Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,034
We hadi uone suala la ugonjwa mke kanyuti ujue hao wana tatizo kubwa zaidi ya hapo, tambua hii ni story ya upande mmoja so lazima apalilie upande wake.
Inawezekana..ila hizi story za hivi zimekuja nyingi sana humu..inabidi mkubali tu wengi wenu wabinafsi