Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Kutoka kwa nani?

Kutoka kwa wake zao,

Jambo usilopenda kutendewa usimtendee mwenzio,

Ni kwa kosa lipi hilo mwanamke atakuwa ametenda ambalo halizungumziki mpaka umpe hicho kipigo stahiki unachodai wewe??

Kama kipigo ni kwa pande zote mbili hapo tutaenda sawa,mwanaume yeye ana haki ya kukosea na kunyamaziwa ila mwanamke yeye akikosea wallah,ni kipigo,

OVER MY DEAD BODY SIKU YA KUPIGWA MIMI NDO KITAELEWEKA!!
 
Na hivyo vibao ndivyo ninavyovizungumzia

Pole sana,lakini wanasema kofi la mupenzi haliumi nikweli....??

hahaha! Asante mwaya! Haliumi kwa maana yule anayekupiga still unampenda! Ila kiuhalisia wee nyama hizi ujue maumivu yapo palepale!!
 
Nanukuu "@Double R nitakupiga wapi mama angu? Ntakuwa nimekuonea kukupiga. Hustahili hata kofi langu, Ur too weak for that."
Hii ni faraja ya miaka toka kwa mwanaume nimpendae baada ya maandalizi ya muda mrefu kisaikolojia na kimwili kuvumilia na kupigana ikibidi kufuatia kusikia na kushudia mama angu akipigwa hayo makofi na ngumi na wakati mwingine mwenye kosa ndo mpigaji.
Sipendi hii namna ya kutiishana au kuadabishana. Mara moja hujenga mazoea matokeo yake ni kuumiza na kuwaathiri wasiohusika(watoto kama mimi).
 
Kutoka kwa wake zao,

Jambo usilopenda kutendewa usimtendee mwenzio,

Ni kwa kosa lipi hilo mwanamke atakuwa ametenda ambalo halizungumziki mpaka umpe hicho kipigo stahiki unachodai wewe??

Kama kipigo ni kwa pande zote mbili hapo tutaenda sawa,mwanaume yeye ana haki ya kukosea na kunyamaziwa ila mwanamke yeye akikosea wallah,ni kipigo,

OVER MY DEAD BODY SIKU YA KUPIGWA MIMI NDO KITAELEWEKA!!

Unajua kama kuna tofauti za kimamlaka kati ya mwanaume na mwanamke?
 
Nanukuu "@Double R nitakupiga wapi mama angu? Ntakuwa nimekuonea kukupiga. Hustahili hata kofi langu, Ur too weak for that."
Hii ni faraja ya miaka toka kwa mwanaume nimpendae baada ya maandalizi ya muda mrefu kisaikolojia na kimwili kuvumilia na kupigana ikibidi kufuatia kusikia na kushudia mama angu akipigwa hayo makofi na ngumi na wakati mwingine mwenye kosa ndo mpigaji.
Sipendi hii namna ya kutiishana au kuadabishana. Mara moja hujenga mazoea matokeo yake ni kuumiza na kuwaathiri wasiohusika(watoto kama mimi).

Umeisoma mada?
 
Kuna utofauti ma kimamlaka kati ya jinsia hizi mbili

Unalijua hilo?

kumvunja mkeo mkono in the name of mamlaka,kumcharaza viboko km mtoto ni mamlaka...aargh,vipi mkuu,BILA SHAKA WE NI KURYA DUDE...
Mamlaka kitu gani...kwenye bible wameandika mamlaka ya kupiga au 'kumpenda mkeo mkeo km kristo alivopenda kanisa'...?
Angalia bwn,kuna wengine hatuendani na hata makofi,mana ndo utakuwa umeanzisha moto usoweza kuzima,inshort hyo ndoa ht ushirikiano kwako utashuka,
 
Kwanza hujajibu swali

Pili umetoa wapi haya?

Nani anazungumzia habari za kuvunjana mikono?

Nani amezungumzia habari za Biblia?
 
(1)Hakuna kipigo kinachoitwa "stahiki" wala "sahihi" (2)Kupiga mwanamke ni "ushamba" na "kumepitwa na wakati",!!

ata mimi naungana na wewe,uko sawa kabisa.wenye tabia izo waache wanatuaibisha.
 
My observation:Af hayo mamlaka wanaopenda kukomalia ni INSECURE MEN,yani mf hata ndani ya nyumba full kujitapa smtym for no reasons at all,NAN MWANAUME HUMU NDANI،oh mara ME NDO MIMI MWANAUME HAPA,c'mon ts obvious ur in trousers and u look like one,what are u trying to prove ??mwanaume wa kweli reveal themselves kimatendo,yani hajisemi but u can really feel and see HE'S THE MAN,not cocky at all,
Men js wapendeni wake zenu,kumpiga acha,mamlaka iachie serikali na makampuni,ts ur home,
Yn mtu unaenipiga hata stimu za ku-make love na wewe naona zitakata for good..hata nyumba ndogo nenda tu
 
Nashanga hata swali langu hujalijibu unaanza na hadithi tu

Haya yote yanatoka wapi?
Unakumbuka swali langu?

Kama unalikumbuka hebu nijibu acha longolongo

Halafu hebu andika kama Mwanamke aliyekua achana na uandishi wa watoto wa chuo
Au hujakua?
 
Kwanza hujajibu swali

Pili umetoa wapi haya?

Nani anazungumzia habari za kuvunjana mikono?

Nani amezungumzia habari za Biblia?

maybe urudie swali mana naona nshakujibu
,pili unasisitiza a man kumpiga wife ,me nishashuhudia mtu kampa kichapo wife hadi kamvunja mkono,ni sahihi hyo??
tatu hayo mamlaka unayozungumzia yanakuwa derived from where kama sio BIBLE???????????......ndo mana nkaitaja hapo,
 
Nashanga hata swali langu hujalijibu unaanza na hadithi tu

Haya yote yanatoka wapi?
Unakumbuka swali langu?

Kama unalikumbuka hebu nijibu acha longolongo

Halafu hebu andika kama Mwanamke aliyekua achana na uandishi wa watoto wa chuo
Au hujakua?

tofauti za kimalaka natambua zipo,(HAPPY NOW???)
but haina uhusiano na vipigo unavoviona sawa hapo,
pili USINICHOSHE mana hatuko shule hapa kuanza kuandika formally cha msingi unielewe nachosema,....
 
Back
Top Bottom