Wanawake ni watu Special sana ila basi tu

Wanawake ni watu Special sana ila basi tu

Huu utapeli huishie hukohuko kwa waislamu.

Unafanya kazi alafu ushindwe kuchangia maendeleo ya familia yako hunifai.

Mimi siwezi kuendekeza wala kuabudu mambo yanayonikandamiza.
Wakasome mke mwema kwenye Bible
 
Wamebaki wachache mno wanaume wanaotimiza hayo,wanaume wanaoa ili wapelekewe maji bafuni,wapikiwe,wafuliwe,wafanyiwe usafi,wabebe mimba,wazae wanyonyeshe,na milawama ya mawifi na mama mkwe kuwa mvivu
Wanaume hao hawalish familia zao vizuri unakuta ana uwezo lakin mke anahangaika kama mbwa na hapo limwanaume lina wanawake watano
Mi nasema mwanamke aliumbwa kumtumikia mwanaume ispokuwa katika huo utumishi anastaiki zake ikiwemo kupendwa na kuongozwa
 
Uko sahihi kaka,

Hili la kumlipa silipingi kwanza sababu tumefundishwa hivyo, lakini pia namuona jinsi anavyohangaika na mtoto(mama aitwe mama tu)
Kwenye masihara ananiambia nijiamdae kumlipa na ni kweli ana haki(japo anatania)

Nahisi wake zetu wanatuonea huruma aidha kwa vipato vyetu, ama wanaona tunavyojitoa kwa familia zetu.. Au wengine hawajui kama kulipwa ni haki yao.
Ila wanaojua naamini ni huruma tu wanatuonea.
Sasa kama unampa pakulala, mavazi, kula na matumizi mengineee hayo SI ni malipo ? Au unataka umlipe vipi
 
Nakubaliana na wewe kuwa mwanamke ni kiumbe cha pekee sana anastahili heshima kubwa mno na uangalifu mkubwa. Ila sikubaliani na dhana za kidini kwamba mwanamke ni dhaifu na anapaswa kukaa chini ya umiliki na uongozi wa mwanaume.

Ulimwengu wa kiarabu kupitia dini ya kiislamu umemfanya mwanamke kuwa kiumbe duni na au pet. Ulimwengu wa kimagharibi umeona nguvu ya mwanamke na umempa mwanamke heshima anayostahili na ndio maana Ulaya na America wanawake ndio engine ya maendeleo kwasasa.
Siyo dini ya kiarabu hata wakristo wanawake kwenye ndoa zao kazi Yao ni kutumikia familia na kueshimu waume zao hata akiwa kama Samia akienda kwake anatakiwa kuwa mwanamke hata kama ana cheo gan utumwa wake unabaki palepale anaporud kwenye ndoa yake
 
Mwambie easy,easy... Asichukulie kila kitu serious humu ...atapata pressure za kujitakia.Asante kwa kuwa upande wangu love❤😘
Siku zote nitakuwa upande wako my ❤️

Kuna watu hawajui humu sometime we are just having fun.

Maisha ni mafupi mno Kwa kila kitu kukichukulia serious
 
Tatizo linaanza ,unaoa mwanamke aliyekwisha liwa na wanaume zaidi ya wawili ....

Maana kupata mwanamke bikra kwa Sasa Ni kazi kubwa Sana ....

Huyo mwanamke anakuwa na mawasiliano na wanaume zake aliokuwa nao mwanzo huku akisema ni marafiki tu kumbe anabinuliwa nao ,na analiwa Tena ,....hapo ndio mwanaume anaona Ni ujinga kutunza mtu ambaye ni msaliti kwenye ndoa
Mkuu unayosema Yana mantiki Fulani
Lakini
Mpe gud time mpaka pale utakapo gundua usaliti wake

Tusiishi Kwa hofu mpaka ukweli ubainike,after all wanasema habar mbaya siku zote utazipata mapema
 
Mwanamke anastahili kupendwa na kupewa kila kitu kitakachomfanye awe na stylish looking bila kujali umri wake mi hata nikipita nikaona vitu vizur vya wanawake kwenye maduka au online market kama AliExpress nachanganyikiwa maana natamani kumuona kavaa lakin hiyo haina maana jukumu lake kama mama wa familia linabadili hapana mwanamke anaweza kulea famili yake na akatoa mchango mkubwa kwenye familia kuliko mwanaume lakini mwanaume anatakiwa kumtumia nguvu zake zote kumuonyesha anampenda tena
Uishi Maisha marefu mkuu
Umeongea kweli yote
 
Wamebaki wachache mno wanaume wanaotimiza hayo,wanaume wanaoa ili wapelekewe maji bafuni,wapikiwe,wafuliwe,wafanyiwe usafi,wabebe mimba,wazae wanyonyeshe,na milawama ya mawifi na mama mkwe kuwa mvivu
Wanaume hao hawalish familia zao vizuri unakuta ana uwezo lakin mke anahangaika kama mbwa na hapo limwanaume lina wanawake watano
Kweli kabisa madam umeongea kweli tupu

Wanaume tumefeli Sana kutimiza wajibu wetu
 
Wanawake ni viumbe ambao wameumbwa kuhudumiwa na kuangaliwa na kupewa hadhi kubwa Sana katika jamii Ila basi wanaume ndio hatujielewi.

Mwanamke hakuumbwa kuja kupata shuruba hapa duniani Ila Maisha Tu ndo yamewafanya waingie katika mazingira hayo.

Kwanza tunaambiwa mwanamke ametokana au ameumbwa kutoka katika ubavu WA Adamu, tena ubavu ulio pinda inamaana ukizidi kuupinda utakatika na na ukiunyosha pia utakatika,huyo ndo mwanamke bwana.

Kwa kujua hilo ndio maana Dini ya Uislamu imewapa umuhimu mkubwa Sana wanawake katika ustawi wao katika jamii ingawa jamii ya kimagharibi inaona mwanamke amenyimwa Uhuru Sana Kwa kile Tu cha kuona Uislamu umewahimiza wanawake Wajistiri na wasikae uchi kama wanawake wapuuzi WA kimagharibi, kwao wao Uhuru na hadhi ya mwanamke ni kutembea uchi na kujianika maungo yake hadharini na kuwafanya chombo cha starehe.

Mwanamke anastahili kuheshimiwa na kupendwa na kutunzwa vizuri, Kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu,mwanaume anamuoa mwanamke na kupewa kama dhamana na Mwenyezi Mungu,amuangalie na aishi nae Kwa mapenzi na huruma pia na ajue IPO siku ataulizwa ni vipi aliitunza Amana aliyopewa.

Ndio maana mwanamke WA kiislamu hata akinyonyesha mtoto anatakiwa alipwe na mume wake,naam ndio hivyo.

Mwanamke anatakiwa atafutiwe mfanyakazi WA kumsaidia kazi za pale nyumbani,sio jukumu lake kukufulia na kufanya usafi,wanacho fanya ni huruma Yao na mapenzi Yao Tu Kwa mume,kazi yake ni kujipamba na kukuhudumia wewe mume wake kipenzi.

Hata kama mwanamke anabiashara au anafanya kazi hawajibiki kumhudumia familia pale nyumbani,hiyo ni hela yake yeye,wewe kama mume ndio Una majukumu ya kuhakikisha mipango ya pale nyumbani unaenda Sawa,Ila mwanamke mwenyewe akiamua kukusaidia hapana ubaya hata kidogo,Ila kama mume usitolee macho kipato cha mkeo na kutaka ashiriki katika majukumu yako laa! Si kazi yake hata kidogo.

Leo masikini ya Mungu wanawake wanapata shida kwakuwa wanaume hatufanyi majukumu yetu kama wanaume,matokeo yake unakuta dada zetu na mabeseni mabarabarani wanahangaika na Jua Kali kukujitafutia ridhiki. Mwanamke hakuumbwa hivyo hata kidogo,matokeo yake Leo hii nyumba hazina mahaba kabisa,mwanamke ametoka kutafuta amechoka na mwanaume vile vile.

Lakini kama mwanamke angekuwa anaangalia nyumba yake haendi huko juani kupambana Bila Shaka angekuwa nyumbani kumhudumia mumewe na kumpa faraja ya kutosha kabisa.

Mwanamke hafai hata kwenda sokoni,anatakiwa aletewe mazagazaga yote pale home na mumewe,ndio maana kuna wanaume ambao wanajitambua hufanya hivyo,ingawa wasiojua wanawasema vibaya kuwa Wana wivu Sana,laa hawana wivu wanajua majukumu Yao vizuri Sana.

Kwa kumalizia ingawa mambo ni mengi na Mda ni mchache,wanaume tuwaheshimu wanawake na tuwatunze vile Inavyotakiwa,hawakuumbwa kupata shida hawa viumbe Ila Sisi ndio tumeamua kuwapa shida, tunaweza badilisha Hilo.

Mkuu makaveli10 mshenga wangu Kwa To yeye hope utaanza kumlipa your baby mama hela za kunyonyesha very soon.

Ni hayo Tu!
G
 
Ukiona umeowa mwanamke lakini kilakitu anajiamulia na hakuombi ushaur hata akija na mawazo yake ni Kwamba kashaamua anatekeleza hata ukikataa duh apo bhado hujaowa inabidi urudie
 
Uko sahihi kaka,

Hili la kumlipa silipingi kwanza sababu tumefundishwa hivyo, lakini pia namuona jinsi anavyohangaika na mtoto(mama aitwe mama tu)
Kwenye masihara ananiambia nijiamdae kumlipa na ni kweli ana haki(japo anatania)

Nahisi wake zetu wanatuonea huruma aidha kwa vipato vyetu, ama wanaona tunavyojitoa kwa familia zetu.. Au wengine hawajui kama kulipwa ni haki yao.
Ila wanaojua naamini ni huruma tu wanatuonea.
Umeongea kweli mkuu

Wanawake waishi Maisha marefu kwakweli wanapitia changamoto nyingi kuanzia kubeba mimba mpaka malezi ya watoto wetu.

Wanaume tunaojielewa tuzidi kuwajali hawa viumbe
 
Akuna cha uspeshel wala sphasher wanawake ni malaya 2 ama uongo man m2 kaz
Mkuu hawa ni mama zetu na dada zetu pia tuwaheshimu tafadhali

Baadhi Yao kuwa Wana Tabia mbaya hai maanishi kuwa wote hawafai
 
Mi biblia yangu inaniambia nimepewa msaidizi ila sinapewa mzigo mpya. Kwa mantiki hiyo ndo nchi za kiislam zimehalalisha ndoa baada tu ya watoto kuvunja ungo. Sasa kijana wa miaka 16 anaoa kisha aanze kuajiri watu wa kumuhudumia mkewe. Huo uchumi kautengeneza mwaka ganj? Kwa mantiki hiyo wanaoitimiza ni watu wa magharibi wanaohimiza uzazu wa mpango. Wanaohimiza kutokuoa mapema watu tujenge uchumi kwanza. Ili niyatimize hayo kwa mke wangu natakiwa kiwango cha chini cha kipato changu kiwe milioni kwa mwezi
Unafanya kila kitu Kwa uwezo wako mkuu

Halazimishwi mtu kuyafanya yote hayo kama mtu uwezo Hana

Lakini naamini kabisa huwezi kushindwa kufanya lile ambalo unauwezo nalo Kwa Mda huo walau moja
 
Haya mambo tuyaache mwanamke kwa sasa lazima nae aandaliwe na ajue kupambana tena mfundishe bila kuchoka ajue kupambana ...jaman kuna kufa,kuumwa na kufukuzwa kazi sasa km mkeo ulikua hujamfungulia ama biashara ama kumtafutia kazi ndo kila rangi utaziona .
Mm nilipata ajari nikawa home km miezi sita lakini huwezi amini hapo home hakuna kilicho haribika kila kitu kilikua sawa maana wife nilishawekeza anajiweza sana na hana shida ktk kusaidia familia.Sasa ww jifanye huyo mkeo ni mdoli wako utakuja kulia siku moja ..dunia imebadilika sana sio ya kipindi kile.
 
We ertiglul
Umesema mwanamke kaz yake ni kujipamba ??
Kuna mambo uko sahihi
Ila mwanaume na mwanamke wote wana majukumu yao
Baba atatafutq maisha kwajili ya familia
Mwanamke atasimamia majukumu yake yote ya nyumbn kikamilifu
Kusimamia ni pamoja na kumuwekea mazingira kwake yawe mepesi ya kutimiza huo wajibu wake

Kama Una uwezo kwanini usimnunulie washing machine,au kumtafutia dada WA kazi amsaidie kazi ndogo ndogo pale nyumbani.

Bahati mbaya Sana watu wengi Wana chukulia poa majukumu ya kazi za nyumbani,kiukweli ni shughuli kubwa mno.

Kama Una uwezo mfanye awe Queen katika nyumba yake ili ufurahie mahaba yake.
 
Mwanamke anayeongelewa hapa sio hawa unakuta miaka 13 hana bikra zote ashazilia chips mayai. Anafikia kuolewa ashatembea na wanaume wanatosh yutong tatu
Kigezo Kikubwa awe mkeo mkuu

Hayo mengine ni vigumu kuyadhibitisha
 
Hehe, haya bana mkuu ila haiombwi hivyo... ungetangaza dau tu wangekuja Pm
Mkuu nawe unaamini nimeandika hiyo mada kwakuwa naiomba?

Kama nawahitaji nazama pm kwao najieleza Tu mbona wala haina shida
 
Back
Top Bottom