Wanawake punguzeni kuomba omba hela

2025DG

JF-Expert Member
Jan 30, 2023
508
1,425
Hello.

Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum?

Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki tunajua ipo jamani sio kitu cha kukiendekeza kabisa.

Now days imekuwa ngumu kumtofautisha ombaomba na mdada muomba hela.

Mbadilike.

Tena vinaandikaka hivi "bebi aomba hela ya kula" kama havina meno mdomoni
 
Ladies kuna pdf (notes) imetoka leo jion.
Jinsi kukabiliana na vikwazo pale unapoomba pesa kwa mwanaume.
Kwenye kikao cha wanaume tulishaisoma hiyo pdf yenu na tukajadili mpango mkakati wa kupangua hoja zenu hamtoboi
 
Hello.

Watoto wa kike punguzeni tamaa ya Hela,
Hela ya tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iphone macho matatu.

Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani.

Dhiki tunajua ipo jamani sio kitu cha kukiendekeza kabisa.

Now days imekuwa ngumu kumtofautisha ombaomba na mdada muomba hela.

Mbadilike.
Na wewe acha kuombaomba uchi. Hamna mwanamke atakaye kuomba hela kama hujamuomba uchi
 
Habari ndiyo hiyo, madogo kelele zimekuwa nyingi, mkiombwa hela kidogo tu mnakuwa wakali kama nyuki.

Hela yenyewe inayokutoa mapovu utakuta ni buku 10 au 50, au laki, lakini utalalamika usiku kucha na mchana kutwa.

Mademu hawa, hamna anayekuomba umnunulie kiwanja wala umjengee nyumba, wao wanataka tu hela ya saluni, ikizidi sana watataka hela ya simu.

Kama unajikuta huna hela za kumtosheleza mwanamke usitongoze, wala usiombe papuchi tuachie wenye hela za kuhonga tuvimbe. Wee nenda kwa mademu zenu wa buku 3 ambao hawana mizinga wala nini, wanauza mbunye.

Hizi toto za kitaa zimekushinda.

Vizuri hugharamiwa!
 
Habari ndiyo hiyo, madogo kelele zimekuwa nyingi, mkiombwa hela kidogo tu mnawakuwa wakali kama nyuki.

Hela yenyewe inayokutoa mapovu utakuta ni buku 10 au 50, au laki, lakini utalalamika usiku kucha na mchana kutwa.

Mademu hawa, hamna anayekuomba umnunulie kiwanja wala umjengee nyumba, wao wanataka tu hela ya saluni, ikizidi sana watataka hela ya simu.

Kama unajikuta huna hela za kumtosheleza mwanamke usitongoze, wala usiombe papuchi tuachie wenye hela za kuhonga tuvimbe. Wee nenda kwa mademu zenu wa buku 3 ambao hawana mizinga wala nini wanauza mbunye.

Hizi toto za kitaa zimekushinda.

VIZURI HUGHARAMIWA
Labda kwakoo m nakulaaa hela ya binti mwaka wa nne sasa ofisi kubwaa na lodge analipia yeye
 
Mario wa JF. Yaani wewe ni mkubwa umri tu lakini kichwani toto la juzi tu. Hapo Mbezi Beach unaishi kwa mwanamke na unaona fahari kujitapa mitandaoni. Please stop this nonsense immediately
Njooo na wewee uleleweee kama rahisiii......mwenzio kaolewaaa sijui una mpango gani wa kuolewa
 
Mario wa JF. Yaani wewe ni mkubwa umri tu lakini kichwani toto la juzi tu. Hapo Mbezi Beach unaishi kwa mwanamke na unaona fahari kujitapa mitandaoni. Please stop this nonsense immediately
Njoo ukaribiee kuna chumbaaa naweza kukufikiria. ...na dadako tuongeze familiaaa.... Hana hiana kabisaa
 
Back
Top Bottom