya jet.

Mimi sio muumini wa mambo ya haki sawa kivile ila pia i dont oppress women. Ila kupitia mfano wa jamaangu aisee mwanamke lazima awe chini yangu nikikuona unaleta ujuaji nakukula kimasihara nakupiga chini kimya kimya hata hauta jua na wala huwez leta kiherehere yako sababu i will be very very aggressive and cruel na nakosa kabisa ushirikiano, huo ushetan wako mpelekee mwanaume mwingine sababu kuna wale mazombie wa YES MADAM ALL THE WAY...
We ulipaswa uzaliwe kanda maalum, huku hatupendagi ujinga.
 
Kimsingi heshima ni kiunganishi kikubwa sana baina ya wanyama, binadamu wote hata kazini, barabarni, kwenye familia, bus n.k. Panapoishi watu zaidi ya wawili yawapasa kuheshimiana.

Tunamfundisha mwanamke heshima tunamuacha mwanaume kwenye mafundisho haya tunakosea. Mwisho tutakuwa na familia zenye mama mwenye heshima ila baba ni mkiritimba, hashauriki, anafanya lolote na haulizwi, anasaliti ndoa ila anapaswa aulizwe kwa unyenyekevu wakati kaumiza mwenzake.
Madhara yake ni kuzalisha vizazi vya wanawake wenye visasi kulipiza kulingana na maumivu waliyoyapitia muda mrefu.

Kina baba, kina mama, watoto hebu tuyeyushe mioyo yetu! Tujaliane, tuombane radhi tunapokoseana, tusichepuke, tusiwe na masiri mazito mazito yakuangamiza familia.
N:B. Familia lazima iwe na kiongozi mmoja ambaye anatambulika ambaye atatoa kauli ya mwisho baada ya kusikiliza kwa makini maoni ya mwezake.
Umeongea vizuri sana Madam Mwajuma, heshima na utii kutoka kwa mke lakini upendo kutoka kwa mume, tujadiliane kwa upendo na heshima, tusiweke mambo moyoni, lakini tuongee kwa staha.

Mbona rahisi tu!
 
Mzee jiheshimu basi, usinifungue turbo asubuhi hii..Tafadhali sana!!!

Huyo mwanamke ana point ambayo iko blank kabisa. Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazma ataing'amua ila kama umeamua kuwa mpinzani kaa kwa pattern mzee. Mie ni mtu cool sana ila dkk 0 naeza kuwa wild katika namna ambayo huwezi kuamini. Jiheshimu!
Vua nguo basi halafu tupia jf tuone wildism yako
 
Sawa marioooo, sawa dada amina kaa hapo ndani uoshe vyombo, upike mkeo aje kula
Subiria giza liingie we Ndigidii nije kuku chocha...Naona nyege zimekuanza asubuhi leo! Nipo mishe now, we kioshe ukipake wese kitako dinda iko ntakiranda nikija.
 
Kaanza na ujinga kusema naropoka sikua na haja ya kufika huku, kuna muda mtu anakujaribu ili aone upande wa pili wa shilingi
Huwez kuniita mwanamke mbele ya kadamnasi ya watu ambao tunaheshimiana. You don't know me like that mwasi kitoko! Unanletea shombo mzee, mie ni zaidi ya ferry!!!
 
We ndio shoga huishi kuwatajataja, unaurafiki na James delicious sio bureeeee
Huwa nawapiga pipe range kimafia! Sio mbaya ukiingia kwenye queue maana unaonekana unaitaka huduma...Unadandiaje visivyokuhusu?
 
Huwez kuniita mwanamke mbele ya kadamnasi ya watu ambao tunaheshimiana. You don't know me like that mwasi kitoko! Unanletea shombo mzee, mie ni zaidi ya ferry!!!
We tulia si nimesema yameisha au una lingine, ujuaji mwingi wa maneno unakusaidia nini zaidi ya kukuonyesha jinsi ulivyo, una maneno meeeeeengiiiiiiiiii,
 
We tulia si nimesema yameisha au una lingine, ujuaji mwingi wa maneno unakusaidia nini zaidi ya kukuonyesha jinsi ulivyo, una maneno meeeeeengiiiiiiiiii,
Ndio maana nilikuonya mapema sana. Next time jiongeze af uache mambo ya kiquma ****, sio kila mtu ni fara humu...Done with it!!!
 
Umeongea vyema kabisa; Mungu amempa kila mmoja wetu majukumu yake; sio mwanamke peke yake. Kinachonichosha ni kwamba kila siku ni mwanamke tu ndiye anakumbushwa wajibu wake katika ndoa; je wanaume hawatakiwi kukumbushwa? Ndoa ni ya mwanamke peke yake? Sio kila siku kusikia tu"mwanaume anahutaji hiki, mwanaume anapenda kile"; kwani sisi wanawake hatuna tunavyovihitaji na kupenda tutendewe na waume zetu?

Biblically; Kristo (mume) alijitoa sana hadi kuitoa nafsi yake, na kufanya kila lililowezekana kuhakikisha Kanisa lake (mke) yupo salama. Ila siku hizi kanisa ndiyo linamuhangaika Kristo; Kristo yeye ni kunyoosha tu miguu juu kama paka wa bar. Ndivyo Kristo alivyo-behave na kanisa lake? Mliuona vizuri upendo wa Kristo?

Tangu tukiwa watoto; kila binti atakachokifanya ni kwa ajili ya kumuandaa kuja kuwa mke huko mbeleni; what about our baby boys? Wao hawahitaji ndoa au hawatakiwi kuja kuwa waume bora? My point was; kama tunavyohangaika kumuandaa mtoto wa kike kuja kuwa mke mwema; tuhangaike pia kumuandaa mtoto wa kiume kuja kuwa mume mwema; ndoa ni watu wawili. Tunalea kizazi cha watoto wa kiume ambao watakuja kuwa mizigo kwa wake zao. Huyo binti ukimuandaa peke yake; haitosaidia akipata mume mzigo; itakuwa sio ndoa bali mateso. Na hakuna anayestahili kuteseka.

Sijaangalia hiyo clip wala kurefer ndoa za kizungu. But at least wazungu wametuzidi kwenye suala la kuwa honest; wenzetu akiona hapa hakueleweki akhaa kila mtu anashika 50 zake na maisha yake. Huku wengi tuna ndoa za kinafiki; huku nje Mr &Mrs; huku ndani tunaishi kama wapangaji wa nyumba moja, tukionana ni kupeana misonyo tu. Hiyo nayo ni ndoa ya kuigwa, au hata tunaweza kuiita ndoa in the first place? Huko sio kudumu kwa ndoa; ni kuishi tu siku ziende.
Usichoke kusikia ukweli my sista. Mume na mke wakiishi kama Mungu alivotuelekeza mbona ndoa ni paradiso kabisa. Shida tumekengeuka

After all hizo za kidhungu mnazo-refer to mbona hazidumu sasa?! Hakuna watu wenye mahusiano delicate kama wazungu. Si bora mara 100 ndoa zetu hizi za kiafrica zinadumu.
 
Ndio maana nilikuonya mapema sana. Next time jiongeze af uache mambo ya kiquma ****, sio kila mtu ni fara humu...Done with it!!!
Sawa na wewe uache ushoga, ili uepukane kukutana na watu wasiopenda mambo ya kishoga,
 
Sawa na wewe uache ushoga, ili uepukane kukutana na watu wasiopenda mambo ya kishoga,
Shoga ni mtu mwenye shobo siku zote hasa akiona shababi anafanya yake! Sarcasitically inaku reflect, Ukiona post haikupendezi unapita kinyele sio unaanza kubabaika na walume...utapigwa mma!
 
Back
Top Bottom