Wanawake pesa yao chungu kweli kutoa

Wanawake pesa yao chungu kweli kutoa

Unajua Tunaweza mlaumu mke...kumbe jamaa nae kila siku anadai hana hela...... sasa siku akiwa "hana" kweli mke anajua ni swaga zake tu (kama mke si jamii ya wabinafsi)

Sasa mkuu mpaka anaenda kukopa huruma hamna wakati mwenzake ana pesa.
 
Unajua Tunaweza mlaumu mke...kumbe jamaa nae kila siku anadai hana hela...... sasa siku akiwa "hana" kweli mke anajua ni swaga zake tu (kama mke si jamii ya wabinafsi)

Nalo neno. Sio wanawake wote wanakuwa bahili bila sababu. Kuna tatizo kwa mwanaume ndio maana mke nae kawa mchumi/ mnyimi.
 
Siyo wote. Hiyo inatokana na mwanaume mwenyewe alivyo. Kuna wanaume wao kila siku wao hawana hela, pesa zao hazionekani kwa wanawake zao. Ndiyo maana mwanamke nae anaamua kutokukupa zake.
 
Nalo neno. Sio wanawake wote wanakuwa bahili bila sababu. Kuna tatizo kwa mwanaume ndio maana mke nae kawa mchumi/ mnyimi.

Yaani kama wewe usivyo mnyimi, mbona muamala siuoni sasa??
 
Not rait kwakweli. Mke Ni msaidizi katika familia, sasa Kama mwanaume anakwama tena kwenye mambo ya msingi na hataki kumsaidia, Sijui tumueleweje. How on earth unakubali mume wako akalilie watu aw nje Shida zake while wewe upo na hela unayo?

Inawezekana mumewe labda huwa mbahili au ndo wale wanaotumia pesa zao kwa starehe,.. Lakini kwa hapa, mke Alitakiwa kumsaidia mumewe ili baba mkwe atibiwe. Kuna angle unaweza kumkomesha ukamnyima hela, but sio kwenye masuala sensitive Kama ugonjwa, elimu ya watoto etc
 
Unajua Tunaweza mlaumu mke...kumbe jamaa nae kila siku anadai hana hela...... sasa siku akiwa "hana" kweli mke anajua ni swaga zake tu (kama mke si jamii ya wabinafsi)

Ujue hiyo pesa ilikuwa kwa ajili ya mgonjwa sasa unapoweka ligi za ndani kwenye uhai wa mtu inaleta ukakasi.
 
Not rait kwakweli. Mke Ni msaidizi katika familia, sasa Kama mwanaume anakwama tena kwenye mambo ya msingi na hataki kumsaidia, Sijui tumueleweje. How on earth unakubali mume wako akalilie watu aw nje Shida zake while wewe upo na hela unayo?

Inawezekana mumewe labda huwa mbahili au ndo wale wanaotumia pesa zao kwa starehe,.. Lakini kwa hapa, mke Alitakiwa kumsaidia mumewe ili baba mkwe atibiwe. Kuna angle unaweza kumkomesha ukamnyima hela, but sio kwenye masuala sensitive Kama ugonjwa, elimu ya watoto etc

Umenena mkuu.
 
wake wengine chenga sana...hivyo vitu vya kufanywa na vipozeo wa nje..sio mke wa ndoa

Sasa km mume mwenyewe chenga unafanyaje? Yake haitoki na huko nje inaliwa tu alafu unataka mke ndio atoe!!
 
Khaa!! Unajua kazipataje?? Hata kama ulimpa mtaji unajua mbinu za biashara anazotumia kukuza biashara?? Usipoangalia kuombaomba pesa kutoka kwa mwanamke unaweza kuwa unajitusi mwenyewe :A S wink:
 
Hiyo ni Rohombaya tu mbona yeye alimpa mtaji na amemuomba akiwa na shida.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni Rohombaya tu mbona yeye alimpa mtaji na amemuomba akiwa na shida.
Khaa!! Kiasili kazi ya mwanaume ni kumlea mwanamke na kumtatulia shida zake zote na hili halina ubishi vitabu vyote vya dini pamoja na katiba ya nchi vinatuelekeza hivyo. Umewahi kusikia popote mwanaume analamika kuwa mkewe hamtunzi zaidi ya kumyima unyumba?? Inawezeka labda alimpa mtaji ili awe busy kidogo asinenepeane ndani nyumba tu bana
 
* Sio kila mwanamke ni 'wife material' ...na hao wife materials ni adimu (scarce) balaa kama almasi kadri siku zinavyokwenda...

* Ukisoma comment za wakike kwenye hii topic yako...utawaona non-wife materials kama huyo mwanamke kwenye stori yako...
 
Khaa!! Kiasili kazi ya mwanaume ni kumlea mwanamke na kumtatulia shida zake zote na hili halina ubishi vitabu vyote vya dini pamoja na katiba ya nchi vinatuelekeza hivyo. Umewahi kusikia popote mwanaume analamika kuwa mkewe hamtunzi zaidi ya kumyima unyumba?? Inawezeka labda alimpa mtaji ili awe busy kidogo asinenepeane ndani nyumba tu bana

Na ukisikia mwanaume analalamikia hela ya mwanamke ujue ana shida aisee, tena unailalamikia hadharani kabisaaaa!!! Mwanamke anaishi kulingana na upepo wa mume ukiona kuna shida basi anza na mumewe kwanza.
 
Sasa km mume mwenyewe chenga unafanyaje? Yake haitoki na huko nje inaliwa tu alafu unataka mke ndio atoe!!

Kwa wadizaini hiyo sawa..mke unaweza kuwa kauzu..ila huyu inaonekana husband yuko responsible ila ye ndo chenga..yani hathamini hata uhai wa mtu
 
.[/QUOTE]
Kiongoz Wewe Kama Umemzoesha Mkeo Kwamba Hela Zake Hazina Kaz Tegemea Uliyoyainisha Kwenye Uzi. Mshirikishe Mkeo Na Sio Mambo Ya Kujifanya Kibopa Mwenye Money. Baadae Likibuma Unakuja Hapa Kulialia Wakati Hayo Mazingira Umeyajenga Mwenye. Hence SIO WANAWAKE WOTE NI WACHUNGU KWENYE HELA KAMA ULIVYOAINISHA KWENYE UZI WAKO. OVER
 
Khaa!! Kiasili kazi ya mwanaume ni kumlea mwanamke na kumtatulia shida zake zote na hili halina ubishi vitabu vyote vya dini pamoja na katiba ya nchi vinatuelekeza hivyo. Umewahi kusikia popote mwanaume analamika kuwa mkewe hamtunzi zaidi ya kumyima unyumba?? Inawezeka labda alimpa mtaji ili awe busy kidogo asinenepeane ndani nyumba tu bana

Katiba ya nchi gani??
 
kwa wadizaini hiyo sawa..mke unaweza kuwa kauzu..ila huyu inaonekana husband yuko responsible ila ye ndo chenga..yani hathamini hata uhai wa mtu

We hadi uone suala la ugonjwa mke kanyuti ujue hao wana tatizo kubwa zaidi ya hapo, tambua hii ni story ya upande mmoja so lazima apalilie upande wake.
 
Back
Top Bottom