Wanawake pesa yao chungu kweli kutoa

Wanawake pesa yao chungu kweli kutoa

Sema imetokea kwako, it is not too general like that. Inawezekana wewe mwenyewe si muwazi kwake ktk mambo ya kifedha na in return hata yeye atakuficha tu!

Kwa nijuavyo mimi wanawake wengi wanaojitambua na kujielewa hawawezi kushindwa kumpa msaada mume pale anapohitaji unless hayo mahusiano yenu yasiwe mazuri, ya kutokuaminiana!
 
Back
Top Bottom