Wanawake this is the harsh reality

Kaanza na ujinga kusema naropoka sikua na haja ya kufika huku, kuna muda mtu anakujaribu ili aone upande wa pili wa shilingi
Haya baba mfukuzeni huyu shetani jamani☹️☹️Malumbano hayana maana kabisa naimani nyote wawili huku kuna watu mnaheshimiana nao..msifike huko tafadhali. Iceberg9 na Extrovert hakuna haja ya kufika mbali brothers nawaomba.
 
sijawahi kuwa kwenye ndoa ila nachojua maelewano/chemistry ndo kitu Cha muhimu zaidi.japo inasemekana ndoa nyingi baada ya miaka 10 -15 huwa zinakuwa hoi
Upo sawa, na chemistry huwa mnaipata kama mkiwa mnazungumza punde mkiingia tofauti, mapema kabla jua halijazama, heshima, utii, hofu ya Mungu na busara ni nguzo pia kwa wanandoa,

Na wanandoa wanatakiwa wawe wanasali kwa pamoja nyumbani na kwenda kwenye nyumba za ibada
 
Hapana sina ubaya wowote na jamaa, rejea hoja zangu za awali utagundua yeye ndiyo kaanza matusi, hoja yangu ilikua ni kupinga hoja ya huyo mwanamke, yeye kaniambia naropoka sasa naropokaje
Mkuu nimesoma uzi mpaka mwisho, nakiuhalisia wewe na Extrovert sioni mnachotofautiana labda hukuielewa video, wewe ukichosema nidem huyo kuexpose vitu vyake vya ndani yandoa, ndio jamaa akakujibu unamfaham status yahuyo mwanamke. Huyo mwanamke anazungumzia ujinga aliofanya mpaka akaachika kwa lengo lakufundisha wakina dada wengine, kuwa watii kwa waume zao. Sema nahisi mmepishana tu katika maelewano lkn wote mnazungumza lugha moja ya mwanamke kutii mwanaume . Mjaribu kutulia nakuvumiliana kiongozi, kupishana katika lugha msianze kutukanana matusi yasio na msingi kaka mkubwa.
 
Haya baba mfukuzeni huyu shetani jamani
Malumbano hayana maana kabisa naimani nyote wawili huku kuna watu mnaheshimiana nao..msifike huko tafadhali. Iceberg9 na Extrovert hakuna haja ya kufika mbali brothers nawaomba.
Shetani leo kapata upenyo sio hulka yangu ila poa, Yesu atanisamehe kwa pale nilipoteleza, jirani wewe ni hodari sana kwenye upatanishi Mungu amekupa hiyo Kalama uitunze, heri wapatanishi maana........
 
Shetani leo kapata upenyo sio hulka yangu ila poa, Yesu atanisamehe kwa pale nilipoteleza, jirani wewe ni hodari sana kwenye upatanishi Mungu amekupa hiyo Kalama uitunze, heri wapatanishi maana........
Ndo na mimi nashangaa umekumbwa na nini jirani😅😅

Halafu mi nawaonaga kama ndugu mjue nafikiri nilishawahi kuwaambia hili..
Itabidi leo twende mlimani mimi,wewe na Extrovert tukafanye maombi ya kuimarisha ulinzi.😆
 
Ahsante sana kwa kulilainisha na kulifumbua zaidi, nashukuru kwa kufanya kutafuta kilicholeta sintofahamu nakutambua wapi mistake ilitokea, all in all tunachangia humu lakini pia ni vyema kuwa makini huwa napenda kushauri kitu kisichomletea mtu mwingine matatizo na kikamjenga, maana kuna watu humu huwa wanabeba ushauri kama ulivyo.
 
This kind of a woman is rear to find,ume comment madini yenye akili sana,it can only take a wise woman to understand you...
 
Poa jirani imeisha kwa moyo mweupe kwa upande wangu kirohoo safi, watu wengi ime wa disturb.
🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀
🥂🥂🥂🥂🥂🥂

Halafu leo ni wikend jirani unajaribu kuizungumziaje🤪🤪
 
Comment yako nimependa sana, sio kwa vile ni mwanaume na nataka "heshima na utii", lakini kwa vile tunahitajiana. Anayekuja kusema women/men this or that, huyo ana lake jambo na huenda mahusiano sio fungu lake. Hongera kwa comment nzuri.
 
Point
 
Hivi janamke kama Joyce kiria, ulipeleke mwendo wa mke wa huyo Ibrahim pataeleweka kweli?
 
Sawa!
 
Tulia single maza, tii mwanaume siku zako zipate kuwa tele duniani
 
Extrovert rafiki yangu basi msilumbane jamani..mbona ni mambo ya kawaida tu..binafsi sipendi malumbano
Rule of the thumb:
Ukiwa mtu mzima act accordingly, thats called discpline!

Huwezi kwenda kusokotea bangi kwenye counter ya polisi ati kwa sababu una haki ya kufanya jambo lolote bila kuingiliwa ndani ya TZ. Utawajibishwa tu!
 
Mia kwa mmoja, hiyo ni exceptional case, wanawake wengi pasua vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…