Wanawake this is the harsh reality

Wanawake this is the harsh reality

Huu uzi wa maajabu sana!; Wanaume mtimize majukumu yenu. Acheni kupenda mteremko..mkeo ana kazi unataka hela anayopata ndo matumizi ya nyuma,kwan ndo jukumu lake?
IMG-20201022-WA0047.jpeg
 
Wewe ni feminist kama Joyce kiria huna lolote, harafu inaonekana ni jeuri na unapenda kushindana na wanaume.

Kumbuka huwezi kwenda haja ndogo ukiwa umesimama razima uchutume,

Tulia utajizeekea mwenyewe shauri yako

Yaani kuwapa victims support, Joyce kawa feminist, unaijua definition ya feminist?
 
Kaufyate kwa mkeo maana ndiyo anakulisha,
Uliskia wapi wewe choko mdebwedo! Af deal na mlume achana na wife au unataka ukaimu cheo chake, njoo nikugonge nikulishe basi mavuzi ww!
 
And you’d always here about what a woman has to do for a man to keep him, but never will you ever hear nothing about how men should behave to keep their wives... I’ve been fed these nonsense for so long I’m actually really tired of hearing them nimechoka kusikia hizi habari za kuongelesha wanawake jinsi ya kuvumilia ujinga na kuwa submissive kwa wanaume ambao hawajielewi kabisa, ndoa ni ya watu wawili lkn ndoa nyingi za africa wanawake ndo wanafanya kazi kubwa kuziweka ziwe in shape ndo mana zinafeli. Lets stop all these please tuongelee vitu vingine

Kweli mkuu..wanaume hata humu ukiongea ya kuwasupport wanaona una akilii na mwanamke unayefaa...na ukienda against wao kwa lolote utasikia feminist, utapewa majina yote..pathetic!
 
Yaani kuwapa victims support, Joyce kawa feminist, unaijua definition ya feminist?
Hao victim huwa wanapigwaga tu, wenyewe hawakoseagi? Kinachomshusha P huyo Kiria ameegama upande mmoja. Kwanini hasemi makosa yanyopelekea wapigwe!?
 
Hivi hii post inakuja kwa lugha tofauti katika kila simu nini? Hio video umeiangalia ukaelewa vizuri kweli?
Timizeni majukumu yenu! Nimeisikiliza ila imenilia MB tu za bureeee! Wallah nimechukia kinoma ,huyo dada km mnafiki hiviiiiiii...ha ha ha haaaa.....
 
Kukosea sio lazima uresort into violence, hao wanaopiga nao hawakosei?? au na wao wakikosea wapigwe?
Ukigundua kila mtu kaumbwa na anger management ya mfumo wa tofauti basi utakuja kuelewa hayo yanatokeaga.

Sio kila mtu ana uvumilivu wa kubamiza mlango na kutoka zake nje kwa kero ambazo ni endless. Endurance levels hutofautiana.
 
Mtu yeyote anayeona ni jukumu la mwanamke kutengeneza familia na sio kujukumu la wote ni mnafiki tuu
Alikuwa mpuuzi hapo ana confess its too late...Jukumu ni la wote ila it doesnt work kama mwanamke ni mgomvi! Na mwenye attitude ya kusindana kama wewe. Wewe unaweza walaza watoto giza siku luku ikiisha sababu baba ndio ana jukumu la kununua umeme ilihali pesa pia unayo kwenye simu.
 
Ukigundua kila mtu kaumbwa na anger management ya mfumo wa tofauti basi utakuja kuelewa hayo yanatokeaga.

Sio kila mtu ana uvumilivu wa kubamiza mlango na kutoka zake nje kwa kero ambazo ni endless. Endurance levels hutofautiana.

hahahahah NONSENSE,yaani una advocate violence kisa anager management tofauti..wale wenye ndoa zao ambao hawapigani vipi anger management zao zikoje?? hovyo
 
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Nikipata mwanamke mwenye hekima na busara kama ulizonazo we dada, kiukweli nitaishi maisha ya furaha sana.
 
hahahahah NONSENSE,yaani una advocate violence kisa anager management tofauti..wale wenye ndoa zao ambao hawapigani vipi anger management zao zikoje?? hovyo
Hawapigani sababu amani ipo na heshima! Mwanamke anacheza katika nafasi yake na mwanaume anakuwa at ease mda wote.

Sasa wewe unayetaka kutetea abusive behaviour ya mke ila aachwe asiguswe...mke anakutukana we umuache usimguse sababu ni physical violence. Mke akudhalilishe mbele za watu ila unyamaze usiseme kitu.
 
Umeongea vyema kabisa; Mungu amempa kila mmoja wetu majukumu yake; sio mwanamke peke yake. Kinachonichosha ni kwamba kila siku ni mwanamke tu ndiye anakumbushwa wajibu wake katika ndoa; je wanaume hawatakiwi kukumbushwa? Ndoa ni ya mwanamke peke yake? Sio kila siku kusikia tu"mwanaume anahutaji hiki, mwanaume anapenda kile"; kwani sisi wanawake hatuna tunavyovihitaji na kupenda tutendewe na waume zetu?

Biblically; Kristo (mume) alijitoa sana hadi kuitoa nafsi yake, na kufanya kila lililowezekana kuhakikisha Kanisa lake (mke) yupo salama. Ila siku hizi kanisa ndiyo linamuhangaika Kristo; Kristo yeye ni kunyoosha tu miguu juu kama paka wa bar. Ndivyo Kristo alivyo-behave na kanisa lake? Mliuona vizuri upendo wa Kristo?

Tangu tukiwa watoto; kila binti atakachokifanya ni kwa ajili ya kumuandaa kuja kuwa mke huko mbeleni; what about our baby boys? Wao hawahitaji ndoa au hawatakiwi kuja kuwa waume bora? My point was; kama tunavyohangaika kumuandaa mtoto wa kike kuja kuwa mke mwema; tuhangaike pia kumuandaa mtoto wa kiume kuja kuwa mume mwema; ndoa ni watu wawili. Tunalea kizazi cha watoto wa kiume ambao watakuja kuwa mizigo kwa wake zao. Huyo binti ukimuandaa peke yake; haitosaidia akipata mume mzigo; itakuwa sio ndoa bali mateso. Na hakuna anayestahili kuteseka.

Sijaangalia hiyo clip wala kurefer ndoa za kizungu. But at least wazungu wametuzidi kwenye suala la kuwa honest; wenzetu akiona hapa hakueleweki akhaa kila mtu anashika 50 zake na maisha yake. Huku wengi tuna ndoa za kinafiki; huku nje Mr &Mrs; huku ndani tunaishi kama wapangaji wa nyumba moja, tukionana ni kupeana misonyo tu. Hiyo nayo ni ndoa ya kuigwa, au hata tunaweza kuiita ndoa in the first place? Huko sio kudumu kwa ndoa; ni kuishi tu siku ziende.

Thanks my dear!...umeelezea deep and vizuri sana
 
Mnhhhh ila ita work kama mwanaume ni mpigaji?
Concept ni ndogo, ukimpa mwanaume heshima na utii atakupa upendo na kukuthamini.

Generally, nyumba inatawaliwa na amani! Mahitaji makubwa ya mume kwa mke ni psychological ila mahitaji makubwa ya mke ni materialistic. Agree to disagree katika hili ila ndio maisha halisi ya kileo.

Mke akiwa psychologically abuser anaharibu chemistry yote ya upendo na amani. Ndo matokeo yake ni magomvi na mwisho vipigo.
 
Hawapigani sababu amani ipo na heshima! Mwanamke anacheza katika nafasi yake na mwanaume anakuwa at ease mda wote.

Sasa wewe unayetaka kutetea abusive behaviour ya mke ila aachwe asiguswe...mke anakutukana we umuache usimguse sababu ni physical violence. Mke akudhalilishe mbele za watu ila unyamaze usiseme kitu.

Mke atakutukana hivi hivi tuuu...yaani nije kukuambia Extrovert wewe ni mshenzi out of nowhere...maajabu haya...kama wewe unavyosema mtu akimpiga mkewe kuna sababu,pia mtu akimtukana mumewe kuna sababu..sasa mbona mke hakuanza na mangumi bali matusi?
 
How did you raise your concerns? Ulikaa ukaongea kama mtu mzima au ulianza kwa kufoka na makelele as if you are an idiot.
Mke atakutukana hivi hivi tuuu...yaani nije kukuambia Extrovert wewe ni mshenzi out of nowhere...maajabu haya...kama wewe unavyosema mtu akimpiga mkewe kuna sababu,pia mtu akimtukana mumewe kuna sababu..sasa mbona mke hakuanza na mangumi bali matusi?
Mke akiwa psychologically abuser anaharibu chemistry yote ya upendo na amani. Ndo matokeo yake ni magomvi na mwisho vipigo
 
Back
Top Bottom