smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,975
- 3,118
Ila weye nae ebu nionege huko kwanza nikwambie kitu usiogope mie๐๐๐๐๐๐๐
Ila weye nae ebu nionege huko kwanza nikwambie kitu usiogope mie๐๐๐๐๐๐๐
Sahihi kaka.Hatuwezi kuafford kuwalipa Kaka wanawake wanatufanyia mengi Sana...Mimi huu wa 10 sijawahi kupika Wala kufua sijawahi kujishurutisha kubeba maji ya kuoga chooni...kuwalipa hatuwezi hasa ukilinganisha na vipato vyetu....
Wewe Dada tajiri hujui utamu wa ndoa ,,ubarobaro Ni upuuzi mtupu...raha iwe ndani bhana ,,huo ujinga wa kuogopa kuchapiwa Ni utoto ,,,Jangine hili hapa! umeshalishwa vya kulishwa vinavyo tolewa kunako endelea kusifia na kula tuu! siku likibumbuluka! hiyo mitoto inaenda kwa baba zao!! ....unywe sumu! hatutakuona humu tenaaa!
Mkuu uko Sawa lakini?Hapa ndo Dharau zinapoanzia kwa hili li Dini lenu la wauza watumwa hili......... ''Kazi ni Uhai'' Nyerere alipo sema haya alikuwa hatanii!!....hakuna adhabu kubwa km kukaa tu km Mzigo wa mavi! ndani na kugeukia geukia masofa chakavu!
huwezi kumlea mtu mzima kwa jinsi wewe unavodhani ni sawa kwako!! hayo ni mateso/dharau/manyanyaso/utumwa kwa ''ke''
sikia sasa waombe radhi ke woote humu JF ili uwe salama, dharau unuke mwaka mzima.........fikiria tu ...siku ukifa je?, au ukiumwa, ukipata safari!, ajali, ukiparalyse .....ukipotea ghafla nyumbani! nk.....
nani atamletea hayo mahitaji ambayo weye ulijimilikisha?? yeye hajawahi yajua??...mbali na hapo hayo matoto yako yenye mimacho km mipanya buku yatakula, somea nini??
huo ni utumwa Mamboleo!........acha mawazo hayo........hatutaki tunataka uhuru.......ke ...msikubali kuolewa na hawa watu akili mpalazo!! ke wewe siku akikuchoka utakuja humu kulia lia !!
umesoma fanya kazi ili uwe hai!! siyo kuletewa km mahiti!! labda angesema akupeleke shule kali uwe mjasilia mali hapo sawa!...na wewe uchangie hapo nyumbani ! siyo yeyeye tyuuuu!
kwanza ke kutembea kwenda sokoni/msikitini/ shopping/kazini/kulima/ jogging/kuogelea/world cup/siasa ni zoezi tosha kabisa tu! la kukupatia weye afya!
Sasa lemaa! ajifanye anaenda sokoni kuuumbe anakuletea maradhi na umekaa hapo hapo! unasubiri! kalaghabao!
Wanaweza kweli kuwa engine ya maendeleo lakini hawana taasisi ya ndoa imara.Nakubaliana na wewe kuwa mwanamke ni kiumbe cha pekee sana anastahili heshima kubwa mno na uangalifu mkubwa. Ila sikubaliani na dhana za kidini kwamba mwanamke ni dhaifu na anapaswa kukaa chini ya umiliki na uongozi wa mwanaume.
Ulimwengu wa kiarabu kupitia dini ya kiislamu umemfanya mwanamke kuwa kiumbe duni na au pet. Ulimwengu wa kimagharibi umeona nguvu ya mwanamke na umempa mwanamke heshima anayostahili na ndio maana Ulaya na America wanawake ndio engine ya maendeleo kwasasa.
๐๐๐๐โค๏ธ๐๐๐๐โค๐
Mwanamke anayeongelewa hapa sio hawa unakuta miaka 13 hana bikra zote ashazilia chips mayai. Anafikia kuolewa ashatembea na wanaume wanatosh yutong tatuWanawake ni viumbe ambao wameumbwa kuhudumiwa na kuangaliwa na kupewa hadhi kubwa Sana katika jamii Ila basi wanaume ndio hatujielewi.
Mwanamke hakuumbwa kuja kupata shuruba hapa duniani Ila Maisha Tu ndo yamewafanya waingie katika mazingira hayo.
Kwanza tunaambiwa mwanamke ametokana au ameumbwa kutoka katika ubavu WA Adamu, tena ubavu ulio pinda inamaana ukizidi kuupinda utakatika na na ukiunyosha pia utakatika,huyo ndo mwanamke bwana.
Kwa kujua hilo ndio maana Dini ya Uislamu imewapa umuhimu mkubwa Sana wanawake katika ustawi wao katika jamii ingawa jamii ya kimagharibi inaona mwanamke amenyimwa Uhuru Sana Kwa kile Tu cha kuona Uislamu umewahimiza wanawake Wajistiri na wasikae uchi kama wanawake wapuuzi WA kimagharibi, kwao wao Uhuru na hadhi ya mwanamke ni kutembea uchi na kujianika maungo yake hadharini na kuwafanya chombo cha starehe.
Mwanamke anastahili kuheshimiwa na kupendwa na kutunzwa vizuri, Kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu,mwanaume anamuoa mwanamke na kupewa kama dhamana na Mwenyezi Mungu,amuangalie na aishi nae Kwa mapenzi na huruma pia na ajue IPO siku ataulizwa ni vipi aliitunza Amana aliyopewa.
Ndio maana mwanamke WA kiislamu hata akinyonyesha mtoto anatakiwa alipwe na mume wake,naam ndio hivyo.
Mwanamke anatakiwa atafutiwe mfanyakazi WA kumsaidia kazi za pale nyumbani,sio jukumu lake kukufulia na kufanya usafi,wanacho fanya ni huruma Yao na mapenzi Yao Tu Kwa mume,kazi yake ni kujipamba na kukuhudumia wewe mume wake kipenzi.
Hata kama mwanamke anabiashara au anafanya kazi hawajibiki kumhudumia familia pale nyumbani,hiyo ni hela yake yeye,wewe kama mume ndio Una majukumu ya kuhakikisha mipango ya pale nyumbani unaenda Sawa,Ila mwanamke mwenyewe akiamua kukusaidia hapana ubaya hata kidogo,Ila kama mume usitolee macho kipato cha mkeo na kutaka ashiriki katika majukumu yako laa! Si kazi yake hata kidogo.
Leo masikini ya Mungu wanawake wanapata shida kwakuwa wanaume hatufanyi majukumu yetu kama wanaume,matokeo yake unakuta dada zetu na mabeseni mabarabarani wanahangaika na Jua Kali kukujitafutia ridhiki. Mwanamke hakuumbwa hivyo hata kidogo,matokeo yake Leo hii nyumba hazina mahaba kabisa,mwanamke ametoka kutafuta amechoka na mwanaume vile vile.
Lakini kama mwanamke angekuwa anaangalia nyumba yake haendi huko juani kupambana Bila Shaka angekuwa nyumbani kumhudumia mumewe na kumpa faraja ya kutosha kabisa.
Mwanamke hafai hata kwenda sokoni,anatakiwa aletewe mazagazaga yote pale home na mumewe,ndio maana kuna wanaume ambao wanajitambua hufanya hivyo,ingawa wasiojua wanawasema vibaya kuwa Wana wivu Sana,laa hawana wivu wanajua majukumu Yao vizuri Sana.
Kwa kumalizia ingawa mambo ni mengi na Mda ni mchache,wanaume tuwaheshimu wanawake na tuwatunze vile Inavyotakiwa,hawakuumbwa kupata shida hawa viumbe Ila Sisi ndio tumeamua kuwapa shida, tunaweza badilisha Hilo.
Mkuu makaveli10 mshenga wangu Kwa To yeye hope utaanza kumlipa your baby mama hela za kunyonyesha very soon.
Ni hayo Tu!
Wewe ni mmoja wapo mnaowafanya wanawake wawe na Maisha magumu hapa duniani.Huu utapeli huishie hukohuko kwa waislamu.
Unafanya kazi alafu ushindwe kuchangia maendeleo ya familia yako hunifai.
Mimi siwezi kuendekeza wala kuabudu mambo yanayonikandamiza.
Huo ndio ukweli,kama unakataa kataa wewe Tu.Unafiki huu wa kiwango cha lami
Wewe ndiyo unadanganya mwanamke ukinywa maji una muona kwa glass
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona Una mawazo finyu SanaNaona unatafuta huruma ya wanawake wakupende kwa kupost upuuz wako
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hayo hakuwa serious mkuuMsaidie huyu mama kama wewe sio mnafiki
Unaandika kitu ambacho we mwenyewe huwez kutekeleza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo kpenz @To yeyeMnafarijiana wajinga nyie ulikua wapi jana wakati huyo demu wako anaposti kuwa ana nyege sana
Kwa nn hukumtoa hadi anakuja kujianika huku jf?
Wanafiki nyie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu kipenz changu To yeye wewe hujamjua vizur,huku kwenye nyuzi na comment unaweza kumuona mapepe Fulani lkn upande wa pili she is so special, mwerevu na anajielewa Sana.Mnafarijiana wajinga nyie ulikua wapi jana wakati huyo demu wako anaposti kuwa ana nyege sana
Kwa nn hukumtoa hadi anakuja kujianika huku jf?
Wanafiki nyie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwambie easy,easy... Asichukulie kila kitu serious humu ...atapata pressure za kujitakia.Asante kwa kuwa upande wangu loveโค๐Huyo kpenz @To yeye
Huyu kipenz changu To yeye wewe hujamjua vizur,huku kwenye nyuzi na comment unaweza kumuona mapepe Fulani lkn upande wa pili she is so special, mwerevu na anajielewa Sana.
Usimchukulie poa kabisa.
Ananibamba Sana.
Loh!Mwanamke anayeongelewa hapa sio hawa unakuta miaka 13 hana bikra zote ashazilia chips mayai. Anafikia kuolewa ashatembea na wanaume wanatosh yutong tatu