Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,146
Plus watakaopiga kambi hapa wengi ni Me.Huu uzi utakua na comments chache na fupifupi sana😅
Ke watakua wanapita hiv 👉
Plus watakaopiga kambi hapa wengi ni Me.Huu uzi utakua na comments chache na fupifupi sana😅
Kuliwa kimasikhara napo sio kosa.Unaweza ukamheshm mumeo hata kama unamegwa kimasikharaMkuuu..unafikiria kila Sanaa Nawaza kuliwa kimasihara....
Mama Terry kaa humu kwanzaAlot has been said multiple times ila imekuwa ni malumbano yasio na mwisho tu. Nimewaletea clip hii japo iwe funzo na muweze kuelewa kuwa nini hasa tunahitaji katika ndoa ili kujenga familia yenye amani na furaha.
Ni life experience ya ndoa na funzo toka kwa mwanamke ambaye aliolewa akaachika sababu ya kuendekeza upumbavu. Kuna la kujifunza before hamjajigeuza ma superwoman.
View attachment 1608998View attachment 1609232
Mwali, vipi ulifanikiwa kumaliza ule mchakato??


Trapped with.......Mchakato upi mkuu maana mambo ni mengii![]()
Trapped with.......

Ohhhh....Ohoo
Nimekubali kijana mwenzangu kaanza process za ndoa,mahari tayari tunasogea taratibu
Meanwhile msukuma hajui
With time tutapata suluhisho naamini![]()
Huko ndo penyeweee especially ukiwa unapendwaaaaaa.Mama Terry kaa humu kwanza
Umeongea point sanaa, hata Mimi nacoment kuwakilisha Hali halisi mtaani jaman 😁, kweli maisha wayajua mwenyewe so za kuambiwa changanya na zakoHakuna usawa ktk mahusiano. Hizi idea za usawa ndo inawapotezaga. Halafu ukute mtu andika idea za usawa ila mkute kwa mumuwe anavyobehave...very mtiifu za kuambiwa changanya na za mbayuwayu....wadada si kila unalosoma ni la Ku apply...
Wanaume wanao komenti hapa JF huwakilisha wa mtaani...tafakari chukua hatua let no one fool you even the feminists


.Wanawake walioolewa wangeweza kuishi katika kauli za huyo bi mdada kwa 80% kesi za phsyical abuse zingepungua kwa 90% nina hakika.Huko ndo penyeweee especially ukiwa unapendwaaaaaa.
Ujue Kuna kitu hujaelewa wanawake wengi ni submissive mnooo sema wengine wanatake advantage hii kumpiga na kunyanyasa.
Tunategemeana sanaa, Mara nyingi mke anayependwa kamwe utiii haukomi kwake as kwanza anakupenda. Kwenye madhaifu tuelekezane tu kwa utulivu tuache kutumia nguvu.Wanawake walioolewa wangeweza kuishi katika kauli za huyo bi mdada kwa 80% kesi za phsyical abuse zingepungua kwa 90% nina hakika.
Upendo ungetawala mno.
Mwanamke anayeishi nje ya hayo yaliozugumzwa maana yake anaishi in denial. Gharama zake ni kuharibu haribu mahusiano kwa kujenga roho ya chuki na visasi. Usipomuheshimu mwanaume una distort psychology yake vibaya mno na kamwe hawezi kaa akupende as you wish. Huwezi mpenda mtu anaekuondolea amani na furaha.
Wanakusikia mama 😂Tunategemeana sanaa, Mara nyingi mke anayependwa kamwe utiii haukomi kwake as kwanza anakupenda. Kwenye madhaifu tuelekezane tu kwa utulivu tuache kutumia nguvu.
Kila mtu akifanya majukumu yake na kuacha ubinafsi aisee tutaishi kwa Raha mnooo.
Tuanze sisi wote hapa kubadilika na tujenge jamii yenye upendo.
Ukiwasikia wanaume hapa wanavyopamban ohh mke asiondoke watoto watateseka ohh walalelewa na single mama, hutaamin ndo hao hao wapo ndoani na wanazaa nje ya ndoa daily. Hao watoto sijui hawawi affected??? Na ndo wakwanza kuhamasisha single maza waliowazalisha wasioleweWanaume kuna kitu hawajui ukishafeli kumvallue mkeo lazma atake haki sawa mume muhuni sioni umuhimu wa kumpa thamani wakati anaishi kibachela ndoani.
Wanaume waliotulia ni mashahidi wanafurahia ndoa zao. Nyie kina baba Jonii na baba Swalehe endeleeni hivyohivyo.
Yaan acha tuu mi kipindi nipo chuo nilipataga unconditional love kwa Baharia mmoja ivi yaan nilipotezaga mbaka rafiki angu kipenzi kisa nampenda mwanaume asiieleweka kumbe masikini nilijua nimepata mwanaume mmoja kati ya saba waliopo duniani kwa wakati ule hata wenye pesa niliwaona machoko tuu.Ukiwasikia wanaume hapa wanavyopamban ohh mke asiondoke watoto watateseka ohh walalelewa na single mama, hutaamin ndo hao hao wapo ndoani na wanazaa nje ya ndoa daily. Hao watoto sijui hawawi affected??? Na ndo wakwanza kuhamasisha single maza waliowazalisha wasiolewe
Nakuapia wanaume mkiwa na hofu ya Mungu mba nafasi kubwa Sana ya kuleta Aman na furaha kwa familia
Samahani Dada,hapo unaposema mwanaume unapambana kwa ajili ya familia,Ina maana mwanamke hapambani kwa ajili ya familia?Mwanamke na mwanaume hawapo sawa...japo Ni marafiki wakuubwa Sana..niwatu wakaribu Sana..
Mwanaume Ni Authority na anapambana kwa ajili ya familia..sijui Sasa Unvyotaka amtii mwanamke una maana gani.labda sijakuelewa.
Ex,acha kumsifia Sana,tunaomba atuelezee kwa kina hapo kwenye mwanaume mpambanaji,je wanaume wasiopambana nao tuwatii au tusiwatii?Kuna familia nyingi breadwinner ni mwanamke je Nani apewe utii hapo?Yani leo ningekuwa nipo vizuri ningekwambia uje makumbusho uchague iPhone unayopenda niilipie fasta. This is how a real woman should be and think 😍 umekuwa positive sana leo.