Wanawake ni watu Special sana ila basi tu

Tatizo linaanza ,unaoa mwanamke aliyekwisha liwa na wanaume zaidi ya wawili ....

Maana kupata mwanamke bikra kwa Sasa Ni kazi kubwa Sana ....

Huyo mwanamke anakuwa na mawasiliano na wanaume zake aliokuwa nao mwanzo huku akisema ni marafiki tu kumbe anabinuliwa nao ,na analiwa Tena ,....hapo ndio mwanaume anaona Ni ujinga kutunza mtu ambaye ni msaliti kwenye ndoa
Case closed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kaka,

Hili la kumlipa silipingi kwanza sababu tumefundishwa hivyo, lakini pia namuona jinsi anavyohangaika na mtoto(mama aitwe mama tu)
Kwenye masihara ananiambia nijiamdae kumlipa na ni kweli ana haki(japo anatania)

Nahisi wake zetu wanatuonea huruma aidha kwa vipato vyetu, ama wanaona tunavyojitoa kwa familia zetu.. Au wengine hawajui kama kulipwa ni haki yao.
Ila wanaojua naamini ni huruma tu wanatuonea.
 
Akuna cha uspeshel wala sphasher wanawake ni malaya 2 ama uongo man m2 kaz
 
Wamebaki wachache mno wanaume wanaotimiza hayo,wanaume wanaoa ili wapelekewe maji bafuni,wapikiwe,wafuliwe,wafanyiwe usafi,wabebe mimba,wazae wanyonyeshe,na milawama ya mawifi na mama mkwe kuwa mvivu
Wanaume hao hawalish familia zao vizuri unakuta ana uwezo lakin mke anahangaika kama mbwa na hapo limwanaume lina wanawake watano
Kadhalika wanawake waliofika hakika ya utii kwa waume zao pia wamebaki wachache don't be subjective plz, Nafikiri equation ipo chemically balanced usijiumize kichwa Dada angu kuwaza kwanini wanaume sampuli hiyo wamebaki wachache, ni kwamba hata wanawake wanaostahili hayo pia wachache vilevile(malipo siku zote ni vile atendavyo)
 
Hii kwa mtu ambae hajawahi kudandiwa na mhuni yoyote ila kwa wale Used Car yaani 2nd Hand material wajipange kwa Gwaride linalowashinda wengi.
 
Wanawake ni viumbe ambao wameumbwa kuhudumiwa na kuangaliwa na kupewa hadhi kubwa Sana katika jamii Ila basi wanaume ndio hatujielewi.

Mwanamke hakuumbwa kuja kupata shuruba hapa duniani Ila Maisha Tu ndo yamewafanya waingie katika mazingira hayo.

Kwanza tunaambiwa mwanamke ametokana au ameumbwa kutoka katika ubavu WA Adamu, tena ubavu ulio pinda inamaana ukizidi kuupinda utakatika na na ukiunyosha pia utakatika,huyo ndo mwanamke bwana.

Kwa kujua hilo ndio maana Dini ya Uislamu imewapa umuhimu mkubwa Sana wanawake katika ustawi wao katika jamii ingawa jamii ya kimagharibi inaona mwanamke amenyimwa Uhuru Sana Kwa kile Tu cha kuona Uislamu umewahimiza wanawake Wajistiri na wasikae uchi kama wanawake wapuuzi WA kimagharibi, kwao wao Uhuru na hadhi ya mwanamke ni kutembea uchi na kujianika maungo yake hadharini na kuwafanya chombo cha starehe.

Mwanamke anastahili kuheshimiwa na kupendwa na kutunzwa vizuri, Kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu,mwanaume anamuoa mwanamke na kupewa kama dhamana na Mwenyezi Mungu,amuangalie na aishi nae Kwa mapenzi na huruma pia na ajue IPO siku ataulizwa ni vipi aliitunza Amana aliyopewa.

Ndio maana mwanamke WA kiislamu hata akinyonyesha mtoto anatakiwa alipwe na mume wake,naam ndio hivyo.

Mwanamke anatakiwa atafutiwe mfanyakazi WA kumsaidia kazi za pale nyumbani,sio jukumu lake kukufulia na kufanya usafi,wanacho fanya ni huruma Yao na mapenzi Yao Tu Kwa mume,kazi yake ni kujipamba na kukuhudumia wewe mume wake kipenzi.

Hata kama mwanamke anabiashara au anafanya kazi hawajibiki kumhudumia familia pale nyumbani,hiyo ni hela yake yeye,wewe kama mume ndio Una majukumu ya kuhakikisha mipango ya pale nyumbani unaenda Sawa,Ila mwanamke mwenyewe akiamua kukusaidia hapana ubaya hata kidogo,Ila kama mume usitolee macho kipato cha mkeo na kutaka ashiriki katika majukumu yako laa! Si kazi yake hata kidogo.

Leo masikini ya Mungu wanawake wanapata shida kwakuwa wanaume hatufanyi majukumu yetu kama wanaume,matokeo yake unakuta dada zetu na mabeseni mabarabarani wanahangaika na Jua Kali kukujitafutia ridhiki. Mwanamke hakuumbwa hivyo hata kidogo,matokeo yake Leo hii nyumba hazina mahaba kabisa,mwanamke ametoka kutafuta amechoka na mwanaume vile vile.

Lakini kama mwanamke angekuwa anaangalia nyumba yake haendi huko juani kupambana Bila Shaka angekuwa nyumbani kumhudumia mumewe na kumpa faraja ya kutosha kabisa.

Mwanamke hafai hata kwenda sokoni,anatakiwa aletewe mazagazaga yote pale home na mumewe,ndio maana kuna wanaume ambao wanajitambua hufanya hivyo,ingawa wasiojua wanawasema vibaya kuwa Wana wivu Sana,laa hawana wivu wanajua majukumu Yao vizuri Sana.

Kwa kumalizia ingawa mambo ni mengi na Mda ni mchache,wanaume tuwaheshimu wanawake na tuwatunze vile Inavyotakiwa,hawakuumbwa kupata shida hawa viumbe Ila Sisi ndio tumeamua kuwapa shida, tunaweza badilisha Hilo.

Mkuu makaveli10 mshenga wangu Kwa To yeye hope utaanza kumlipa your baby mama hela za kunyonyesha very soon.

Ni hayo Tu!
Nakubaliana na wewe kuwa mwanamke ni kiumbe cha pekee sana anastahili heshima kubwa mno na uangalifu mkubwa. Ila sikubaliani na dhana za kidini kwamba mwanamke ni dhaifu na anapaswa kukaa chini ya umiliki na uongozi wa mwanaume.

Ulimwengu wa kiarabu kupitia dini ya kiislamu umemfanya mwanamke kuwa kiumbe duni na au pet. Ulimwengu wa kimagharibi umeona nguvu ya mwanamke na umempa mwanamke heshima anayostahili na ndio maana Ulaya na America wanawake ndio engine ya maendeleo kwasasa.
 
Wanawake ni viumbe ambao wameumbwa kuhudumiwa na kuangaliwa na kupewa hadhi kubwa Sana katika jamii Ila basi wanaume ndio hatujielewi.

Mwanamke hakuumbwa kuja kupata shuruba hapa duniani Ila Maisha Tu ndo yamewafanya waingie katika mazingira hayo.

Kwanza tunaambiwa mwanamke ametokana au ameumbwa kutoka katika ubavu WA Adamu, tena ubavu ulio pinda inamaana ukizidi kuupinda utakatika na na ukiunyosha pia utakatika,huyo ndo mwanamke bwana.

Kwa kujua hilo ndio maana Dini ya Uislamu imewapa umuhimu mkubwa Sana wanawake katika ustawi wao katika jamii ingawa jamii ya kimagharibi inaona mwanamke amenyimwa Uhuru Sana Kwa kile Tu cha kuona Uislamu umewahimiza wanawake Wajistiri na wasikae uchi kama wanawake wapuuzi WA kimagharibi, kwao wao Uhuru na hadhi ya mwanamke ni kutembea uchi na kujianika maungo yake hadharini na kuwafanya chombo cha starehe.

Mwanamke anastahili kuheshimiwa na kupendwa na kutunzwa vizuri, Kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu,mwanaume anamuoa mwanamke na kupewa kama dhamana na Mwenyezi Mungu,amuangalie na aishi nae Kwa mapenzi na huruma pia na ajue IPO siku ataulizwa ni vipi aliitunza Amana aliyopewa.

Ndio maana mwanamke WA kiislamu hata akinyonyesha mtoto anatakiwa alipwe na mume wake,naam ndio hivyo.

Mwanamke anatakiwa atafutiwe mfanyakazi WA kumsaidia kazi za pale nyumbani,sio jukumu lake kukufulia na kufanya usafi,wanacho fanya ni huruma Yao na mapenzi Yao Tu Kwa mume,kazi yake ni kujipamba na kukuhudumia wewe mume wake kipenzi.

Hata kama mwanamke anabiashara au anafanya kazi hawajibiki kumhudumia familia pale nyumbani,hiyo ni hela yake yeye,wewe kama mume ndio Una majukumu ya kuhakikisha mipango ya pale nyumbani unaenda Sawa,Ila mwanamke mwenyewe akiamua kukusaidia hapana ubaya hata kidogo,Ila kama mume usitolee macho kipato cha mkeo na kutaka ashiriki katika majukumu yako laa! Si kazi yake hata kidogo.

Leo masikini ya Mungu wanawake wanapata shida kwakuwa wanaume hatufanyi majukumu yetu kama wanaume,matokeo yake unakuta dada zetu na mabeseni mabarabarani wanahangaika na Jua Kali kukujitafutia ridhiki. Mwanamke hakuumbwa hivyo hata kidogo,matokeo yake Leo hii nyumba hazina mahaba kabisa,mwanamke ametoka kutafuta amechoka na mwanaume vile vile.

Lakini kama mwanamke angekuwa anaangalia nyumba yake haendi huko juani kupambana Bila Shaka angekuwa nyumbani kumhudumia mumewe na kumpa faraja ya kutosha kabisa.

Mwanamke hafai hata kwenda sokoni,anatakiwa aletewe mazagazaga yote pale home na mumewe,ndio maana kuna wanaume ambao wanajitambua hufanya hivyo,ingawa wasiojua wanawasema vibaya kuwa Wana wivu Sana,laa hawana wivu wanajua majukumu Yao vizuri Sana.

Kwa kumalizia ingawa mambo ni mengi na Mda ni mchache,wanaume tuwaheshimu wanawake na tuwatunze vile Inavyotakiwa,hawakuumbwa kupata shida hawa viumbe Ila Sisi ndio tumeamua kuwapa shida, tunaweza badilisha Hilo.

Mkuu makaveli10 mshenga wangu Kwa To yeye hope utaanza kumlipa your baby mama hela za kunyonyesha very soon.

Ni hayo Tu!
U-special, ni kwa wale wenye maadili mema tu, hao ni muhimu sana.
 
Mi biblia yangu inaniambia nimepewa msaidizi ila sinapewa mzigo mpya. Kwa mantiki hiyo ndo nchi za kiislam zimehalalisha ndoa baada tu ya watoto kuvunja ungo. Sasa kijana wa miaka 16 anaoa kisha aanze kuajiri watu wa kumuhudumia mkewe. Huo uchumi kautengeneza mwaka ganj? Kwa mantiki hiyo wanaoitimiza ni watu wa magharibi wanaohimiza uzazu wa mpango. Wanaohimiza kutokuoa mapema watu tujenge uchumi kwanza. Ili niyatimize hayo kwa mke wangu natakiwa kiwango cha chini cha kipato changu kiwe milioni kwa mwezi
 
Wanawake ni viumbe ambao wameumbwa kuhudumiwa na kuangaliwa na kupewa hadhi kubwa Sana katika jamii Ila basi wanaume ndio hatujielewi.

Mwanamke hakuumbwa kuja kupata shuruba hapa duniani Ila Maisha Tu ndo yamewafanya waingie katika mazingira hayo.

Kwanza tunaambiwa mwanamke ametokana au ameumbwa kutoka katika ubavu WA Adamu, tena ubavu ulio pinda inamaana ukizidi kuupinda utakatika na na ukiunyosha pia utakatika,huyo ndo mwanamke bwana.

Kwa kujua hilo ndio maana Dini ya Uislamu imewapa umuhimu mkubwa Sana wanawake katika ustawi wao katika jamii ingawa jamii ya kimagharibi inaona mwanamke amenyimwa Uhuru Sana Kwa kile Tu cha kuona Uislamu umewahimiza wanawake Wajistiri na wasikae uchi kama wanawake wapuuzi WA kimagharibi, kwao wao Uhuru na hadhi ya mwanamke ni kutembea uchi na kujianika maungo yake hadharini na kuwafanya chombo cha starehe.

Mwanamke anastahili kuheshimiwa na kupendwa na kutunzwa vizuri, Kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu,mwanaume anamuoa mwanamke na kupewa kama dhamana na Mwenyezi Mungu,amuangalie na aishi nae Kwa mapenzi na huruma pia na ajue IPO siku ataulizwa ni vipi aliitunza Amana aliyopewa.

Ndio maana mwanamke WA kiislamu hata akinyonyesha mtoto anatakiwa alipwe na mume wake,naam ndio hivyo.

Mwanamke anatakiwa atafutiwe mfanyakazi WA kumsaidia kazi za pale nyumbani,sio jukumu lake kukufulia na kufanya usafi,wanacho fanya ni huruma Yao na mapenzi Yao Tu Kwa mume,kazi yake ni kujipamba na kukuhudumia wewe mume wake kipenzi.

Hata kama mwanamke anabiashara au anafanya kazi hawajibiki kumhudumia familia pale nyumbani,hiyo ni hela yake yeye,wewe kama mume ndio Una majukumu ya kuhakikisha mipango ya pale nyumbani unaenda Sawa,Ila mwanamke mwenyewe akiamua kukusaidia hapana ubaya hata kidogo,Ila kama mume usitolee macho kipato cha mkeo na kutaka ashiriki katika majukumu yako laa! Si kazi yake hata kidogo.

Leo masikini ya Mungu wanawake wanapata shida kwakuwa wanaume hatufanyi majukumu yetu kama wanaume,matokeo yake unakuta dada zetu na mabeseni mabarabarani wanahangaika na Jua Kali kukujitafutia ridhiki. Mwanamke hakuumbwa hivyo hata kidogo,matokeo yake Leo hii nyumba hazina mahaba kabisa,mwanamke ametoka kutafuta amechoka na mwanaume vile vile.

Lakini kama mwanamke angekuwa anaangalia nyumba yake haendi huko juani kupambana Bila Shaka angekuwa nyumbani kumhudumia mumewe na kumpa faraja ya kutosha kabisa.

Mwanamke hafai hata kwenda sokoni,anatakiwa aletewe mazagazaga yote pale home na mumewe,ndio maana kuna wanaume ambao wanajitambua hufanya hivyo,ingawa wasiojua wanawasema vibaya kuwa Wana wivu Sana,laa hawana wivu wanajua majukumu Yao vizuri Sana.

Kwa kumalizia ingawa mambo ni mengi na Mda ni mchache,wanaume tuwaheshimu wanawake na tuwatunze vile Inavyotakiwa,hawakuumbwa kupata shida hawa viumbe Ila Sisi ndio tumeamua kuwapa shida, tunaweza badilisha Hilo.

Mkuu makaveli10 mshenga wangu Kwa To yeye hope utaanza kumlipa your baby mama hela za kunyonyesha very soon.

Ni hayo Tu!
Uzi favourite kwa wanawake
 
Uko sahihi kaka,

Hili la kumlipa silipingi kwanza sababu tumefundishwa hivyo, lakini pia namuona jinsi anavyohangaika na mtoto(mama aitwe mama tu)
Kwenye masihara ananiambia nijiamdae kumlipa na ni kweli ana haki(japo anatania)

Nahisi wake zetu wanatuonea huruma aidha kwa vipato vyetu, ama wanaona tunavyojitoa kwa familia zetu.. Au wengine hawajui kama kulipwa ni haki yao.
Ila wanaojua naamini ni huruma tu wanatuonea.
Hatuwezi kuafford kuwalipa Kaka wanawake wanatufanyia mengi Sana...Mimi huu wa 10 sijawahi kupika Wala kufua sijawahi kujishurutisha kubeba maji ya kuoga chooni...kuwalipa hatuwezi hasa ukilinganisha na vipato vyetu....
 
Mwanamke hafai hata kwenda sokoni,anatakiwa aletewe mazagazaga yote pale home na mumewe,ndio maana kuna wanaume ambao wanajitambua hufanya hivyo,ingawa wasiojua wanawasema vibaya kuwa Wana wivu Sana,laa hawana wivu wanajua majukumu Yao vizuri
Hapa ndo Dharau zinapoanzia kwa hili li Dini lenu la wauza watumwa hili......... ''Kazi ni Uhai'' Nyerere alipo sema haya alikuwa hatanii!!....hakuna adhabu kubwa km kukaa tu km Mzigo wa mavi! ndani na kugeukia geukia masofa chakavu!

huwezi kumlea mtu mzima kwa jinsi wewe unavodhani ni sawa kwako!! hayo ni mateso/dharau/manyanyaso/utumwa kwa ''ke''

sikia sasa waombe radhi ke woote humu JF ili uwe salama, dharau unuke mwaka mzima.........fikiria tu ...siku ukifa je?, au ukiumwa, ukipata safari!, ajali, ukiparalyse .....ukipotea ghafla nyumbani! nk.....

nani atamletea hayo mahitaji ambayo weye ulijimilikisha?? yeye hajawahi yajua??...mbali na hapo hayo matoto yako yenye mimacho km mipanya buku yatakula, somea nini??

huo ni utumwa Mamboleo!........acha mawazo hayo........hatutaki tunataka uhuru.......ke ...msikubali kuolewa na hawa watu akili mpalazo!! ke wewe siku akikuchoka utakuja humu kulia lia !!

umesoma fanya kazi ili uwe hai!! siyo kuletewa km mahiti!! labda angesema akupeleke shule kali uwe mjasilia mali hapo sawa!...na wewe uchangie hapo nyumbani ! siyo yeyeye tyuuuu!

kwanza ke kutembea kwenda sokoni/msikitini/ shopping/kazini/kulima/ jogging/kuogelea/world cup/siasa ni zoezi tosha kabisa tu! la kukupatia weye afya!

Sasa lemaa! ajifanye anaenda sokoni kuuumbe anakuletea maradhi na umekaa hapo hapo! unasubiri! kalaghabao!
 
Hatuwezi kuafford kuwalipa Kaka wanawake wanatufanyia mengi Sana...Mimi huu wa 10 sijawahi kupika Wala kufua sijawahi kujishurutisha kubeba maji ya kuoga chooni...kuwalipa hatuwezi hasa ukilinganisha na vipato vyetu....
Jangine hili hapa! umeshalishwa vya kulishwa vinavyo tolewa kunako endelea kusifia na kula tuu! siku likibumbuluka! hiyo mitoto inaenda kwa baba zao!! ....unywe sumu! hatutakuona humu tenaaa!
ngine huyu hapa......umesha kula visivyo liwa weye!!
 
Back
Top Bottom