Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

mmh! mi pia ni msukuma na naijua nafasi ya mwanamke huko kwetu! anyway, nahisi tumetofautiana mitazamo tu.
kibao kimoja cha surprise? I cannot tolerate it hata kama hakikuuma. feeling ya kwamba kanyanyua mkono/ kakusudia kunipiga inaumiza kuliko kipigo chanyewe... anyway, hakuna formula kwa mapenzi kila watu na style yao, as long as inakupa amani na furaha

hivi kumbe wasukuma mko wengi sana humu eenh? aiseeeee...!!
 
kwako Eiyer!!! uamkapo asubuhi na mapema, naomba ukumbane na kibao hiki chenye ujumbe mzito!

nahitaji ndoa kwa wake zangu muda si mrefu... kazi yako kuu ni kufungisha ndoa... sio kuuliza uliza kuhusu ndoa!!!



i wont beat my women either...! note that!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli ni ngumu sana,kwa sababu kutokuelewana na kutofautiana kwa binaadamu ni jambo la kawaida sikwambii kwenye mahusiano tena katika jamii yetu ya kisasa yenye kila changamoto na vishawishi vya kuweza/kutaka kutoka nje ya ndoa,so kumpiga mke wako walau kidogo anapokukosea ni jambo jema...linamfunza

watu walioko kwenye mahusiano ya mbali(ambao hawajaoana) wanahitilafiana itakuwa hao ambao wanaoga pamoja,kula,kulala,kuamka n.k???
 
Wewe Eiyer kwahiyo kwa mtazamo wako mwanamke akikosea apigwe? Je kuna binadamu mkamilifu? Naamini unajua hayupo,swali kuu ni je mwanaume akikosea afanywe nini? Muache ubinafsi na unyanyasaji wa kizamani...
 
Mmmmmh!! Ujue miili yetu ni tofauti na nyie aisee! Sioni hata sehem ya kumpiga mwanamke kwa kosa lolote lile!! Ila tuvibao vya mashavu vinaruhusiwa kama nilivyolapuliwa miye leo ! Haha dah shavu linauma!!

ulimfanyia nini baba nanii?
 
Mhu....uanze tu na kunyanyua mkono wako kumdunda mwenzio...doh hapa inategemeana sana na mpigwaji ili hio ndoa idumu... yaani mleta mada unaongelea kirahisirahisi hivyo....hawa wanawake wa kijijini ama mjini???...Nakutua rumande tu umeskia mm pweza?..ww unajifanya ukipanda hasira unamdunda mwenza wako na ww ukimkosea yy afanyeje?? Ndoa si uwanja wa mapambano bana.
 
eti 'kipigo stahiki' kha!


ivi na mwanaume akikosea nae apigwe?

toka nimezaliwa mpaka nafikia hapa,sijawahi shuhudia wala kusikia baba yangu kampiga mama

na wanaishi kwa amani tu na kuheshimiana

kupigana ni kunyanyasana tu
 
Unajua kama kuna tofauti za kimamlaka kati ya mwanaume na mwanamke?

Hiyo mamlaka unayoikomalia ni ya kumpiga mke sio?


Mwanaume anayejitambua hawezi kumpiga mkewe in the name of kuleta heshima ndani ya nyumba that's not it,
Njia sahihi ya kurekebishana kwenye ndoa ni mazungumzo pekee na sio kumpiga
 
me nakubaliana na kipigo stahiki ujue mwanamke katika majibizano anaweza akakupa neno moja kali sana ukijikuta umemwasha kibao bila kutarajia hiki ni kipigo stahik kumuoshenya kuwa wewe ndo baba ndani ya nyumba heshima lazima iwepo
tena kimoja tu kinatosha

then mwanaume huyo huyo aliekuwasha kibao utajisikiaje anapokubembeleza kimahaba inakuwa raha sanaaaaa

wabheja wabheja! Hapa nakubaliana nawewe! Tupigwe tuu!! Loh!
 
Ila kunawanawake jamani wanamidomo hao ka chuchunge!! Ukute anazozana na mmewe utadhani kaekewa mota mdomoni sa watu kama hawa kwa wanaume wenye mikono myepesi walahi unaweza kupewa kelbu moja ukapoteza meno ya mbele!!
 
Mkiendelea kukaidi Ndani ya Familia MTAPIGWA TU!
Mimi hata Demu wangu akizingua Huwa anapigika tu atake asitake Staki ujinga mimi
 
Eti mwanamke anapigwa kwa Mahaba Mahaba gani hata Midume mingi ya leo nguvu hatuna? Unakuta mahaba hujui kama humlizishi mkeo kwa kumfikisha golini usitegemee na wewe ni mwana mahaba kwake ila ni mwana karaha tu.
Mimi binafsi nimeshudia mengi kule kwetu Usukumani
sioni kabisa tatizo mwanamke kukunasa vibao vingi tu hata vinne, kama nakuelekeza hunielewi haki ya mungu mi nakukung'uta tu
 
Umeishi nao chumbani?kuna mambo ya wanandoa ambayo huishia chumbani na waliopo nje wasiyajue kabisa,
eti 'kipigo stahiki' kha!


ivi na mwanaume akikosea nae apigwe?

toka nimezaliwa mpaka nafikia hapa,sijawahi shuhudia wala kusikia baba yangu kampiga mama

na wanaishi kwa amani tu na kuheshimiana

kupigana ni kunyanyasana tu
 
Back
Top Bottom