Hivi mke wangu akinitolea maneno ya matusi nimwangalie tu au na mimi nimtukane? Suala la kumtandika makofi mwanamke wala sio kumuonea. Kuna wanawake wengine wanamaudhi sana ukimwachia atakuona boya
Wabheja sana ong'wise nimekuelewa na jibu nshalipata so asante kwa kunikolezea wino maana sisi wengine uzee usha piga hodi mpaka tuelezwe mara kadhaa ndo tunaelewa si unaona kumbe ningerudia rudia kusoma mwanzo wa habari nisingeuliza.Madam bana
Hili nimeshalisema hapa
Hivyo unaweza kuona kuwa nimesema hiyo kwa sababu gani na jibu nutakuwa umeshalipata!!
Wabheja sana ong'wise nimekuelewa na jibu nshalipata so asante kwa kunikolezea wino maana sisi wengine uzee usha piga hodi mpaka tuelezwe mara kadhaa ndo tunaelewa si unaona kumbe ningerudia rudia kusoma mwanzo wa habari nisingeuliza.
Stay blessed.
Ungejibu kwanza nilichokuuliza ndipo ungeelewa
Tatizo unataka kufika ghorofa ya 5 wakati hata ya 1 hujafika!
ukiacha yale makabila ambayo wanalelewa huku wakifundishwa kuwa kipigo ni upendo ni kwamba inaonekana kama haiwezekani mume kuishi na mkewe bila kumpa angalau ka kipigo ndani ya miezi 5
Baba paroko kupiga mwanamke sio ishu
kama ni kukosa hata wanaume wanakosa over!!!!!
Baba paroko kupiga mwanamke sio ishu
kama ni kukosa hata wanaume wanakosa over!!!!!
sunna ile inakuwa kwao
mimi gf wangu nakumbuka mpk leo alishawahi kunitamkia kwa nini sikuwahi kumpiga hata siku moja??
Baadae nikakaa nikafikiria ile kauli nikaona alikuwa anahisi kama simpendi howcome nisimpige hata akikosea.naishia kumsema tu,!!!-kuna siku ikatokea akaniudhi nikampiga kweli akanishukuru sana alafu akaja kuniomba samahani kwa mahaba tele,
since then nikajiona nilikuwa mwanaume wa ajabu.kwa kuwa mpole kiasi kile.
MKuu hayo makabila ni ya inchi gani???
Kama ni hapa kwetu Tz napingana na wewe kwamba kuna makabila yanayo amini hakuna upendo bila kipigo huu ni uongo mkubwa tena usio kuwa na ukweli hata chembe ndani yake.
Swala la kutoa kipigo ni la mtu binafsi halihusiani na mafunzo wala malezi ya kutoa kipigo katika mahusiano..
Haya ni mapokeo yasio na maana yenye lengo hasi la kuaaminisha watu juu ya uwepo wa makabila ya aina hiyo, ni uchochezi wenye kuleta matabaka ndani ya jamii.
"NAKUKATALIA HAKUNA MAKABILA KAMA HAYO HAPA TANZANIA"..
Kwanza utii hauna mahusiano yoyote na utoaji wa bikraKupiga haisaidii kama akiwa ana udhaifu wa aina fulani ni ngumu sana kubadilika hata apigwe vipi haelekei, tena mwingine unapompiga ndio unampandisha munkari aanze kuongea maneno ya ajabu mfano - kwani wewe ndio ulionitoa bikira?
Hii niliisikia kwa masikio yangu wakati nikiwa mtoto na wenzangu tunacheza mpira maeneo fulani, ghafla tukaanza kumsikia mwanamke baada ya kuchezea kipigo kutoka kwa mumewe anaanza kulopoka, mumewe ilibidi aache kuendelea kumpiga mkewe baada ya kuwa anaropoka kwa makelele, tena anarudia kwani wewe ndio uliyenitoa bikira?
Fedheha kwa nani?Je hii sio fedheha?
Fedheha kwa yule mwanaume aliyekuwa anampiga mkewe, ingawa sisi tulikuwa watoto hatukuelewa maana ya bikira ni nini, lakini wakubwa walielewa, mambo ya mke na mume ni siri nikiwa na maana haihitaji watu wa nje wafahamu chochote, hata kama mna tofauti zenu. Sasa mkuu huoni hapo wamewapa faida watu wa nje? kumbe mume angetumia busara ya kutokumpiga mkewe yasingefikia hukoKwanza utii hauna mahusiano yoyote na utoaji wa bikra
Pili kama haelewi hata baada ya kutoa ka "dawa" kidogo unaachana nae tu
[/B]
Huyo hakuwa na mafunzo ya kike wala hakuwa anamheshimu mumewe
Fedheha kwa nani?
We jidai tu huelewi.........!!!!!!
Mkuu si uwa quote tu?