Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Kipigo muhimu akizingua, japo cha kimtindo Isije lala police....
 
Hilo suala la kumpiga mwanamke au hata mwanaume linatokana Na kushindwa kuvumilia baadhi ya tabia. Kwa mf. Unakuta mwanamke unaongea nae anakubinulia mdomo Na maneno chungu Tele kwa wanaume wenye hasira unakuta tayari umemlamba vibao. Si kuwa unapanga kumpiga la hasha lakini mazingira Yana kuforce mabinti tujitahidi kuacha kuwa Na mdomo mchafu mbele ya mwanaume wako.
 
Hii point hii...
 
Huo ni unyanyasaji wa kijinsia kama mmetofautiana mnakaaa chini mnaonge mkishindwana mnaita wazee
 
Back
Top Bottom