Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Mwili wa mwanamke ni laini na teketeke, unatakiwa kushikwashikwa na kupapaswa taratibu na hiyo mikono yenu migumu na yenye nguvu, na sio kufanywa punching bag
 
Nimekuuliza ktu kingine unajibu kingine

Ni sawa na kuulizwa sababu ya mvua kunyesha halafu unajibu binadamu anaharisha kwasababu ya kunywa maji yasiyokuwa salama

Hebu rudia swali kisha ujibu tena!!

Unanichanganya bana, mi nimekuambia sitaki kupigwa ukasema lakini kukosa wa kwanza
means kama nimekosa basi nipigwe
and i asked je nayeye akikosa nimpige u said kuna tofauti ya mamlaka
swali langu sasa
mwanaume ana mamlaka ya kutoa kipigo, je mamlaka ya kukosea ni ya nani?
mi najua dawa ya kosa ni msamaha tu hayo mambo ya kupigana sio ishu
 
Umeishi nao chumbani?kuna mambo ya wanandoa ambayo huishia chumbani na waliopo nje wasiyajue kabisa,
familia zisizokuwa na amani zinajulikana tu, uhitaji hatakuingia chumbani kwao utaona tu asbh mama kavimba jicho au macho mekundu, au baba anachechemea kwa kutupiwa stuli
 
Binafsi naogopa kupigwa sababu sijapata malezi ya kupigwa wazazi wangu wametumia midomo kuniadhibu, kadhalika na shuleni nilikuwa mtii sababu ya kuogopa fimbo nilichapwa adhabu ya wote

Sasa kwenye ndoa napo nipigwe jamani hapana siku atakayo nipiga na ndio siku naachana nae maana mpaka aje anipige sijui nimefanya nini na kwanini anipige nguvu sina lakini nitampeleka police akae siku tatu akitoka na ndoa imevunjika
 
mleta mada hauko serious kabisa...it seems u are stuck somewhere na unaona changes zinazoendelea ila wewe hutaki kumove forward...Mungu amsaidie mke wako/mke mtarajiwa
 
Sasa hicho sicho kipigo kinachozungumziwa hapa,au wasemaje Eiyer?
familia zisizokuwa na amani zinajulikana tu, uhitaji hatakuingia chumbani kwao utaona tu asbh mama kavimba jicho au macho mekundu, au baba anachechemea kwa kutupiwa stuli
 
Last edited by a moderator:
Wote wanaosema wanawake wapigwe nahisi wanathibitisha upeo wao wa kufikiri kwa kutumia 'viuno'! Mume nae akikosea afanywe nini? Hebu watanzania tufike mahali tuache ulimbukeni! Ndoa inajengwa kwa upendo, uelewano, uvumilivu na msamaha ambavyo vyote vinatokana na 'MAZUNGUMZO' "KUSIKILIZANA" General concl. Makabila ambayo wako kwenye kupiga wake ndo kwanza umaskini unashamiri! Kwanini umpige mwenzio??? use your mind please!
 
hizi thread zingine ni kutoana mishipa ya kipanda uso bure..
ijumaa leoo ngoja nipitie masredi yakunihamasisha jinsi ya kumpiga wife na boxer iliyolowa..
 
hivi ujue unanchosha na maswali yako,sasa huelewi kipi hapo??
Wewe ndio huelewi kabisa
the thing is we ushasema MWANAMKE APIGWE...KWA 'USAHIHI'....
JF wameweka quote hii inamaana kuwa unaweza kuweka na ushahidi,sasa unapoongea tu hivihivi unaweza usieleweke na uamlaumu asiekuelewa wakati kosa ni lako

Lakini kwa maelezo yako haya unaonekana hujaelewa
WHAT IS THE MEASURE OF THAT???how much is too much or less??iko very subjective,mwingine anaona kofi yatosha,mwingine ngumi,mikanda,teke,na mwingine hadi kuvunja viungo mwilini nk(ndo mana nkataja hapo tht scenario)
sasa usichoelewa nini jmn na wewe??
Nisichoelewa ni wewe kutokuielewa mada

Ungesoma mada na ukaelewa usingesema hayo,hebu angalia huumstari hapa chini huenda ukapata mwanga ninazungumzia nini

Ieleweke hapa kuwa sizungumzii vile vipigo vya unyanyasaji au mtu kaja kutoka huko ulevini na kuanza kumshushia kipigo mkewe,pia sizungumzii vipigo vya kupigwa bila sababu
Ts obvious a man yuko above a woman aliemuoa
Ametoa wapi haya mamlaka ya kuwa juu?
but it does't add up to beating her in anyyyy wayyyy no matter how 'SAHIHI' utairemba,
Kwanini kuna adhabu ya viboko mahakamani?
Kwanini mtoto akikosea anaadhibiwa?
SIO VIZURI,basi tu smtym women stay for othr reasons watoto,hana uwezo nk,but kupigwa kusikie tu kwa mtu,...
Hakuna justification yoyote ile utakayoileta hapa itakayokubaliana na mwanamke kuendelea kuishi kwenye ndoa ya mateso
Ninachokiongelea hapa sio hiki ni kitu kingine kabisa
And ushauri wa bure:hyo mentality ulonayo mwanamke lazma apigwe i suggest u drop it,labda kaoe ukuryani,mjini hapa baba UTASANDAAA....sio solution,
Hii aina ya kufikiri niliitolea tahadhari mwanzo kabisa mwa mada hii

Lakini pia sijasema kuwa ni lazima apigwe kama wewe unavyotaka kuwafanya wenzako waelewe

Tafadhali sana siku nyingine hebu soma mada na uelewe,tazama nilichosema hapa
Kwanza naomba niweke angalizo kabisa kutokana na aina ya ninachoongelea hapa

Hili ninaloongea hapa ni kutokana na kile ninachokishuhudia na hakihusiano na mtazamo au msimamo wangu kabisa,imebidi niseme hivyo maana watu hapa wameshindwa kutofautisha kati ya mleta mada na na mada husika

Matatizo haya yalionekana hata wakati wa kipindi kile ambacho maigizo yalishamiri sana ambapo wale waliokuwa wakicheza maeneo yale ya kutisha na roho mbaya jamii iliwachukulia hivyo kitendo kilichosababisha usumbufu sana kwenye maisha yao ya kila siku

Tafadhalini sana kuweni makini na hii kitu
Kama huna uwezo wa kuelewa mambo madogo kama haya sijui kama hata hiyo ndoa utaweza kuiongoza wewe kama mama
kama u really want kumchapa tumia ur MAGIC STICK,baaaas...
Hujui hata nazungumzia nini

Na ZAIDI SANA HATA HUJUI NAZUNGUMZIA KIPIGO GANI!
 
Nimesoma mpaka nukta.
Nimetoa maelezo ya uzoefu binafsi na maoni yangu.
Inawezekana ikawa mbinu nzuri ya kuadabisha ila madhara yake hayatabiriki.

Hujaelewa kabisa nazungumzia nini!
 
kuna watu wanakosea kama wanaume? na nyie tuwapige?

Kuna kitu ambacho mnajidanganya sana

Mnataka ndoa isiwe na kiongozi jambo ambalo halipo

Kama kutakuwa na kiongozi ni wazi kuwa kuna ambae anaetakiwa amtii huyo kiongozi na kazi ya kiongozi ni kutoa maelekezo

Kiongozi nae anakosea lakini namna ya kuadhibiwa ni tofauti na yule ambae sio kiongozi

Au na hilo mnalikataa?

Au mnasema kiongozi ni mwanamke?
 
Wewe Eiyer kwahiyo kwa mtazamo wako mwanamke akikosea apigwe? Je kuna binadamu mkamilifu? Naamini unajua hayupo,swali kuu ni je mwanaume akikosea afanywe nini? Muache ubinafsi na unyanyasaji wa kizamani...

Kwanza naomba niweke angalizo kabisa kutokana na aina ya ninachoongelea hapa

Hili ninaloongea hapa ni kutokana na kile ninachokishuhudia na hakihusiano na mtazamo au msimamo wangu kabisa,imebidi niseme hivyo maana watu hapa wameshindwa kutofautisha kati ya mleta mada na na mada husika

Matatizo haya yalionekana hata wakati wa kipindi kile ambacho maigizo yalishamiri sana ambapo wale waliokuwa wakicheza maeneo yale ya kutisha na roho mbaya jamii iliwachukulia hivyo kitendo kilichosababisha usumbufu sana kwenye maisha yao ya kila siku

Tafadhalini sana kuweni makini na hii kitu

Hivi ni kwanini hamsomi na mkaelewa nilichosema?
 
mleta mada hauko serious kabisa...it seems u are stuck somewhere na unaona changes zinazoendelea ila wewe hutaki kumove forward...Mungu amsaidie mke wako/mke mtarajiwa

Hivi wewe hujui kusoma?

Nashangaa huko shule sijui mlifaulu vipi!
 
Binafsi naogopa kupigwa sababu sijapata malezi ya kupigwa wazazi wangu wametumia midomo kuniadhibu, kadhalika na shuleni nilikuwa mtii sababu ya kuogopa fimbo nilichapwa adhabu ya wote
Hii ndio njia nzuri ya kuepuka ka kipigo ninakokazungumzia hapa
Sasa kwenye ndoa napo nipigwe jamani hapana siku atakayo nipiga na ndio siku naachana nae maana mpaka aje anipige sijui nimefanya nini na kwanini anipige nguvu sina lakini nitampeleka police akae siku tatu akitoka na ndoa imevunjika
Really?
Sidhani kama utampeleka huko labda atoe kile kipigo cha kuua au kudhalilisha, lakini kibao kimoja au viwili?
Sidhani!!
 
Unanichanganya bana, mi nimekuambia sitaki kupigwa ukasema lakini kukosa wa kwanza
means kama nimekosa basi nipigwe
and i asked je nayeye akikosa nimpige u said kuna tofauti ya mamlaka
swali langu sasa
mwanaume ana mamlaka ya kutoa kipigo, je mamlaka ya kukosea ni ya nani?
mi najua dawa ya kosa ni msamaha tu hayo mambo ya kupigana sio ishu

Ungejibu kwanza nilichokuuliza ndipo ungeelewa

Tatizo unataka kufika ghorofa ya 5 wakati hata ya 1 hujafika!
 
Hivi wewe hujui kusoma?

Nashangaa huko shule sijui mlifaulu vipi!

naona umetaka niongee zaidi kwa kuweka hiyo comment yako hapo juu;

"Sasa swali linakuja,je,inawezekana kweli ikafikia mahali usitoe kipigo stahiki kwa mkeo?

Yaani ifike mahali hata ka kibao usimpige?

Inawezekana kweli kwa viumbe hawa wa kike?

Binafsi naona kama haiwezekani hivi,yaani inaonekana mwanamke bila ka kipigo haendi,yaani hakuna mwanamke ambae anaweza kukaa kwenye mahusiano ya ndoa bila kupitia kwenye hili eneo

Hebu jaribuni kuniambia,inawezekana kweli?"

kuna watu wahajawahi hata kuguswa..pole kwa mwanamke wako kama atapata hata hicho kibao,..incase u ddnt knw, inaanzaga kibao-vibao-ngumi-mateke-hadi kuchaniwa nguo hadharani...do not ever think itaishia katika kibao kwamba unaweza kujicontrol...ukishaallow mkono wako kumpiga mkeo/mwanamke wako,lazima utaendelea tu...unaweza kuheshimiwa na kuthaminiwa bila kupiga unless kama umekosea step

na unavyosema Mlifaulu vipi cjui unaongelea kina nani?!
 
Back
Top Bottom