Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,699
Hayo uliyoandika, umeandika ili kupata public attention tu.
Kichwa cha habari kipo sahihi wanawake ni watu special. Ila contents za Uzi wako zinaelezea kwa namna ya tofauti.
Mwanamke anafaa kutunzwa,kuhudumiwa,kujaliwa n.k. Hivi vyote hata enzi za wazee wetu vilikuwepo na tulikuwa tunaviona. Mwanamke alikuwa anahudumiwa kwa 100% kwasababu na yeye alikuwa anatekeleza majukumu yake kwa 100%.
Hebu angalia sasa hivi, jukumu la watoto kapewa dada wa kazi, usafi wa nyumba kapewa dada wa kazi, n.k. Baba na Mama wote mnaondoka asubuhi mnarudi jioni, show hupewi mpaka aamue yeye, sababu anayotoa ni kwamba anachoka sana, ila cha ajabu hela yake inayopatikana unasema ni yake yeye tu, 😅 😅😅😅 Nini maana ya familia sasa?
Alaf haya ya kusema hela ya mwanamke ni ya kwake tu, huwa yanaongelewa kwenye mitandao tu kama hivi.
Anayetakiwa kuhudumiwa kwa 100% ni ambae anajua majukumu yake kama mke na kuyetekeleza kwa 100%.