Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,574
Umesema kweli mkuuš¤
Nakuamini Sana kipenz changu, we ndo kila kitu changu hapa Jf,ukitoka Jf nami siku hiyo hiyo natokaškumbe nawe hauniamini jamanš š·
Pamoja Sana mkuuUmesema kweli mkuuš¤
Aione Liverpool VPN šš yeye haamini kuna watu wanaenjoy life la ndoa, anataka kuona wanateseka tuUmesema yote kaka, Allah amuhifadhi mume wangu kwa kweli maana anajitahidi kuyafanya hwa uliyoyaandika
Kwa hiyo wewe unatundu?Uspecial wetu unaondolewa na wanaume wanaotaka nao waonekane wanawake wamejitafutia tundu lao[emoji57]
Mnafarijiana wajinga nyie ulikua wapi jana wakati huyo demu wako anaposti kuwa ana nyege sanaSana Tu baby wangu,ndio maana sitaki wewe uwe katika mazingira hayo kipenz
Msaidie huyu mama kama wewe sio mnafikiJamani pole Sana, unanipa huzuni bhana
Raha zipo sana ukikubali kutokukomplicate maisha na kuishi kwa kadri Mungu anavoelekezaAione Liverpool VPN šš yeye haamini kuna watu wanaenjoy life la ndoa, anataka kuona wanateseka tu
Naona unatafuta huruma ya wanawake wakupende kwa kupost upuuz wakoUzi wake nimeuona Ila huwa napigaga kimya maana mambo yake yanatisha Sana huyu mtu,,ingawa hainifanyi niache kumpenda
Unafiki huu wa kiwango cha lamiNakuamini Sana kipenz changu, we ndo kila kitu changu hapa Jf,ukitoka Jf nami siku hiyo hiyo natoka
Huu utapeli huishie hukohuko kwa waislamu.Hata kama mwanamke anabiashara au anafanya kazi hawajibiki kumhudumia familia pale nyumbani,hiyo ni hela yake yeye,wewe kama mume ndio Una majukumu ya kuhakikisha mipango ya pale nyumbani unaenda Sawa
Wameitafuta laana.Uspecial wetu unaondolewa na wanaume wanaotaka nao waonekane wanawake wamejitafutia tundu lao[emoji57]