Wanawake pesa yao chungu kweli kutoa

Wanawake pesa yao chungu kweli kutoa

Ningesha mtimua kitambooooo......
Huyo ni muuaji sio mwanamke bora niishi bachelor!

Hii haitoshi kuwa sababu ya kumtimua, wanawake wanahuruma sana. Ukiona imefikia hatua hii ya kukunyima msaada kwa mzazi wako ujue ndoa ilishakufa zamani.
 
Mwanamke unatakiwa uishi nae kw makini.,busara,akil nyingi cna vinginevyo utachanganyikiwa cna.juwa ww ni dereva na kiongoz ktk familia ukijuwa hilo mamb yanaenda tuuu
 
Hii haitoshi kuwa sababu ya kumtimua, wanawake wanahuruma sana. Ukiona imefikia hatua hii ya kukunyima msaada kwa mzazi wako ujue ndoa ilishakufa zamani.

Wanahuruma gani?
 
Ile acc ya crdb sijaiona. Ndio maana huwa nasema, familia ni zaidia ya kulalana usiku. Kweli mtu huna hata senti, uchumi unayumba lakini mke ana 10m kwenye acc na anasema kabisa sina pesa...aaah

We unajuaje labda amemtunzia tu mtu sio za kwake,

Hayo ya mke yaache kwanza watamalizana wenyewe, hebu tuma kwanza huo muamala.
 
ndio asili yao,,, haiwezi badilika........kama ilivyo kuhonga ni asili ya mwanaume......
 
We unajuaje labda amemtunzia tu mtu sio za kwake,

Hayo ya mke yaache kwanza watamalizana wenyewe, hebu tuma kwanza huo muamala.
atoto sasa nafanyaje huo muamala bila ##. Fanya hima nipo hapa crdb. Ikifika saa6 hujatuma baaas!
 
Last edited by a moderator:
atoto sasa nafanyaje huo muamala bila ##. Fanya hima nipo hapa crdb. Ikifika saa6 hujatuma baaas!

Acha uzushi basi mbona muda wote hata muamala hausomi? Nimesubiri weeee nimechoka bwana
 
Last edited by a moderator:
Msikate tamaa endeleeni tu kutupa zenu. Zetu msiziulizie mtaumwa kichwa lols
Wewe Valentina wewe!!!! siyo vzr kufanya hivyo kumbuka baba ake mumeo ni baba yako pia.

Jaribuni kuvaa viatu vya mwenzako. Mimi nashauri mwanaume anapokuomba pesa angalia na hitaji lenyewe kisha toa pesa hata kama hajakupa mtaji. Kwa swala kama la mtoa mada ingetakiwa mwanamke ampe hela kiroho safi.

Wanawake badilikeni kwa hili.
 
Basi sawa....
 
tena nyie ni wachungu kinomaaaa....ila tunawaangalia tu
 
Mtatafuta kwa jasho...........watazaa kwa uchungu sasa na mtuache na pesa zetu
 
mwanaume atakula kwa jasho mwanamke atazaa kwa uchungu. mwanaume play ur pat la cvyo na nyie bebeni mimba.... lol

mtoa mada kusaidiana kupo ila yy ndo ana makosa kuoa typ ya namna hiyo mana tabia km hiz zinqonekana tangu uchumba. kwa mtindo huogonjwa anaweza kufa kisa mume hana hela ila mke ana mamilion benk. USIJE UKAKOSEA KUOA AU KUOLEWA
 
Back
Top Bottom