Wanawake this is the harsh reality

Mnhhhh ila ita work kama mwanaume ni mpigaji?
Mwanaume anayepiga bila sababu ana mental disorder! On the positive side hao wanaume its only 12% ya wanandoa wanaopiga just to cover their insecurities.
 
Ukiona kuishi katika namna ambayo hutagombana na mumeo huwezi, ama kuwa submissive kwako ni kipengele basi its better ukatae mapema tu siku ya harusi sio unaapa madhabahuni kwamba for better & for worst af unaenda kuleta utoto mjengoni.
 
Kimsingi ku qoute wazungu kama role models ikiwa wao ndio wametuletea huu mpasuko sio sawa!

Mila na desturi za kiafrika zimeegama kwenye misingi ya asili ya binaadamu na sio fikra zilizoeagama katika hisia ya namna gani watu waishi. Upuuzi wa haki sawa!
 
Mwanamme mpigaji,yuko basi tu untolerant, atakupiga kwa lolote, ukiona mke abuser muache aende zake, kumpiga sio solution, and wanaume wengi wanakua provoked and dont resort into violence...iweje wewe umpige?
Aende zake ila by the end atajuta tu kama huyo mdada kwenye hio clip! Ipo siku utatamani mwanaume uliemuona wa ninu arudi japo for a second na haitakaa itokee!
 
barikiwa sana mkuu kwa mchango wako huu ulotukuka, nadhani umemaliza kila kitu hivo ni jukumu letu kuufanyia kazi mchango wako ili tuiponye jamii
 
Kuishi maisha ya furaha ni matokeo ya kukubali kuishi katika means zenu. Being real as much as possible, shida inayowacost wengi ni maigizo tu! Unawaza kuishi maisha makubwa kuliko uwezo unazalisha stress zinakuzidia unamuangushia zigo la hasira mwenzi wako.

Ndio maana kuna maskini wanakula Nguruka, Ugali na mlenda ila wana furaha sana kuliko kijana anaelazimisha kupanga nyumba nzima sinza ili amfurahishe mkewe ambaye anataka kuonekana matawi kwa mashosti zake.

Kulipia watoto mashule ya ghali just to feed her ego! Wakati kipato sisimizi 😂😂😂 ili nasie tusionekane wa hali ya chini.
 
😂
 
Best advice ever. Nitaufanyia kazi accordingly. Nimependa hasa hiyo ya mwanaume kukaa kwenye kona ya dari kuliko kukaa ba mwanamke anayepiga kelele. 🤣🤣🤣 ila sie tunaongea sana sometimes. My ex husband kuna siku ali paralyse kabisa kwa siku 3 kwa jinsi nilivyokuwa namchamba. Alivyopona tu tangu siku hiyo sikuwahi kugombana naye kwa kurushiana maneno. Niliiona jela mbele yangu
 
imebidi ni google mkuu kuhusu utii labda nilikua sijui maana yake...

ila imekuja in english ni obedience,sasa hii ni mwanamke tu anatakiwa ku obey??? ...

Kumpenda mke, sio kumsikiliza,kumu obey (kumtii) ..???

View attachment 1609555
Nijuavyo mimi kupenda ni neno pana sana linakila kitu humo ndani tuma na ya kutolea,nywele zimefumuka ghafla,simu mbovu(ninunulie mpya),Kodi ya nyumba,yani makorokocho ni mengi.😅😅

Kwahiyo wanaume nyie mtupende tu kama mlivyoagizwa na maandiko na sisi tutawatii na kuwa kuwaheshimu fullstop
 

I don’t blame women with such mentality
Jamii imetuaminisha hivyo
Aisee mimi hili nimelikataa I can’t stay and pretend ili nionekane mke mwema
Wanaume wengi ni emotional abusers bila wao kujua pia I don’t blame them too ndio tumekuzwa hivyo
 
Hakuna usawa ktk mahusiano. Hizi idea za usawa ndo inawapotezaga. Halafu ukute mtu andika idea za usawa ila mkute kwa mumuwe anavyobehave...very mtiifu za kuambiwa changanya na za mbayuwayu....wadada si kila unalosoma ni la Ku apply...

Wanaume wanao komenti hapa JF huwakilisha wa mtaani...tafakari chukua hatua let no one fool you even the feminists
 
I sometimes call them fools.
Fools should not be allowed to be in love relationship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…