Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Kwani masufuria na kupika ni siku nzima!? [emoji12][emoji12] ukimaliza si UKAUPARE hata ME akumezee mate na siyo kuwa kama house girl utadhani ni muuza njaa!? [emoji2095][emoji2095][emoji2095][emoji2095][emoji2095][emoji2095][emoji2095][emoji2095]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikimaliza niko hoooi bin taaban, nakoga then nap kidogo. Nikiamka dera langu saaaafi kabisa.
 
Ila on a serious note ujue sometime home tunapenda kujiachia?

Tusibane nywele, tuvae madera tuwe free no panties no bra za kutabana.

Kumbe wenzetu hawapendi halafu hawatuambii.

It's time we changed though. Sasa hivi tusivae zile kofia za neti ama stockings za zamani... Kuna Satin Bonnets kali mno ambazo we can still look good to our husbands while protecting our hair.

Hatuna sababu ya kulala na nightdress mbovu. Kuna night attire nzuri mno tena very affordable.

That Gentleman am I making sense now?
Ndiyo maana nakupenda 😍 na nitazidi kukupenda 😘ingawa watu wanasema wewe ni mjuaji sana 😀😀
 
Ndiyo maana nakupenda 😍 na nitazidi kukupenda 😘ingawa watu wanasema wewe ni mjuaji sana 😀😀
If you are a woman and you stand up for what you believe in, huyumbishwi kiboya, only Alpha males can handle you.

Hutu tujamaa twingine tutaishia kupiga kelele tu za chura.

Sina mood ya ugomvi niliyokuwa nayo wiki hii ningewataja woteee tuanze ngumi upya. LOL
 
Habari za Jumapili.
Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama

Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza mishe za nyumbani. Ule mvuto aliokuja nao ukatoweka.

Ikifika asubuhi anajikwatua tena na kuziachia vizuri tayari kwenda kazini. Huko anakutana na wenzake. Mabosi, vijana, wababa, wapita njia, n.k. Wote kwa nyakati tofauti wanavutiwa nae kwa muonekano ambao alipokuwa nyumbani aliuficha.

Jioni inafika tena anafika nyumbani na kujitupia tambara lake kichwani. Tena anaweza kutafuta na nguo nguo huko akajitupia kisha akaendelea na mishe za nyumbani.

Kwa hali hii hamasa itakuwepo? Hakika yatabakia mazoea tu
Ambao hatujaoa tunacomment wap???
 
If you are a woman and you stand up for what you believe in, huyumbishwi kiboya, only Alpha males can handle you.

Hutu tujamaa twingine tutaishia kupiga kelele tu za chura.

Sina mood ya ugomvi nilivyokuwa nayo wiki hii ningewataja woteee tuanze ngumi upya. LOL
Lame argument.
 
Habari za Jumapili.
Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama

Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza mishe za nyumbani. Ule mvuto aliokuja nao ukatoweka.

Ikifika asubuhi anajikwatua tena na kuziachia vizuri tayari kwenda kazini. Huko anakutana na wenzake. Mabosi, vijana, wababa, wapita njia, n.k. Wote kwa nyakati tofauti wanavutiwa nae kwa muonekano ambao alipokuwa nyumbani aliuficha.

Jioni inafika tena anafika nyumbani na kujitupia tambara lake kichwani. Tena anaweza kutafuta na nguo nguo huko akajitupia kisha akaendelea na mishe za nyumbani.

Kwa hali hii hamasa itakuwepo? Hakika yatabakia mazoea tu
Samaki anavuliwa mara moja tuu, labda saiv nawe umekuwa samaki!
 
Niliwahi kumchana rafiki yangu KE aliyewahi kuwa office mate. Huyu dada tulikuwa ni marafiki wakubwa sana hadi ndugu zake wote na wazazi wake walinifahamu na kuniheshimu kama ambavyo mimi niliwaheshimu. Nikaacha kazi pale naye akawa ameacha lakini urafiki wetu haukufa. Akasikia nimetoka zangu bush niko MUJINI hivyo akanialika kwa lunch. Mumewe tunafahamiana sana na tunaheshimiana sana tu.
Basi nikafika pale nikamkuta na mama yake mzazi tukapiga story kisha msosi ukawekwa mezani tukajichana. Baada ya kula nikaaga na yule dada kunishindikiza. Basi ile tuko wawili nikaanza “umepatwa na kitu gani mbona umejiachia hivi?” “Kwanini nyumbani kwako unakuwa nyuku nyuku kama house girl?” “Wewe ni mtu unayejipenda sana lakini kwako umevaaa kisempele kimechoka sana Nywele zako nzuri umezifunga na kilemba kilichochoka sana” “Hivi unadhani mumeo akirudi kutoka kazini akikukuta hivi atakuwa na hamu hata ya kukugusa?” “Si bora tu awe na mchepuko wake anayevutia na havai visempele kama wewe na kuficha uzuri wale?”
Akainamisha kichwa kama dakika tano hivi. Ule ukimya nikajua nimeshapoteza rafiki yangu wa miaka mingi.
Akasema ahsante sana nashukuru sana. Tumegombana sana na hubby kuhusu issue hii kuliko issue nyingine yeyote ile. Naona kuna kila sababu ya kujirekebisha.
Ukweli ni kwamba KE wengi waliokuwa kwenye ndoa wanajisahau sana kuhusu kupendeza na kuwa maridadi wanapokuwa majumbani mwao na hii husababisha ME wengi kwenye ndoa kuanza kuangaza angaza huku na kule kutafuta warembo.
mzee wewe kauzu sana
 
Habari za Jumapili.
Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama

Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza mishe za nyumbani. Ule mvuto aliokuja nao ukatoweka.

Ikifika asubuhi anajikwatua tena na kuziachia vizuri tayari kwenda kazini. Huko anakutana na wenzake. Mabosi, vijana, wababa, wapita njia, n.k. Wote kwa nyakati tofauti wanavutiwa nae kwa muonekano ambao alipokuwa nyumbani aliuficha.

Jioni inafika tena anafika nyumbani na kujitupia tambara lake kichwani. Tena anaweza kutafuta na nguo nguo huko akajitupia kisha akaendelea na mishe za nyumbani.

Kwa hali hii hamasa itakuwepo? Hakika yatabakia mazoea tu
Ila hizi tabia hata michepuko wanazo, siku moja tulitoka viwanja na rafiki yangu tukapita maeneo ambayo ulikuwepo mchepuko wake, jamaa akamwambia mchepuko utufuate road kinyume na hapo haendi home kwake (mchepuko). Ikabid mchepuko uje na kutuchukua pale tulipokuwa tunausubiri. Tukaenda hadi unapoishi na kukuta mamsosi tukala,

Ajabu mchepuko uliamua kufunga kanga na kuvaa kilemba baada ya kuingia tu pale ndani. Baada ya kula jamaa akamwambia tumekufuata ili twende viwanja, nikashangaa mtandio & kanga vimetolewa na kuwekwa kando na kuanza kujikura tena
 
Ila pamoja na mapungufu ya wanawake..
Wanaume hamjui ugumu wa shughuli za nyumbani.,
Hakikisha mna dada mmoja au wawili kumsaidia mama
Wadada wawili wa kazi za ndani , kwa maposhi haya ya jiko la gas?, kweli maisha yanaenda kasi sana.😃😃
 
Back
Top Bottom