Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Sasa swali linakuja,je,inawezekana kweli ikafikia mahali usitoe kipigo stahiki kwa mkeo?

Yaani ifike mahali hata ka kibao usimpige?

Inawezekana kweli kwa viumbe hawa wa kike?

Binafsi naona kama haiwezekani hivi,yaani inaonekana mwanamke bila ka kipigo haendi,yaani hakuna mwanamke ambae anaweza kukaa kwenye mahusiano ya ndoa bila kupitia kwenye hili eneo

Hebu jaribuni kuniambia,inawezekana kweli?

Toka nakua sijawahi kuona Baba yangu akimpiga hata kofi Mama yangu.........

sasa kwa malezi hayo sijawahi kupiga mwanamke wangu hata nikiwa na hasira kali ya kufanya hivyo nakuta nashindwa

na zaidi huwa nahisi naweza kuua kwa kipigo pindi atakapojaribu kurudisha mapigo........

naogopa sana kupiga hawa viumbe....... kwahiyo kuishi nao bila kuwapiga inawezekana.
 
Kiukweli ni ngumu sana,kwa sababu kutokuelewana na kutofautiana kwa binaadamu ni jambo la kawaida sikwambii kwenye mahusiano tena katika jamii yetu ya kisasa yenye kila changamoto na vishawishi vya kuweza/kutaka kutoka nje ya ndoa,so kumpiga mke wako walau kidogo anapokukosea ni jambo jema...linamfunza

watu walioko kwenye mahusiano ya mbali(ambao hawajaoana) wanahitilafiana itakuwa hao ambao wanaoga pamoja,kula,kulala,kuamka n.k???

Wanawake bana waache tu mkuu

Yaani mnaweza kuwa nae ndani

Akikosea na ukimuonya mara ya kwanza,ya pili, na tatu bila kuonesha kuwa umekasirika huanza kupata wasiwasi kama wewe ni mwanaume kweli

Unajua wanakua wanataka nini?

Jiongeze mkuu!!
 
Toka nakua sijawahi kuona Baba yangu akimpiga hata kofi Mama yangu.........

sasa kwa malezi hayo sijawahi kupiga mwanamke wangu hata nikiwa na hasira kali ya kufanya hivyo nakuta nashindwa

na zaidi huwa nahisi naweza kuua kwa kipigo pindi atakapojaribu kurudisha mapigo........

naogopa sana kupiga hawa viumbe....... kwahiyo kuishi nao bila kuwapiga inawezekana.

Kama unaishi nae na ukimuonya mambo kadhaa na akakusikia hakuna tatizo

Hongera kwa hilo la kutompiga umpendae!
 
eti 'kipigo stahiki' kha!

ivi na mwanaume akikosea nae apigwe?

toka nimezaliwa mpaka nafikia hapa,sijawahi shuhudia wala kusikia baba yangu kampiga mama

na wanaishi kwa amani tu na kuheshimiana

kupigana ni kunyanyasana tu

Unajua kuwa usipoona jambo halimaanishi halipo?

Kuhusiana na mwanaume kukosea,yeye adhabu yake ni tofauti
Jiulize rais akikosea anaadhibiwa kama mwananchi wa kawaida?
 
Hiyo mamlaka unayoikomalia ni ya kumpiga mke sio?
Hili swali sikuuliza kutokana na mwanaume kutoa kipigo
Niliuliza kwasababu ya nyie kuuliza kuhusiana na mwanaume kukosea
Ulijua lengo la swali langu?
Unajua ni aina gani ya majibu swali langu lilikua linahitaji?
Mwanaume anayejitambua hawezi kumpiga mkewe in the name of kuleta heshima ndani ya nyumba that's not it,
Unajua kujitambua ni kitu gani?
Njia sahihi ya kurekebishana kwenye ndoa ni mazungumzo pekee na sio kumpiga
Kama ni hivyo kusingekuwepo na magereza na adhabu za viboko!
 
Yeah .. Wewe kweli mpiganaji, I salute , full drama.

hakuna haja ya vikombe, meno yanatosha hakikisha unatoka na nyama, nxt time atajiuliza mara 2 kabla akupige! rafii yangu alitoka na nyama mme kwenda Dr. Dr. akamwambia ukimpiga tena mkeo utaletwa hapa maiti! Sio kila mwanamke ni wa kuwapiga
 
Kama unaishi nae na ukimuonya mambo kadhaa na akakusikia hakuna tatizo

Hongera kwa hilo la kutompiga umpendae!

aksante ...........

wakati mwingine hao viumbe huwa hawaelewi mkuu , lakini inabidi uende nao hivyo hivyo.........kwani nahisi hata

ukiwapiga haisaidii na zaidi ukikutana na kichwa ngumu akakurudishia si utamtwanga hovyo hovyo sasa ukamuulia mbali?
 
me rafiki angu anapenda kupigwa anahis asipopigwa mumewe anatoka nje ya ndoa
 
Mkiendelea kukaidi Ndani ya Familia MTAPIGWA TU!
Mimi hata Demu wangu akizingua Huwa anapigika tu atake asitake Staki ujinga mimi

Mkuu nimecheka sana kwa hii post yako

Lakini mkuu kwani maneno tu hayatoshi kumfanya akaacha ujinga?
 
aksante ...........

wakati mwingine hao viumbe huwa hawaelewi mkuu , lakini inabidi uende nao hivyo hivyo.........kwani nahisi hata

ukiwapiga haisaidii na zaidi ukikutana na kichwa ngumu akakurudishia si utamtwanga hovyo hovyo sasa ukamuulia mbali?

Yaani mkuu acha tu

Kama ukimuonya na asiposikia kisha ukampa ka kipigo kakumstua kuwa wewe ni mwanaume asiposikia huyo ni wa kukwepana nae!!
 
hakuna haja ya vikombe, meno yanatosha hakikisha unatoka na nyama, nxt time atajiuliza mara 2 kabla akupige! rafii yangu alitoka na nyama mme kwenda Dr. Dr. akamwambia ukimpiga tena mkeo utaletwa hapa maiti! Sio kila mwanamke ni wa kuwapiga

Hivi ndivyo mlivyofundishwa?
 
Hili swali sikuuliza kutokana na mwanaume kutoa kipigo
Niliuliza kwasababu ya nyie kuuliza kuhusiana na mwanaume kukosea
Ulijua lengo la swali langu?
Unajua ni aina gani ya majibu swali langu lilikua linahitaji?

Unajua kujitambua ni kitu gani?

Kama ni hivyo kusingekuwepo na magereza na adhabu za viboko!
Eiyer you are such a complicator,
 
Last edited by a moderator:
eti kumrudisha mwanamke kwenye mstari... hivi wewe mtoa mada unaweza kumrudisha mkubwa mwenzio kwenye mstari thru kibao?? nani kakudanganya? no wonder hujaoa ndo maana unazungumza kirahisirahisi.
 
Mmmmmh!! Ujue miili yetu ni tofauti na nyie aisee! Sioni hata sehem ya kumpiga mwanamke kwa kosa lolote lile!! Ila tuvibao vya mashavu vinaruhusiwa kama nilivyolapuliwa miye leo ! Haha dah shavu linauma!!

Pole, mapenzi hayo.
 
Yani katika kitu ambacho kitanikosesha uvumilivu mimi kwenye ndoa ni siku mwanaume anyanyue kimkono chake kunipiga
ntamtahiri....
Hao wanaopiga ni kwa sababu hawajiamini sasa wanataka waonekane kuwa wao ni wanaume kwa kumpiga mtu dhaifu. Viko vitu vya kuendelea navyo na viko vitu vya kuacha hasa kama hili la kumpiga mke si la kumove nalo kwenye karne nyingine. Mke ni rafiki na msaidizi wala si mtumwa tena hadhi yake haifanani na ya mtoto. Mimi kunipiga ni marufuku kabisa, kama nimekosea aniambie tu maana si mke pekee anaekosea kwani hata wanaume wanakosea sana tu.
 
eti kumrudisha mwanamke kwenye mstari... hivi wewe mtoa mada unaweza kumrudisha mkubwa mwenzio kwenye mstari thru kibao?? nani kakudanganya? no wonder hujaoa ndo maana unazungumza kirahisirahisi.

Dada umesoma mada au umekurupuka kutoka huko ulikokua na kuja hapa kukometi?
 
Back
Top Bottom