Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,197
- 19,465
Dhiki dhiki zimewajaa wanawake wa sasa.Jaman kila leo tunasema humu wee unaona wanawake wanakuzonga wanataka hela si uachane nao shida ipo wapi? Mbona wengi mnapenda kujiletea mastress kumbe unaweza ukaamua kukaa mwenyewe na maisha yakasonga bila kugombezana na watu, jipeni amani kataeni omba omba wakatafute wanaowezana nao nyie pambaneni na hali zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika🤣🤣🤣 kama hana akae kmya wengine wanatoa hawaoni kero.Umasikini wako ndio umekufikisha hapo
🤣🤣🤣Acheni wenye hela watoe.
Nyie wa kubet subirini mpaka mziotee nyingi
Atafute pesa, manenos mengi ni kelele
Eehe kumekuchaaView attachment 2504331
At your age of 50s, juzi ulikuwa kwenu Moshi msibani, kazi yako ilikuwa kununuliwa tu pombe, hela hadi mwanamke wako aamue yeye kukupa. Na kwa ulevi wako kila wakati uko njwii, baba zima unaweka double kick kwenye chupa ya K Vant.
Mbezi Beach yote ni wewe unayetutia aibu. Jirekebishe




Na wewe kwa nini utongoze wenye njaa matajiri wenzako huwaoni?Dhiki dhiki zimewajaa wanawake wa sasa.
Njaa njaa zitawamaliza
Waache kutongoza vitoto, jobless itawasaidia....videnti vinaomba sana hela nikubadiri mfumo,eiza watafute mashangazi au wakanunue madabwada






Umeamua kujitetea mrembo
Boraa uwaambie hawa watu.Boss, Hii sio rahisi. Penzi lina matokeo mengi, na maandalizi yake yana gharama. Siku hizi wanachofanya anayehitaji ndiye anagharamia. Kuna wanaume wanalelewa kabisa.
,Eehe kumekuchaa![]()


nawaambiaga watu humu sio pa kujishaua kuna watu wanatujua nje ya hapa ooh wengi hawaelewag. Kuna watu wanajishaua humu jaman ukija jua maisha yao huko nje unabaki mdomo wazi hahaaHakikakama hana akae kmya wengine wanatoa hawaoni kero.
Watu nawaambia humu kama wanaona wanasumbuliwa wadada wanataka hela si waachane nao? Hawataki ila kutwa kufungua manyuzi humu .Kama una pesa kutoa 60000 huoni kazi acha wenye pesa tufaidi